Makonda tunakupenda sana mwenyezi mungu akulinde uko vizuri kaka kwa kazi , tatizo vizuri hafidumu
@michaelnjunwa9270
7 ай бұрын
Brother Makonda yupo vizuri... Sijawai kuona effort za namna hii
@errydeo8865
6 ай бұрын
hana lolote unafiki tu anatak kujifanya JP;na hii sio kasi yake
@lilianeerica3318
6 ай бұрын
Mtu utamjuwa kama ni mzuri akianza kazi maana wakati wakuomba kazi lazima awe mwema na hawa wenyesiasa usiwaamini sana wakati huu uwaamini wakishi chaguliwa ukiwaona wakitimiza yale waliokua wanayasema
@allanmtumbuka3100
2 ай бұрын
Hv inakuaje wanapewa.leseni ya kuongoza kwaa ongopea wananch.
@faridahalwaily85
7 ай бұрын
Tumshukuruh Allaah na mama Sameeha kumletaa makonda kuwatatuliyaaa shidaa zenuuu nendeeeni naeee poleee poleee. Walowekwaaa ndio wenyeee shidaaa kuwaendeshaaaa mbio maraiyaaaaa kuweniii na subrah mutatuliweeee shidaa zenuuuu Allaah na nyiyeee kWa ummojaaaaaaa. Wenuuuu.
@danstanmushobozi-bu7ru
7 ай бұрын
Makonda Hana uwezo kutatua matatizo yaliyosababishwa na serikali yake, huu ni usanii tu.
@jesaminzo
7 ай бұрын
@@danstanmushobozi-bu7ru kweli kabisa, yaani wanataraji bashite awatatulie shida zao, kituko!
@OmmyJames-xn7ji
7 ай бұрын
@@danstanmushobozi-bu7ruAlimaliza USHOGA NA SASA ATAWAMALIZA MAJIZI YOTE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥳
@vicentnyanda828
7 ай бұрын
@@danstanmushobozi-bu7ru unàjua kuna wajinga hawaelewi kama hapa ni siasa tuuu😂
@rosetreffert4179
7 ай бұрын
@@jesaminzokabisaa
@bosramwank2373
6 ай бұрын
Nakuelewa vizur mh. Makonda
@YudaKabogo
7 ай бұрын
Makonda upo vzr sana
@fattymusa4857
7 ай бұрын
Mwandishi, kichwa cha. habari tofauti na maelezo.
@rehmakondo
7 ай бұрын
Yani huyu muandishi ovyo kbsa
@user-fw3db3om1s
7 ай бұрын
Mwandishi ni mchonganishi
@elizalutiga6287
7 ай бұрын
Watu wa wanajibu tu bila kusikiliza
@faisalanuary7033
7 ай бұрын
@@user-fw3db3om1sclick bait 😂yani kichwa cha habari ni chambo, lazima unase😅
@flycobensony9680
7 ай бұрын
Anazingua huyu
@Aamours
7 ай бұрын
Hii kazi ya Makonda mimi naitafsi kama ni kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
@user-mj7cm8zw8c
7 ай бұрын
Upo sahih hakika si uongo ni kwl kbx
@DirectorRich2024
7 ай бұрын
😂😂😂😂 unajicho kama mm
@stevenemwakasimba-pt8er
7 ай бұрын
Uko sahihi kabisa
@bahatinassorali5222
7 ай бұрын
Umeshtuka kama mimi😅
@mwanakombopopo5117
7 ай бұрын
100%
@hafsamnenga1942
7 ай бұрын
Ila makonda namuona magufuli kabisa ,p
@isacktemba551
7 ай бұрын
Ivi kweli hii nchi tumekubali bodaboda ndio kazi ya msingi kweli na nchi yenye neema yote hii na utajiri
@AjiaMohamed-rt5pb
7 ай бұрын
Unataka tufanye nn ss
@user-dk5kk4rf3v
7 ай бұрын
Aibu kubwa
@ahmed-shakirmwamba4992
7 ай бұрын
Tatizo ni kutawaliwa na chama hicho kwa hicho na fikra finyu za Viongozi kama Makonda. Fikra mbadala ni lazima.
