lenga lenga ni uncle wangu ilo jina lilikuja kipindi alikuaga akiuza nyama pori lugufu enzi izo ni marufuku kabisa kuuza nyama pori...ndo wateja wakawa wanamuulizia bile lengalenga mboka 😂😂😂 ila ana roho nzuri sana tena sana kiukweli pamoja na mke wake wana roho nzuri sana kabisa
@wilsonfbipolice911
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣bado hacha viachaga hivyo tu Father Toka utotoni LUGUFU hadi NYARUGUSU Atariiiiiiii jameni nawapata vizuri nikiwa AMERIKA🤣🤣🤣🇺🇸🛬Tanganyika Tv nipashe
@langistany6811
3 жыл бұрын
Ale amwamwa Shina mónaka bibyo, Nabucwa abele.
@kaskilejg
3 жыл бұрын
Kwa jina lengalenga😂😂😂🔥🔥nilikuwa na mkubali sana wakati nilikuwepo nyarugusu camp🔥
@yusufuassani2032
3 жыл бұрын
Lenga lenga Niatari namuhona huyo mzee tokeaa Lugufu
@florentamisi1611
2 жыл бұрын
Huyu mzee safi kabisa
@duniadunius2330
Жыл бұрын
😂😂😂 good job 🔥🔥
@michelinemapendo6652
3 жыл бұрын
Pwaaaa 👀 🔥 🤣 🤣 🤣
@congoleseyouthnetworkc.y.n1803
3 жыл бұрын
Wow 🇨🇩🇨🇩😂😂😂 sawa baba iyo ni yako baba😂❤️
@josephemmanuel3175
3 жыл бұрын
Daaa ndo ssa babaako kudadekii😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@dksproduction350
3 жыл бұрын
Hahhahaha na Miranda miwili kwenye kiuno daaah atari bwana lenga lenga huyu
@musafiriassuman3911
3 жыл бұрын
Le grand sapeur
@charlesmsambyamsambya6443
3 жыл бұрын
Nime ipenda saaaana
@aureliebeatrice5952
3 жыл бұрын
😁😁😂dah na mkumbuka uyu mzee
@azizabanda3310
3 жыл бұрын
❤️❤️ love it 😊
@mzalendomtokambali6551
3 жыл бұрын
Amehongeza mkanda mwingine
@michelinemapendo6652
3 жыл бұрын
Fachon man 🔥🔥🔥🔥
@BampoDenis
3 жыл бұрын
😃😃😃Mr.lenga lenga, Big-up sana , 😃😃😃
@amitielukogo.2508
2 жыл бұрын
Jamani haiko jo ule alituchekesha jana harusini apa USA nawalikuwa namuita Lengalega??
@UviraOnline
3 жыл бұрын
Lenga lenga hahaha
@nabu.barbim9219
3 жыл бұрын
Watamuigaa sasa ivi mzee uyu
@methodeDM
3 жыл бұрын
🔥🔥🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣
@yasodishonest9792
3 жыл бұрын
Sasaivi watamuiga baba wawatu😀😀
@angelanikalenga4757
3 жыл бұрын
Lengalenga
@ivaniavianarodrigo7201
3 жыл бұрын
ila kapendeza tusemeni ukweli!.
@Byondorujulika17
3 жыл бұрын
Ndugu yangu Lengalenga umenifurahisha sana tena sana, umenikumbusha Lugufu hadi Nyarugusu, naomba unitafute ili nikuunge mukono, wewe uliza kaka yake ya KILAMBAMAWE atakupa number yangu ili tuwasiliyane. Ni mimi Yanga-Zezo walukichwa anaomba pipi ya............
@wanyemaselemani3621
2 жыл бұрын
Byondo kwasasa ukowapi?
@JeremyLusambya-hd1uf
4 ай бұрын
Mitostudioemotv Chanelle tuna furahi ku pata video yenu
Пікірлер: 49