Ibada zetu, sifa zetu, na kuabudu kwetu kumeingiliwa na udunia mwingi kiasi kwamba nguvu iliyo ndani ya ibada, sifa na kuabudu imepotea katika kanisa la leo. Watu wanachezea Yesu wakaki hata waume zao au wazazi wao hawawezi wachezea.
@EliasBaltazary
Ай бұрын
Niyasikiapo mafundisho yako napata amani sana ndani ya moyo wangu, napenda injili ya kweli, sihitaji kupoteza muda bure... Ubarikiwe sana. Anayekuchukia ni wazi kaanza kumchukia Yesu Kristo... Wengi wameilanisha injili, kumekuwa hakuna sheria kuliko hata kwa Shetani... Ubarikiwe sana.
@faridashabanifaridashabani5950
Ай бұрын
Kusema ukweli nyimbo zazamani zinamabariki Sana jamani♥️🙏🥰
@leticiamakoye4871
2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wenye masikio wasikie.
@annewanjiru818
Ай бұрын
Thank you mtumishi wa Mungu kwa kutukumbusha kiwango gani shetani ametamani kuiba our souls through music. Embalamba is a disgrace to the gospel world, na hizo zingine ati..unataka unaiwe, 😢. Mungu aturehemu esp sisi wakenya
@JULIANAJOSEPH-wq4lm
Ай бұрын
Mtumishi mwenye kuhukumu ni Mungu pekee 😮!!Kuhusu hao waimbaji hupaswi kusema kitu maana watu bado humpokea Mungu kupitia nyimbo hizo hizo wanazoimba hao waimbaji,mapokeo ya mtu mwenyew ndo yanayomuunganisha mtu na Mungu na sio Mwimbaji anayekuunganishq na Mungu. Hata waimbe wakitaka umaarufu hukumu atatoa mwenye ENZI YAKE PEKEE 🙌
@Franckmulaj-Officiel
2 ай бұрын
Uyu ni man of god, kwa kweli ubarakiwe sana♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@TusaKiblaga-vp9jg
Ай бұрын
Sema Babq sema wenye masikio watasikia Mungu atusaidie
@patiencehumbled3519
Ай бұрын
Hallelujah sifa na utukufu ni kwako Yesu
@Franckmulaj-Officiel
2 ай бұрын
Tuna kupenda sana,na tunakufwata sana congo namutumushi moja wa mungu,wewe ni mutumishi endelea vile, na mungu akushike mukono
@GustaveAbedi-td9yv
Ай бұрын
La gloire, l'honneur et la puissance et la puissance Soit avec notre seigneur Jésus Christ de Nazareth.
@btsanime6138
2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Cassian waimbaji wa sasa hawaimbi bali badhi wanatafta umarufu tu. Mungu atusamehe kabsa .
@Pendopasilika
2 ай бұрын
YESU wangu. Heee!! Hongera Paschal MUNGU akusaidie shetani yupo kazini Ni kanisani?
@user-ne1cd7oq4z
2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Yesu,na kubaliana na wewe, Mungu akutiye nguvu kwa huduma hii.
@merabKitundu
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli
@dajo7523
Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@annijulius4953
Ай бұрын
Ni Heri Waimbe Tenzi za Rohoni. Unapoimba Tenzi za Rohoni uponyaji na ufungulivu vinashuka Usipokuwa Rohoni huwezi kutunga wimbo wa kubariki watu.
@user-cr6fc7nt8k
2 ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza..mungu akubariki poster akupe nguvu...endelea kusema ukwel nakubaliana na maubiri yako kwasababu ayafanani na awa wengine makonimani
@paschalcassianoriginal9411
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-cr6fc7nt8k
2 ай бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 poster mm sijui venye naweza ku2ma sadaka ya kujenga madhabau..natuma vip kwasababu mm ni mkenya na nko saudia rabia..ebu niambie ni2me vp
@user-cr6fc7nt8k
2 ай бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 niambie code na je niki2ma zitafika kwel hapo ndyo nachanginyikiwa juu sijawahi ku2ma pesa Tanzania 🇹🇿
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
@@paschalcassianoriginal9411MZEE UNANENA YAUKWELI SEMA WATU HAWAKUEREWI MAHUBILI YAUONGO NDO WANAEREWA MAERUFU NAMAERUFU ENDELEA MZZEE ATA UKIOCOA WAWILI WATATU KWENDA MBINGUNI TAJIUNAYO((((MUNGU TUMEVAMIWA TUSAIDIE ))))
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
😭
@hanagango6922
Ай бұрын
Waimbaji wengi nyakat hizi hawaimbi kwa ajili ya mungu wanatafuta pesa tu ndy maana wanadance ili kuwaatract watu wamepende izo sebene zao
@subirachristopher1984
Ай бұрын
Ni kweli, saiz waimbaji wengi wameishia kuwa wanq mziki waliojipatia ustaa na sio kumuinua Mungu
@elizabethbrown6748
Ай бұрын
Kweli ni upuuzi sana. Mungu atuhurumie jamani. Hata kwenye tv haileti maana kabisa. Nyimbo ni za kidunia sana.