@user-qp5vi9yt6m
7 ай бұрын
inawezekana kipato cha bodaboda wew ukifikii mpka unakufa wew
@simonlukiko2850
7 ай бұрын
UNAFANYA KAZI GANI. WEWE AMBAYO. NAMZIDI BODA BODA
@user-hp4pf9cm4s
6 ай бұрын
Fanya kazi baba mama tunakupnda kwa kumchanguwa huyu mtu ktk maisha yetu na mungu awasimamie kila iitwayo leo na family zenu
@mfalmekaitaba2425
7 ай бұрын
Hii nchi imewashinda
@user-hl8oo1ih5s
7 ай бұрын
Hii si kazi ya katibu mwenezi kwenye mkutano wa hadhara. Hujasoma sheria bora ukasome uongozi
@tinnahagustinolyelu4247
7 ай бұрын
Katumwa huyo unafikiri anaanza tu shauri yako
@mallowmduhu4933
7 ай бұрын
Mwenezi ni moja ya majukumu yake, huyo ndiye mtunga sera na msimamizi wa sera hivyo anachokifanya wala hakuna kosa😂😂😂
@frankjohn8706
7 ай бұрын
@@mallowmduhu4933KWA chama chake sio kwa Taifa na itikadi tofauti ndio maana hata sikukuu ya kuzaliwa ccm haipo ki Taifa kwa watu wote Bali ipo ki ccm tu Wala sio kiserikali japo ccm ndio tawala
@loner_wolf
7 ай бұрын
Unafikiria kazi yake ni nini ? Yeye ndio anafuatilia kama iILANI ya chama inafuatwa.....sasa ulifikir nini kazi yake ...?
@Lodrickmwambene
7 ай бұрын
Wewe Ndio ulewi kazi yake
@patrickmsuguri
7 ай бұрын
Hii ndio maana ya kusomea unachokiamini hapo makonda ume qualify kuwa nwenezi kweli kweli ❤
@yudachelango6824
3 ай бұрын
Kwani amesomea uenezi?
@user-pq4nt2vq4g
7 ай бұрын
Makifuli," haaa ,nani atafikia Ile hekima ya hayati Makifuli ?nonono,you are trying but aujamfikia , keep it up and more effort.
@rosemataba3544
7 ай бұрын
kampeni anasafisha njia mama akija asitumie nguvu nying
@shamimushittindi1418
6 ай бұрын
Makifuli ni nani
@jeanmarieirankunda-ww4bn
2 ай бұрын
Makonda hatakama Mimi si mtanzania ninakubali kazi yako pia Mungu akujalie mema
@fatumashisha141
Ай бұрын
Amen nampenda
@ukuvukiland2387
7 ай бұрын
Hivi haya maigizo yanayofanywa kipindi hichi kabla ya uchaguzi ,yangefanywa kila mwaka mara moja tuu na wangeunda kamati nchi nzima ya kushughulikia kero na madai ya wananchi na wangezishughulikia ingependeza sana.
@Wami-Sababisho
7 ай бұрын
Nchi yetu haitaki mtu mwenye maamuzi magumu maana hata aliyepita alikuwa na mambo zaidi ya mazuri lakini mwisho wa siku alionekana ana mambo ya kinyama baadae watu wanaanza kumkumbuka wakati ameshatangulia mbele ya haki. Sisi ni watu wa kulalamika tu hatuna jema
@morjanoman5181
7 ай бұрын
Tukae kimya mana tukisema Sana wanatuona tunaikosoa serikali kumbe hizi hojandio zilitakiwa kilamwishoni MWA. Mwaka wangekua wanatembelea wananchi
@KHAMISMOHAMMED-fj4bs
Ай бұрын
Hii ya kuandikwa kichwa cha habari tofauti watu wa habari waingilie kati huyu ujinga uishe
@UshuziwaSerikali
7 ай бұрын
UJINGA NI HUU HUU, WE MAKONDA NI TAIRA KAMA HUYO BIBI YAKO SAMIA, MNAFIKIRI MTAENDELEA KUWADANGANYA WATANZANIA, TUMEWACHOKA NA USHUZI WENU MNAOUFANYA NA KODI NA MALI ASILI ZA WANANCHI
@PauloMathayo-ql8cl
4 ай бұрын
acha zako makonda sio taila atatua kero za waninchi
@AnnaKanje-tw2rz
3 ай бұрын
Umechomaaaaa😂😂😂 Ushuzii....punguza ukal wa maneno kdogooo........
