Simba msilazimishe mchezaji hata kama moyo wake haupo tena eti ili asiende popote. Chama hasipofanya vizuri mtamlaumu.
@HospiaceMata
7 күн бұрын
Issue ya chama Simba waachane naye Tu mana yawezkn akawa simba alafu akili ikawa sehemu nyingine so hawezi kuwa na parformance nzuri
@user-yh3dv2bl7u
7 күн бұрын
Brooo nimekuelewa sana
@christopherchisuligwe512
6 күн бұрын
Kasuga wew unaitendea haki taaluma ya uandishi wa habari, ni poroje taauma hawana
@user-lt2wb6hb9h
7 күн бұрын
Nyie mnaosema achana na chama mnatoaga pesa ya usajili kaa kimya utopoto,
@rexgodwill7353
7 күн бұрын
Kama pesa ipo Tajiri karidhia mwache abaki hata bench akae tu😂.. Maana Kuna watu roho zinadunda duu juu ya chama... Kama kwenda aende kama kubaki abaki 50/50
@eddymarquess8851
6 күн бұрын
HANS NDO MZEE WA KUJIMALIZA YAANI YEYE NI DEAL DONE MUDA WOTE😅
@bakarimmbaga2344
6 күн бұрын
Chama asidanganywe akaondoka Simba, kwa umri alionao sasa uwezo nao unapungua haitachukua muda hao yanga watamuweka benchi. Ni vyema akamalizia pale aliko anzia, akumbuke kuwa walipo ondoka yeye na mwenziye Luis Miquison kwenda uarabuni mambo yaliwa haribikia mapema na waliporudi viwango vilishashuka!😂😂😂
Пікірлер: 11