a leader is the one who knows the way,goes the way and shows the way .this is the kind of people we need in leadership paul makonda . keep shining like a star
@user-xk7vy4gb6g
9 күн бұрын
Safi sana Mh Makonda, hongera sana unakitendea haki cheo chako 🎉🎉🎉 Mungu akulinde akupiganie uchape kazi hakika ww ni kiongozi wa kuigwa 🎉🎉
@LeahGyei
9 күн бұрын
Wewe ni kiongozi kutoka kwa Mungu. Barikiwa sana mwanangu
@kwisa4899
10 күн бұрын
Makonda kwa hili nimekupongeza umeongea kwa hekima na uwezo wa juu sana leo unazidi kuimalika kwene uongozi, i wish siku koja yapi awe makamu wako mpo vizuri.
@section8ight174
9 күн бұрын
*KuimaRika but yeah great point you’ve put across!!
@yahayampangilwa
10 күн бұрын
Viongozi wazalendo kama Makonda wanatakiwa kulindwa sana.
@kamogesamuel2461
9 күн бұрын
Barikiwa sana kwa utumishi uliotukuka na maono makubwa
@yusuphchimwala4126
10 күн бұрын
Uko vizur sanaaa mkuu Allah akuongoze katika utendaji wako mkuu🎉
@abasibogga4798
10 күн бұрын
U are the leader ofcause big up makonda
@menelus911mene5
9 күн бұрын
Mhe Mkuu wa Mkoa Arusha mhe Makonda wewe ni kiongozi mbunifu sana wewe ni mlezi wa kila lika duh !!! Sijawahi kuona masha allah mungu akufanyie wepesi wakazi zako za kila siku piga kazi mhe makonda
@JudicaJoseph
10 күн бұрын
Haya kama wakisema Ni siasa Ni sawa tungekuwa tunafanyiwa siasa nzuri kama hizi za vitendo Na viongozi wote nchi ingekuwa mbali Sana Na wananchi tungepona
@MossesMeleji
9 күн бұрын
Makonda ubarikiwe sana! Songa mbele
@shabannayopa5406
9 күн бұрын
Viva makonda cna neno chapa kaz, 💯 nakubal
@IlalioMbunju-hv7kw
10 күн бұрын
Chapa kazi Mungu anakuona unachofanya
@nichoojr.6747
9 күн бұрын
Sema Kaka We NI Raisi Miaka ijayo 🙏
@Hillary_Daudi_Mrema
10 күн бұрын
Big up sana Vijana tunakuelewa sana Makonda
@abdallahomary515
10 күн бұрын
Huyu jamaa ana vision kiukweli
@bogate156
7 күн бұрын
MAKONDA IS REAL VERY SMART...QUICK DECISION MAKER...VERY DIPLOMATIC...MWALIMU..MCHA MUNGU...MZEE WA BLACK AND WHITE.ANANYOOSHA MAMBO NA HAMUONEI MZEMBE AIBU...HUYU ANGEKUA WAZIRI MKUU 2025 MAMBO MENGI YANGUKUA SUPER...BIG UP BROTHER COMRADE.MUNGU AKULINDE..
@JudicaJoseph
10 күн бұрын
Safi kaka makonda kiongozi wa mfano
@PeterNMzee
9 күн бұрын
Makonda Akili kubwa sana.....heko kwake
@user-md7ug5dd9r
9 күн бұрын
Mungu akubarki sana
@kaundasutikaunda7769
9 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mh Makonda.