@ponsianomwakisunga899
2 ай бұрын
Nenda katombwe uko
@itiamekimbui722
6 ай бұрын
kuna vile sijaelewa huu mzunguko wa makonda kwa gharama za serikali .ukisikia kero za wananchi ndio mbinu ya kutafuta kuura?
@erickchitumbi1308
7 ай бұрын
Ccm kama jumba la kale.jipya wakati wote na kila kizazi litatembelea jengo hilo.
@morjanoman5181
7 ай бұрын
Kwaza tunakushukulu mamaetu kipezi samia. Kutuletea makonda ushauli kwa viongo ivoizikero za. Muwemnaweka kila mwaka mwezi wa 12. Mnawasikiluza shidazoa sio adi kampeni za uchaguzi samahani kama nimewakera🙏🙏
@luganomwaigomole7441
7 ай бұрын
HAKUNA CHA MAANA ANACHOKIJIBU
@leokamil6284
7 ай бұрын
Anawa enjoy wapumbavu ambao anajua wamejaa nchi hii
@user-yt9ly5bn4o
6 ай бұрын
Watanzania mnapigwa hakuna mambo ya maana hapo wanapiga kampeni ccm imechoka kuongoza nchi
@yasinta2342
6 ай бұрын
Acheni ujinga wa kuandikika vichwa vya habari vya kitapeli tapeli na kijinga jinga vya kuwavuta watu ili wasome habari ! HAKUNA ALIYESEMA MAKONDA UONDOKE
@AlexanderKibona-os2bt
3 ай бұрын
Yan awa wakufutiwa ii kaz
@HeryethAleck
2 ай бұрын
Asante umenisanua ngija nipite😅😅
@LovenessKalindu
Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤@@HeryethAleck
@jofreysaimoni4964
7 ай бұрын
Hao ulio sema wakakae waelewane. Mm ninamashaka ubabe utafanyika hapo
@ismailisungura3491
7 ай бұрын
Makonda siyo kazi yake
@johnmkumbwa3310
7 ай бұрын
Kazi ni ya baba ako choko nini acha
@user-su3zd6mz6d
7 ай бұрын
Mwenezi wa chama hii ni kazi yako kweli!!!
@BJ-qi6rp
6 ай бұрын
Siyo kazi yake!
@user-fw1rf6be1z
6 ай бұрын
Vzr
@RAMADHANIMWERA
3 ай бұрын
Makonda saidia wananchi wewe ni magufuri ulie Baki big up
@SostenesMabala-tt8pt
7 ай бұрын
Pumbavuuuu upuuzi tu .
@exprodigitaltechtv5571
7 ай бұрын
boda boda ndo wanaongoza kulalamika kila siku lakin ndo hao hao wepesi kununuliwa na kutumika kisiasa
@zobakazizi7637
7 ай бұрын
Sheria za Tanzania huwa zina mganganyiko...
