Ukisikia mke ndo huyu mama mungu awajalie maisha marefu maana mmepita vikwazo vingi
@navokisembo
6 ай бұрын
Great ushuhuda be blessed Davista
@kahindiwanje90
6 ай бұрын
Safi Mr DM 👍👍
@RwelamiraPascal
6 ай бұрын
Peter rulagora usichanganye injili na torati yaani sheria. Nywele hazihusiani na kuokoka. Hujui maana ya wokovu. Soma Wakolosai 2:16 na Waefeso 2:5-8
@JoyceNowara
6 ай бұрын
Kweli kabisa
@mamertarweyemamu3438
6 ай бұрын
Acha ushamba.😅 14:51 14:46 Mbona nyeele Ni 14:22 Ni mzuri anapendeza😅😅
@Fm-MornStar2014
6 ай бұрын
Davistar soma Biblia, Ndoa Mseto zinaruhusiwa kwenye barua za mtume Paulo. Hata kama mtu ni wa imani gani, mradi kila mmoja abaki katika imani yake.
@danieljoseph1610
6 ай бұрын
Biblia inaruhusu kuishi lakini sio ndoa! Na hi ni kwa sababu ndo haijatajwa ndani ya biblia! Ila kwa kufunga ndoa hakuna kanisa inayoruhusu kufungisha dini tofauti! Labda ndoa za bomani!
@danieljoseph1610
6 ай бұрын
We mama mwongo! Romani catholic hakunaga ndoa mseto! Hapo unatupiga! Mi mwenyewe nilioa muruthelani niligomewa ndoa kwanza mpaka mwenzangu akili imani ya kanisa catholic mchumba wangu alikili kwanza na kupokelewa ndo nikakubaliwa kufunga!
@josephsabuni795
6 ай бұрын
Huyo aliyekugomewa hajui utaratibi wa Kanisa katoliki na alikosea kukugomea, ndoa za mseto zipo na kanisa linaruhusu, ila mnahimizwa wote muwe wakatoliki..
@JoyceNowara
6 ай бұрын
Ni kweli kabisa si muongo ndoa za mseto ziko kabisa mimi mwenyewe nimefunga hiyo ndoa yamseto catholik tena hatukusumbuliwa
@albertinamichael6123
6 ай бұрын
Ndoa ni ndoa tu haijalishi dini
@mayanmlingwa4250
6 ай бұрын
Kwa kufuata mtiririko wako ndugu DAVISTA naimani kuna changamoto kubwa sana kwa sasa zinasumbua,,tangu niifahamu chaneli hii 2020 kila siku unapunguza namba......vita uliyonayo ni kubwa sana toka kuzimu Mungu akusaidie.......je tunafanyaje ili usipotee kabsa......wadau wa mama wa mikono 3,bakora za mikakati,gambosi na nyingine toeni mawazo.
@mayanmlingwa4250
6 ай бұрын
Pia ili namba ziongezeke ningekushauri eneo la kudownload uliondoe.
@Mamas-06k
6 ай бұрын
Akiondoa ndio tunaondoka pia sisi,
@mayanmlingwa4250
6 ай бұрын
Kwaiy upo kudownload tu na si kutazama online ili apate riziki,,,kiufupi huna unachopoteza kwake Aiseeee.
@kelvinramson2164
6 ай бұрын
Vita ni kubwa naamini Mungu atasaidia atashinda tu atafika mbali
@rerisamba
6 ай бұрын
Kwa ufupi wewe mama una hekima sana kama nimimi ningekua nishapayuka nikamwambia wewe wanataka toa mtoto kafara
@peterrulagora7403
6 ай бұрын
Hizo nywele hazifai mama mchungaji km ameokoka
@gabrielisdory9686
6 ай бұрын
Nywele zinashida gan 😢😢
@lizzybeth6344
6 ай бұрын
Wameanza sasa wajuaji wa dini
@Fm-MornStar2014
6 ай бұрын
Unajua utofauti wa nywele na Moyo?
@richardndegese1448
6 ай бұрын
Nywele zinashida gani tafuta kumjua Mungu ni Roho.
@twaibumikidadi7377
6 ай бұрын
msalaba ni ishara ya kuzimu soma Biblia vizur utaona
@msemakweli243
6 ай бұрын
Huyo hana sifa za kuwa mchungaji kama mke wake ndo ana mwonekano uho
@neemadamian-x8k
6 ай бұрын
Kwani umeshakuwa Mungu wewe?
@CosmasHamis-e4i
6 ай бұрын
Kwani kuna Nini?
@msemakweli243
6 ай бұрын
@@CosmasHamis-e4i mwonekano wa mke wake kwenye bibilia ni kahaba sasa kama kashindwa nyumbani kwake kwa wengine hataweza
@gabrielisdory9686
6 ай бұрын
Hii nchi kunashida sana,ko mke wa mchungaj hatakiw kusuka??,nafikil labda angekua katoboa pua au sikio,katinda nyusi,kapaka mekapu hapo ndo ingekua shida
@msemakweli243
6 ай бұрын
@@gabrielisdory9686 hii nchi tena wewe unaishi unavyotaka au unaishi kama mungu anavyotaka kwanza kama ungekuwa unamtii mungu mke ilibidi awe amefunika kichwa anapokuwa kwenye nyumba ya mungu,kusuka ni kujilemba mungu anasema wanawake wajilembe kwa ajili ya waume zao mimi nimemuona ni mke wangu waelekeze watu kwa mungu mistake mfanikio ambayo yanawafanya mkose ufalme wa mungu
@khaliduhadi2336
6 ай бұрын
Wewe muandishi acha maswali ya kipumbavu ni mdini na mchonganishi wa kiimani nimekufatilia sana kama wewe mdini katafute taifa lako mjinga sana wewe
Пікірлер: 59