Mbwaduke king of football statistics ,, talks by data and facts 🎉🎉
@User255tv
7 күн бұрын
Huyu ndiye mrithi halisi wa Mayele. Apewe jezi namba 9.
@OS-pf6op
6 күн бұрын
Yaani kwa shot accuracy hizi za Baleke na Dube. Dhuu ni balaaa tupu!
@AmanaAmos-hv3yz
7 күн бұрын
Yani guede ❤❤❤ akiondoka😂😂
@MartinMgogo
7 күн бұрын
Yes dube ni mtu na nusu
@ShafiiHungo
7 күн бұрын
A a dube atakuwa bora zaidi ya mayele
@mrishojuma4695
6 күн бұрын
Huyu ndiye mchambuzi halisi sio wengine mifuzi tu
@sallyeliya5213
7 күн бұрын
Toa shule🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jacksontanda5431
7 күн бұрын
Welcome at House of cups DUBE
@BedictoPetroKazumba
6 күн бұрын
#Mwaduke respect sana Mzee wangu hunaga mambo mengi na uko making sana na kazi Yako. Allah aendelee kukujalia na kukulinda Mzee wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MozesKalikumbi
6 күн бұрын
Prince Dube ni mtu sahihi kwa Yanga kwenye eneo la ushambuliaji na ufungaji , congrats to Young Africans
@raikamsela
7 күн бұрын
Young African 💛💚🔰💪
@ImanuelMwaipaja-wf7xq
6 күн бұрын
Kwaiyo una watishia makolo
@robertphilip385
6 күн бұрын
Ndiyo
@user-yn6wf7qq7s
6 күн бұрын
💚💚Yang aaaaa
@charlesroswe
6 күн бұрын
dube yupo vzr👍👍👍👍👍
@MbwadukeStats
5 күн бұрын
Yeah!
@user-wl7zm5vj7v
6 күн бұрын
Hivi watu kama Jemedari na Jeff Leah Huwa wakisikia hizi Nondo sijui kama wanajifunza ,hivi Huyu Mbwaduke unaanzaje kumkosoa na hizi data😂😂
@malietamalieta9658
6 күн бұрын
mimi nimefurahi usajil wa dube akibaki na aziz ki inshallah tutakua tymemaliza kazi ila baleke mm walai sitaki aje yanga
@JacksonKadwela-cb6sq
5 күн бұрын
❤yanga tuna chukua vikombe vyote ata vya chai
@KarokiaNdirango-lj3wf
6 күн бұрын
Mbeduke mchambuzi bola kwenye nchi hii 🎉🎉🎉
@michaelnkobi2201
7 күн бұрын
Saaaafiii
@emanuelsamwel999
6 күн бұрын
❤
@GibsonNtamamilo
6 күн бұрын
Kwa Dube yeye hakuna tumesajiri jina. Dogo hapambani majeruhi sana.
@user-ce8wc9te7y
7 күн бұрын
Vizuriiiiiy
@jacksontanda5431
7 күн бұрын
Ngoja 2one
@gasperelasto8842
6 күн бұрын
Kaka hivi namba zlzoandikwa kwny jezi za wachezaj huwa wanazipataje, ni nani huzipendekeza, kw kigezo gani?
@MbwadukeStats
5 күн бұрын
Yeye mchezaji na timu anayohamia. Ikiwa haina mtu inakuwa rahisi zaidi kuipata. Vinginevyo mchezaji hulazimika kutaja chaguo la pili, la tatu...alimradi kupata namba isiyokluwa na mwenyewe,
@AndrewFilemon
6 күн бұрын
Baleke wanini? bhn, mshambuliaj gani anafunga magoli ya piga nikupige
@EdgarAlphonce
6 күн бұрын
Hapa kwenye asilimia ni 36% na siyo 26%
@MbwadukeStats
5 күн бұрын
Okeee. Shukrani kwa kugundua kama kuna mahala Mzee wa Data kateleza. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@juliusejulius6704
6 күн бұрын
mchambuzi uliyemkweli Tanzania umebakia wewe tu
@abdallahakida7908
6 күн бұрын
Ngoja tuone mara baleke mzuri mara chama mara dube mara mayele mmechanganyikiwa mtaipoteza timu na mwaha huu mtafanya vibaya zaidi mpaka ligikuu kwa sababu ya over confidence
@Mobmob2013
6 күн бұрын
Kolo unateseka Ukiwa wapi
@RashidKaoneka-bj8mm
6 күн бұрын
Kolo unawivu usije ukajinyonga
@bsmonline8482
6 күн бұрын
Kijana wala haihitaji nguvu kubwa Usajili wa Yanga Ni hatari sana hasa ukizingatia waliotupiga 5 wakageuka wakatupiga 2 bado wapo. Tunajifariji tuu ila Yanga gari likishika njia ni hatari sana msimu huu kuliko uliopita
@user-ox3ij7ki3t
6 күн бұрын
Maana uliskia kocha anapanga kikosi kwa kusikiliza sifa za wachezaji kwa wachambuz na mashabik et??? Ukweli ndo huo ni wazuri kweli ila kocha ndo anajua namn ya kuwachezesha
@fredyjunior6961
6 күн бұрын
DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE
@FabianDasson
7 күн бұрын
Akiwa fiti tutafrahi sana ila shida ni utimam wa afya yake 7:40
@AjiaMohamed-rt5pb
6 күн бұрын
Kwa kuwa yupo yanga uyu n fit
@Ba63828
5 күн бұрын
Can you explain to me sir kwanini wamempa byebye Guede?
@MbwadukeStats
5 күн бұрын
Pengine yeye ndiye ameipa Yanga byebye baada ya mkataba wake mfupi kumalizika na kisha kupata sehemu yenye malisho mazuri zaidi kwake!
@amaniomar1755
6 күн бұрын
Safi 🎉🎉🎉
@abdallahakida7908
6 күн бұрын
Sasa huyu si alikua azam kipi kikubwa alichofanya ama kweli mfamaji heshi kutapatapa.
@omarydaudy3744
6 күн бұрын
Hata mudathiri alikuwa azam
@Mobmob2013
6 күн бұрын
@@omarydaudy3744 umemjibu kolo vizuri
@user-ox3ij7ki3t
6 күн бұрын
Alikuwa anazungukwa na nani kwanza akiwa azam alikuwa hana furah tim ilikuwa haina malengo ndo unambiwa ukifunga tim flani viongozi wanakukasirikia na si ajabu maan mfadhili wa azam ni mwanachama hai wa makolo
Пікірлер: 56