@rahmambugi2322
2 ай бұрын
Makonda naomba uje kua Rais ccm oyeee💪🏾
@WilliamSosiende
2 ай бұрын
Nikweli kabisa
@odoieriasmonga6591
7 ай бұрын
Sisisem nchi imewashinda kila konamalalamiko achieni ngazi
@awadhally1052
7 ай бұрын
Kwel kabisa
@user-uh9xg1pn6i
7 ай бұрын
Unadhani wataachia kwa hiki ki sms chako ..em be serious mkiambiwa tuandamaneni kudai haki zetu uko zako busy na utafutajiii
@user-hd5bg8qw1b
7 ай бұрын
KWA TAARIFA YAKO UNAEMFIKIRIA KUSHIKA NCHI ZAIDI YA CCM HAJAZALIWA BADO HAWA WENGINE WOTE VYAMA VYOTE NI WAPIGAJI TU HIVYO BORA NA CCM.
@mbarakajummadindamadinda491
7 ай бұрын
Mungu futa liccm
@adamdango
7 ай бұрын
Mbinguni tu ndio hakuna malalamiko. Kazi ya CCM ndio maana unasikia boda boda wanaongelea millioni 400 na millioni 120. Hiyo ndio kazi ya CCM.
@sabiilassalaf
7 ай бұрын
Noma iyoo
@Dogochao
7 ай бұрын
Makonda bado uwezo mdogo. Sana. Bora ally happi. Yupo vizuri Mara 100
@Boaz22
7 ай бұрын
Ally hapi ana skendo ya kufira mashoga, kwani hujamsikia yule shoga dayon aliehojiwa na mange kimambi? Ally hapi hawez kua kiongoz tena, ana skendo mbaya sana
@salmaalimusa6809
7 ай бұрын
@@Boaz22😢😢😢
@user-ge3cg4ct9z
7 ай бұрын
Mtie moyo hata kwakidogo
@salimucvales7495
7 ай бұрын
Makonda oyeeeeeeee CCM oyeeeeee mama Samia oyeeeeeeee
@Alimasibahati
2 ай бұрын
hii channel inapenda kuandika vichwa vya habari vya uongo sana andika vitu vyaukweli watu wataona kazi yako tu!
@LalasalamaBB
2 ай бұрын
Makonda kongole mungu akulinde bro
@IreneMalley
2 ай бұрын
Mkome makonda kiboko yenu Arusha mmezoea uwizi makonda Mungu ampe ulinzi nakufuatilia sana
@Msemaukwelitanzania
3 ай бұрын
Ndugu mwandishi ieshimu kazi yako acha kuandika Taito ya uongo katika hii video nimwananchi Gani aliemwambia mweshimiwa makonda atoke nakuonya ifute hii video au badirisha taito cheza na wengine sio mweshimiwa makonda kaka utaitia pilipili hii kazi yako sasaivi
@achantyyahya4290
6 ай бұрын
Uhondo Tv Mwe ni mbwaaaaaaaaaaaaa😢 kichwa cha habari sio yaliomo
@CyrilleLopez-qo8rm
2 ай бұрын
Kweli Makonda ni marehemu magufuli minimrundi inanamfatasana
@user-fw6xd1te2s
7 ай бұрын
Mmh
@ElizaZabron
2 ай бұрын
Kusema kweri makonda yupo sawa nivizuli sana angekuwa raisi wa jamhili ya muungano wa 🇹🇿
@userwalterreal
7 ай бұрын
Of course 😊 ninapenda utatuzi wa kero hizi Sasa mm kinacho nifikirisha kwann Hawa watu uwa wapo tu apo kwambele kwann asiwe Ana chukuwa nawatu kutoka nyuma kabisa
@bahatijoseph8763
7 ай бұрын
😂😂😂
@lyrics_forum
7 ай бұрын
Tatizo Makonda Una Act kama Rais au Kiongozi Mwenye Ngazi nyuma ya Rais wakati wewe ni Katibu Mwenezi tu.. Wakati Mwingine mihemko yako Angalia isikugharimu, naona kama Unajaribu Kuiga Moyo wa Magufuli unasahau yule alikuwa Rais sio Katibu Mwenezi wa Chama cha Matapeli.