@daudkindy8062
9 күн бұрын
Ishaallah Makonda utafika mbali ishaallah
@MsumalAloyce
Күн бұрын
Anaemshambulia makonda,bora afe
@jerichoseth4188
9 күн бұрын
Bro you are my lol model in leadership
@stevenmrama3123
6 күн бұрын
Falsafa yako ni nzuri sana,isipokua viongozi wetu kwanza akiwa ofisini wanakua miungu watu .ni shida sana
@user-dn9lb9ct1w
10 күн бұрын
Mh poul makonda hakika upo vzuri Arusha is the big city now co of u
@user-nd1le6zp3e
10 күн бұрын
Sema mwamba tunakuamini
@gladistaemanueliy6336
7 күн бұрын
Asante mh makonda tunakupenda arusha
@Antelius-ew6it
9 күн бұрын
Karibu ikilu ❤
@barakakevela245
9 күн бұрын
NINAKUELEWA SANA MHE MAKONDA UKO VIZURI KAKA
@peterpaschal4522
9 күн бұрын
Mheshimiwa makonda hapo kwenye kusema au nilikosea kufanya hi biashara kuna siku nilijisemea walai maana kumsimamia mtu ambaye hajitambui ilikuwa hatari
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
6 күн бұрын
Nakubali sana utendajiwako bigap
@masakamgalla9273
9 күн бұрын
A man and ahalf
@zakarialuhemeja444
9 күн бұрын
Intelligent
@mwinyisaruni8974
6 күн бұрын
Mheshimiwa endelewa kupiga spana kazi iendelee Ila hiyo wawekezaji jamani ichunguze vizuri kweli kuna sehemu ata nawao waangalie na kuajiri watu maana Kuna namna haija kaa vizuri na wao, wanawapotezea watu muda mrefu bila kuwaajiri Hilo lichunguze mheshimiwa
@WilhelmPetro
2 күн бұрын
Makonda oyeeeeeee inatakiwa
@khamismtoma4902
9 күн бұрын
PhD ya makonda
@elizabethbigilwa6822
10 күн бұрын
Chapa kazi. Kama ulivyoacha DSM
@loyakanuda2521
10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
6 күн бұрын
Nikweli unamtaja mama malaika niwewe
@user-hu9bf7nw4c
7 күн бұрын
Makonda amefundwa na magu ,habadiliki ni yule yule ,haendi na upepo kama wengne, hua wanabadilika hawana uelekeo maalum ,hao wa hvyo ndio wanaohalibu nchi, unakuta uongozi wa awam fulan wengne wanajifanya wema alafu nyingne wanakua wabaya kabisa kwa kutetea ubaya, inakua kama machawa ambao ndio wahalibifu kabisa wa nchi ,ila kwa makonda ni yule yule habadiliki toka awam ya magu ,na ndio tunaowaitaji sisi wananchi viongoz wa namna hii na ukiwapata hata 20 vile ujue nchi itanyooka mno
@DON-ERICKDANIELKINDOLE-pj8to
8 күн бұрын
Je mbuga ya ngorongoro haijauzwa kwa nini wamasai wanahamishwa je Watanzania wameelezwa.
@samwelmkufya3694
9 күн бұрын
Wewe ni Rais unaesubiri kuapishwa tu brother piga kazi
@lucascosmas908
8 күн бұрын
Sawa
@user-pi5df7qu3y
8 күн бұрын
Rais wangu miaka inayokuja
@user-pw9ir4fg7x
9 күн бұрын
Ikulu unakaribixhwa
@masakamgalla9273
9 күн бұрын
Takwimu za milembe kubwa kidogo hapo chuga😂😂
@user-gv8yn9lg1i
9 күн бұрын
😢😢😢😢
@evelynmwaimu-vd9jo
9 күн бұрын
wamechaguliwa na nani
@vincentmhoro1952
9 күн бұрын
Vivo hivyo, msiwa-treat mapinzani wa kisiasa kama maadui
@kaaakwakutuliaa5179
10 күн бұрын
sheria ndio mbovu wewe unampaje mtubwa tra mamlaka ya kukadiliaaa hela ya serikali na anamaamuzi yote ya kufanya anachotaka na hakaguliwi
@section8ight174
9 күн бұрын
*KukadiRia, tobwe wewe! Acheni kuaribu lugha nyie wa kuletwa!!
Пікірлер: 54