Kwa kweli Mungu tuhurumie sisi wanawake pamoja na huyu mchunga kukemea rasta na wigi kwa wanawake lakini roho ya uangamivu haiyuachilii maana hatusikii. Eee Yesu nijalie mwisho mwema hata kama mimi ni mwanamke
@Yvonne-Kavira
15 күн бұрын
Kwa kweli sisi wanawake ni hatari sana, wanapo tuambiya juu ya ma wigi ; tujikaze kuacha. Hatuwezi muona Mungu na tuki sukwa nyele. Na hata relaxer ni mbaya tubaki natural. Mungu akubariki Muchungaji.
@ClaireMakotswi
2 күн бұрын
Naomba mungu aniurumie anisamehe dhambi zangu 😭😭😭anielekeze katika njia zake 🙏🙏🙏
@samuelgakuru1492
3 ай бұрын
Amen barkiwa nikiwa kenya
@bellingtonlyimo6467
3 күн бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana ''upo vizuri''
@nyiranico
4 ай бұрын
nimepata kubadika kiima kutokana na kufuatilia maubili yako mtumishi ubarikiwe sana
@adammjomba5814
4 ай бұрын
Nina barikiwa sana na mahubiri yako mchungaji nikiwa hapa European 🇸🇪
@rodgersanyembe
4 ай бұрын
Amen Mhubiri, nafuatilia kutoka Kenya, umekua wa baraka tele kwa mahubiri na nyimbo, endelea mbele Mhubiri.
@Alan-g2t
4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, unatubariki sana kwa mafundisho mazuri, unaisema ile kweli ya Mungu, Mungu akulinde Baba.
@mch.abiudmisholi
4 ай бұрын
Ameen
@AugustineMutua-ee8po
4 ай бұрын
Niko Kenya but I wish ningefika tz tuonane Hana kwa Hana mtumishi nakupenda Sana.
@denisbongore3098
3 ай бұрын
Nampenda sana mchungaji wangu
@adammjomba5814
4 ай бұрын
Nina Barikiwa sana mtumishi wa Mungu KWA mahubiri yako nikiwa hapa European 🇸🇪
@lydiabenjaminmgalula6189
2 ай бұрын
Mungu akubark sana mtumishi wa Mungu tunapata badiliko sana kuptia mahubiri yako🙏🤝🤝
@Marthamodest-l7q
4 ай бұрын
Amen Mungu azidi kukutunza Baba Yetu wengi tunapona maana nimejikuta tu nasikiliza adi mwisho nimependa Sana
@Nerialulambo
4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa kutukumbusha kuwa Yesu yuaja na tuwe tayari,Mungu uturehemu
@mkalma-i4q
4 ай бұрын
Hata kama nina dhambi ninaomba uni SAMEHE.🙏😭🙏🙏🙏😔
@nyiranico
4 ай бұрын
ubarikiwe mtumishi numekuwa na mabadikiko baada ya kuwa nafuatilia maubili yako
@atuganilemsomba3028
4 ай бұрын
Asante sana baba kwa injili hii tunayoihitaji sana katika nyakati hizi hakika twahitaji msamaha wake Kristo
@mch.abiudmisholi
4 ай бұрын
Ameen
@janengaga2928
3 ай бұрын
Ameen baba mchg barikiwa sana
@ernestbutagalala
4 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu kwa kutupa taarifa hii na sisi twendelee kujipeleleza ndani ya mioyo yetu juu ya huu unyakuo
@jamesmsalilwa8733
4 ай бұрын
Ndugu, kuna tofauti kati ya MUNGU au Mungu inayoanza na "M" Ina maanisha ni muumba wa mbingu na nchi. Hiyo 'mungu' inayoanza na herufi ndogo inawakilisha miungu, yaani mashetani. Ubarikiwe!
@MusaWilliam-oy5mq
4 ай бұрын
Namshukuru Mungu kipindi hiki kikiwa kinarushwa kila siku jumapili. kitatusaidia sisi wa mbali. nawashukuru mchungaji na viongozi wa kanisa kwa maono haya nawaomba msisitishe. niko Dar huku niliko ni shida sana kupata kanisa linalosema kweli. nimesoma iyunga kila jumapili nilikuwa nahudhuria hapo kanisani nilikua sana kiimani
@godfreymwenesho1770
3 ай бұрын
AMINA Mch Karibu TENA Mpnda Katavi
@BensonMkami-u1u
4 күн бұрын
Barikiwaa
@mwambakibucheche1119
3 ай бұрын
Ahimidiwe Mungu Baba juu mbinguni.
@petro-de6wg
4 ай бұрын
Nabarikiwa mch abiud kwa Mahubiri mazuri
@mariamlawa7515
4 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba kuna vitu nmejifunza
@Godfreykajange
3 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba karibu kwetu monduli pia
@atuganilemsomba3028
4 ай бұрын
😅😅😅 arudi kwao aliwahi kuoa asante sana kwa injili nyeupe hii
@SherryEverest
4 ай бұрын
Ameen mtumishi Mungu akubariki
@Samweminde99
Ай бұрын
Amen thanks 🎉
@alexgarama1082
Ай бұрын
Amen
@AnodNzunda
4 ай бұрын
Ameen
@josephmutemi7494
2 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@denisbongore3098
3 ай бұрын
Yesu naomba unisaidie
@newbornhaule
4 ай бұрын
Nikamskia juzi Baba yangu ask Mtokambali anasema kanisa basi hata kila ibada uwepo mda maalumu wa maombi maana hatuombi kabisa hatuna mafuta zimejaa ruturujia kwenye makanisa yetu NAOMBA UNISAMEHE...
@MTEULEWAMUNGUTV
3 ай бұрын
Hallelujah ameeen
@ApostleJOHN-zl4nw
3 ай бұрын
Asante pastor
@pastoreigon9612
2 ай бұрын
Kweli Amen 🙏🙏💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamessila3219
4 ай бұрын
Nataka tele mtumishi
@AgnesKalinga-if3uf
4 ай бұрын
Lazima siku moja tutengane na wenyeji wa hii dunia
Пікірлер: 55