@Lodrickmwambene
7 ай бұрын
Nyie ccm wajanja sana kura zipo kwa wananchi Wewe unadhani kaamuwa tu kufanya hivyo nchi ni ya ccm na itaendelea kuwa hivyo vizazi vizazi
@IdrisaAbdallah-pf4mw
7 ай бұрын
Upo sahihi kabisa yn nashangaa sana
@jeanmusamba8448
7 ай бұрын
ni muenezi ana haki zote ndo anashikilia chama na ni wajibu wachama kutatua matatizo ili raisi na serikali waendelee kuwepo,bila ccm Samia atakuwa rais?yuko sawa,sio katibu mwenezi tu,sio cheo kidogo hivyo unavyo dhani,practically ni mkuu sana na hayo ni sawa
@estermathias8354
6 ай бұрын
Watu hawajitambui hii kaz sio ya rais mbona atachoka sasa kaz ya mwenez ndio hii kujua shida za wananchi wake ili chama chake kiendelee kukaa madarakan.sasa afanye raisi ki vip mbona hata jpm alikua anasema hiz kaz unatakaje wafanye wasaidiz wangu .nyie nao na chuki zenu kwà makonda hazisaidii ameshakubalika hata mkimchukia haisaidii
@estermathias8354
6 ай бұрын
Watu hawajitambui hii kaz sio ya rais mbona atachoka sasa kaz ya mwenez ndio hii kujua shida za wananchi wake ili chama chake kiendelee kukaa madarakan.sasa afanye raisi ki vip mbona hata jpm alikua anasema hiz kaz unatakaje wafanye wasaidiz wangu .nyie nao na chuki zenu kwà makonda hazisaidii ameshakubalika hata mkimchukia haisaidii
@YasiniMomboka
7 ай бұрын
Kwani makonda cheo chake kipo upande gan ccm au selikalini
@azizially557
7 ай бұрын
Sisi tunataka katiba mpya tume huru ya uchaguzi ndo mjue ccm ni chama Cha maigizo miaka 64 ya uhuru umeme hauna uhakika
@awadhally1052
7 ай бұрын
Kwel kabisa wiki mtupu mpaka sasahivi umeme nishida
@anjelomsafi7133
6 ай бұрын
DAHHHH YANI MTU KAJIELEZEZA MATATIZI YAKE YAKE LAKINI KAPUUZIWA KESI IMEISHA JUU JUU APO ANGEKUWA MAGU KESI INGEISHA MBELE Y WANANCHII😢😢
@shamsuddin4582
6 ай бұрын
Huyu ni vilee hana power, angekuwa rais ungeona
@jumamagoma1743
7 ай бұрын
Maigizo.a.k.a Futuhi.
@user-sl9rh9gi9c
7 ай бұрын
Hhhhhhh
@fortyyellu9971
7 ай бұрын
Hii migogoro inatakiwa itatuliwe KISERIKARI na wala sio KICHAMA watanzania tusiwe mazwazwa... yaan mnakaa na kumsikiliza mtu aliyevaa nguo ya chama si UJINGA HUOO..!! Mambo ya chama yanamalizwa kichama ndani ya chama.. Shituken nyinyi.. msipelekwe pelekwe tu
@mosessheella894
3 ай бұрын
Kesi ya nyani kuipeleka Kwa nyani,
@crispinankya3843
7 ай бұрын
Kazi ya Public transport ni serikali.
@stellamsokwa6785
7 ай бұрын
Usipoenda na upepo utachelewa kufika... Be flexible kikubwa mambo yaende🚶
@ElitulizaMinja
2 ай бұрын
Makonda mtu wa maana kabisa,,, Kuna watu wanatamani ardhi ipasuke waingie uko
@samniza1763
7 ай бұрын
Ovyo!