@user-dt5wp5qo4n
2 ай бұрын
Amina amina mungu akubarki mchungaji,from kenyA
@Visionofeagle9689
2 ай бұрын
Uinjilisti una kufaa kabisaa mkuu , namna unavyo pazaaa kwa kishindo hakika ✊✊🙏🙏
@ABIGAIL67-tria
2 ай бұрын
Kuna kanisa ingine pale nairobi ..ilikuwa kanisa ya kabila moja ya kiluyah,wasipoimba kilugha roho hashuki Alafu roho akishuka wanapasua viti wanachapa watu ,siku moja mdada fula alipasua madhabahu na akaumia kichwa.iam telling you watu walikuwa wanakuja kanisani wakiwa wasafi wanarudi nyumbani wakiwa wachafu,wengine wameumia,eti ni roho wa MUNGU😳😳😁😁😁😂😂😂😂😂
@paschalcassianoriginal9411
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@paschalcassianoriginal9411
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍😍😍😍😍😍❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ABIGAIL67-tria
2 ай бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 iam telling mtumishi,, 😁but nilisafiri,,, finally nikasikia haipo walianza vita wenyewe kwa wenyewe na Kila mtu akaenda zake
@user-ij8cj7zl7b
2 ай бұрын
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU NIKWELI KABISA
@DastanChite
Ай бұрын
Kwa mafundisho yako mtumishi mimi hakika macho ya rohoni yamefunguka kwel kabsa
@user-cr6fc7nt8k
2 ай бұрын
Wa2 wanaimba kupata pesa na umarufu awaimbii mungu..shetan ameteka wengi tena wenye wako kanisani...siku za mwisho hizi
@faridashabanifaridashabani5950
Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 Ila embarambamba😂🙌🙌
@generosennko8343
2 ай бұрын
2 samwel 6: 14-22 David danced before the lord with all his might. So! Praising/dancing before God is not just or only a rohoni act, but can also be done with physical bodily expression ofcourse in an acceptable manner. Remember what happened to Davids wife when she tried rebuke David ways of dancing? Well, go check it out again. Shalom and Gods blessings
@joycefaida6548
2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mch.Paschal🙏🙏🙏
@user-tn5hv5oj7g
Ай бұрын
Judgment is for God only , Preach the gospel and judgement leave for God
@LillianMunyaka
2 ай бұрын
Amen my God bless you
@NicholausMbalani
2 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor Cassian
@SophiaThadei-hx4wd
2 ай бұрын
Asante Mungu akubaliki🙏🙏🙏🙏
@user-es4jv6pb8x
Ай бұрын
Hivi hao wanashida gani mweee au wamechanganyikiwa
@user-ij8cj7zl7b
2 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
@pendofrances617
2 ай бұрын
Ni kweli
@user-es4jv6pb8x
Ай бұрын
Hayo ni mazingaombwe
@AnaMeshack
2 ай бұрын
Ni kwwli waimbaji siku hizi wanaimba kidunia ni bora tu waache kumuimba yesu waendelee tu na kidunia...
@Rurengera
2 ай бұрын
Ubarikiwe ❤❤❤❤
@user-fy9zl1oq7x
Ай бұрын
Na Ambwene Tena duuuuuuuh!
@EmanuelSolomon-ij1is
2 ай бұрын
Hee Mr cassina niembie shida na kasoro ya ambwene mwasongwo acha hao wengine ni wahuni.
@joycefaida6548
2 ай бұрын
Kenya🙌🙌🙌🙌😁
@EstherChadi-xe7se
2 ай бұрын
Amen Amen
@ItikaWito
2 ай бұрын
Amen kaka
@hasanygodda9242
2 ай бұрын
Amen
@mkalibizz
Ай бұрын
😂😂😂😂 nyimbo hizo
@mengindegeya2780
2 ай бұрын
Brother mi sina mengi ya kusema ila mungu akubariki.
@user-es4jv6pb8x
Ай бұрын
Nyieee
@angelemmanuel7143
2 ай бұрын
Yani waimbaji wanasaidia shetani kutimiza kusudi la shetani sijui wanazichunguza roho au wanapenda fedha maana wengi wamekuwa rafiki wa manabii wanapotosha watu kwa kweli
@emilianagodwine6138
2 ай бұрын
Nimecheka sana jamani leo nahii kadogoli
@jovettedenise2591
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@epifaniamilinga2848
2 ай бұрын
Shida kwelikweli
@martinahlighare6495
2 ай бұрын
Ninalo swali, ukiwa unamwimbia Mungu ili kufanya ibada na wengine na usiruhusu wimbo wako kujukuliwa ( download) ili kuusikia baadaye maana umeguzwa na ujumbe aliouimba mtumishi, hapo utakua umehubiri kikamilifu? Maana yule wa chini hana uwezo wa kuusikiza mziki wako pasipo hela. Wakosoe pasipo kituo, atakaye gairi akinywee kikombe chake cha hukumu siku ya kiama. Wasilete chukizo patakatifu pa Mungu.
@PeterMahona-zd3oz
2 ай бұрын
waimbaji wakoloni sana au
@isakashega6056
2 ай бұрын
Ubalikiwe
@dennisipaella3769
2 ай бұрын
Ukweli mtupu
@user-ub2vn5vt3o
2 ай бұрын
Ila kiukweli huyu kaka atafika mbinguni amechoka sana, kwann anahukumu wenzie? Ye si afanye kazi aloitiwa na Mungu khaa😂😂
@jameskilasa759
2 ай бұрын
Kukemea na kuonya hata yesu alifanya
@ChengulaWema
2 ай бұрын
Kuna kit kimenishangaza had ambwene ???
@bahatimaselo8528
2 ай бұрын
TUMEKARIBIA NYUMBANI 🏠 wapendwa
@josykogei7647
2 ай бұрын
Mbwene naye ametokea wapi
@happinessvuriva922
2 ай бұрын
We huna kazi za kufanya?
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
Huna neno ndomana umecoment hivyo Polle mungu akusaidie
Пікірлер: 78