Ninamshukuru Santa Mungu kukuumba mheshimiwa Shigongo kwani maneno Yako yamenitia moto na ninaamini kupitia maneno Yako BWANA atanifikisha Mahalia pa kuwatia moto wengine nilikuea nimekata tamaa.Mungu akupe maisha marefu zaidi
@kalengashoppingcenter1108
2 жыл бұрын
Asante sana, japo bungeni hawakuelewi but nondo zako zinanikomboa always
@user-od9cf7lp9v
11 ай бұрын
Eric your very bright na unaiona future na kwel indeep kutoka moyon unazungumzaa,,, nataman kufanikiwa kama ilivyo kwako na MUNGU ATUSAIDIE VIJANA NA WATANZANIA WENZANGU. UBARIKIWE SANA KIONGOZI
Пікірлер: 19