@paschalpaul3862
7 ай бұрын
Kodi za rtr na zingine ziondolewa kila mtu awe huru kama ilivyo Uganda kwa mzee mseveni
@geophureysamsoni5033
4 ай бұрын
Kazi ipo hiiiii
@user-kv5ql3xj6b
6 ай бұрын
Daa tunakupendaa sana
@JoyceKabula-in1sh
3 ай бұрын
Hovyoo
@anithawidambe7543
7 ай бұрын
ASANTE SANA MAMA SAMIA KWAKUMCHAGUA MAKONDA. ANAFAA SANA KUWA KIONGOZI. ALIUNYOOSHA SANA MKOA WA DAR. PALE ALIPOKUWA MKUU MKOA
@user-ky2ch5rl7i
7 ай бұрын
Ni mkuu wa mkoa wa wapi..
@user-kz5pw2sl6i
7 ай бұрын
Hii tatizo
@mbarakajummadindamadinda491
7 ай бұрын
Mungu futa liccm
@mfebricknkuna7106
7 ай бұрын
Ni aibu kwa n'nchi iliyopata uhuru miaka zaidi 60 na kushindwa kutoa ajira kwa vijana wake. Boda'boda ni kazi hatari sana, na inatuletea vilema vingi siku zijazo.
@othmanjumankwabi4150
7 ай бұрын
Serikali inatengeneza mazingira bora miundombinu ili tujiajiri.HAKUNA SERIKALI INAYO TOA AJIRA
@othmanjumankwabi4150
7 ай бұрын
SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI KILA KIJANA
@mwlpierre
7 ай бұрын
@@othmanjumankwabi4150peekaboo ujinga wako uko mshamba wewe
@ebenezerchurchsupremetv9490
7 ай бұрын
Watu wote muajiriwe😅😅😅 Iko nchi gani umewahi kuona hilo 😂😂😂
@gidionkadaraja1403
7 ай бұрын
Tumia akil wew serkal haiwwz ajir watu wote
@zuanshimchina2278
7 ай бұрын
Kwani rais ana kazi gani
@WilliamSosiende
2 ай бұрын
ATA ukienda Kenya Mombasa bajaji zinabeba Abirja
@Pentecost598
3 ай бұрын
Hamna hata aibu kujiita uhondo TV. Sasa hapa Pana uhondo au vichwa vya habari vya uongo ?
@songeza
28 күн бұрын
Jamani ebu msitufanye tuwe wendawazimu mazuri yalipita je kuna baya gani hadi mnamkamata na kufanya tusimuone ebu mpelekeni kwao mwachisheni kazi au mnataka uchaguzi uishe ndio mtangaze,?
@EmanuelSaleh
Ай бұрын
Huyu mwandishi inavo onesha happening kazi anayoifanya makonda ashindwe na akafie mbali huko
Tusemeni ukweli Mh Makonda Madini anayoo ya kutoshaa alifanya kosa kubwa mno Mh marehem Rais magufuli kuendelea kumuacha kipindi kile chote cz jamaa anamadini adimu ata tukimpa miaka 10 bado ata Roho hajayatumia
@bagengift3488
7 ай бұрын
Kosa kubwa ni kumpa Mchaga au Mmeru MiC 😅
@liverpoolfootballclub9985
3 ай бұрын
Kwa makonda musilete za ovyo. Huyu mkuu ni mwamba. Hakuna masihara hapa ni kazi tuu
Ukweli hilotatizo kwangulipo maji wamekata mweziwakuminamoja January unaletewa.bil ya sh,280,000 namajihayatoki ukienda ofisinikwao majibuyao hayarizishi unaambiwa lazima ulipe deni kwamisingi ipi huu niwizi nauonevu
@feezdidthis2220
7 ай бұрын
Hahaha nyinyi tunawajua, lipa bili urudishiwe maji.. Tena mnavyopendwa kama una nia ya kulipa ukienda ofisi za dawasa utaundiwa mpk mkataba wa kulipa na utaambiwa ulipe kiasi kidogo kwanza ili maji yarudishwe.. Sasa ww unalalamika kwa makonda 🤣
@Moosamly
7 ай бұрын
MAKONDA umevaa CHENI shingoni 🤣😁🤣
@suleimanzimbwe373
3 ай бұрын
Wajifanya Magufuli Makonda kick za hovyo acha kujitia vyeo vikubwa ww sio rahisi wa nchi ..bado sana
@priscasway3492
6 ай бұрын
Jamani wanabambikiza watu bili
@abdalamwendi3133
7 ай бұрын
Waziri mkuu kama mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ana kazi Gani!? Majukumu yake ni yapi!? Na katibu mwenezi CCM ana kazi Gani na majukumu yake ni yapi!? Yani mwenezi wa chama CCM anatoa maagizo Kwa watendaji wa serikali ambapo kimsingi ama kidemocrasia anaowapa maagizo sio kwamba wote ni CCM pamoja na ukweli kwamba watumishi na watendaji wote wanatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani. Kwa Nini mwenezi anatoa magizo ambayo kimsingi yalitakiwa yatolewe na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ambae ni waziri mkuu? Mambo ya ajabu eti katibu mwenezi CCM anajua Kila kitu?? Amemfunika adi Bosi wake Mwenyekiti wa chama CCM na makamo Wake 😂😂.
@user-xv2qu5nr4r
6 ай бұрын
This Is Honorable Magufuli Style Copying and Pasting...
@user-wi5wj2yh5m
7 ай бұрын
Huyu makonda ni kiongozi wa wizara gani na nyie wananchi mnamuuliza awasaidie nini
@leokamil6284
7 ай бұрын
Wapumbavu hawa na ndio waliwao wanatia aibu kabisa
@Enerygozbet
7 ай бұрын
Kijana unafaa kuwa mtu muhimu sana kwenye serikali yetu agalau mkuu wa wilaya
@saloomidd1084
7 ай бұрын
Amefafanua kwa uweledi wa hali ya juu
@LivinTarimo-f6i
Ай бұрын
Mwache ajichanganye anafikiri uongozi ni kitu kidogo
@Husseink5
7 ай бұрын
Ccm wanaakili sana unadhani kwenye uenezi wangemuacha yule mama kuelekea uchaguzi mkuu wangepoteza sana wamemleta makonda asafishe njia kuelekea 2025
@EastAfricanFreemason
6 ай бұрын
😮😮😮
@user-oy5dz5xl8s
7 ай бұрын
Haya ni matokeo ya ukosefu wa ajira nchini
@AnnaAthumani
4 күн бұрын
Kigoma MAkoNDa
@user-sn7dw2vt3c
7 ай бұрын
Sukari kg 5000
@DuniaAlly-oz4ur
2 ай бұрын
Mtu mjinga yoyote razima asimuelewe makonda
@hssanrubota3891
7 ай бұрын
Haya maigizo hatuyataki tunataka maendeleo halisi tengenezeni viwanda muwezeshe wakulima pamoja na kutafuta masoko ya uhakika ndio suluhisho la ajira siyo bodaboda siyo kuleta maigizo na mkumbuke kila mnavyozalisha wananchi wasiokua na ajila ndoo mnavyozalisha mnatengeneza bomu litalolipua nchi mjitafakali mapema
@songombingo108
7 ай бұрын
Haya MAIGIZO ni shida sana. Yaani Bashite ndo Leo anatatua matatizo??? 😂😂Nchi ngumu sana hii
@velejilyomhongole1641
7 ай бұрын
Nenda wewe
@Moosamly
7 ай бұрын
MAKONDA unaZURURA sana... Unakula BAJETI ZA PESA za WANANCHI
@daudysanga8492
7 ай бұрын
Kwaiyo boda nabajaji ndio ajira kwa vijana
@apostleagnes5769
7 ай бұрын
Makonda keep up
@xembogasd1725
7 ай бұрын
Siasa bwana.
@RestMkinga-wg1wr
7 ай бұрын
Mm ninayo kero kubwa sana kuhusu wananchi kuzungushwa malipo ya aridhi lakini naomba kuitoa kwako na si mbele ya watu wengi nifanyaje mh maana mpk sasa kuna wananchi wameshafariki na haki zao hawajapewa naomba sana
Пікірлер: 359