Process za visa nyie mnatoaje maana visa Ni ubalozi wa marekan Tu ndo hebu kuweni wakweli msije dhulumu watu Bure,,jaman hasa watanzania hebu muwe mnasoma na kufatilia mambo mjilizishe,,kupata visa hasa ya marekan sio simple hivyoo lazima uende mwenyewe pale kufanya interview na viambatanisho vyote ubalozin,,unless otherwise unatoa elimu ya visa na kuwaelekeza viambatanisho ✍️✍️
@allycheyo-wz7hf
Жыл бұрын
Kwakweli mimi nakubali sana ndugu yangu sasa utanisaidiaje mimi nataka kujaa huko ughaibuni mpaka mwezi wa tisa nisaidiwe process
@ivankadaudi8161
2 жыл бұрын
Naomba nifafanulie vizur mm nahitaji hiyo nafasi kaka TZ Mambo magumu sana kwass tuliokosa elimu tumeishia 4 tunavyeti lakini hata vyuo vya hapa nchin havitupokei labda corege ila pia ada shida labda udongo wahuko unaweza badili maisha yetu tuokoe mama zetu sasa tunawasilianaje kwenye hili unielekeze zaidi nn nifanye
@ivankadaudi8161
2 жыл бұрын
Please nakuomba sana Sana Yani nitafagia nitaosha vyombo lakin sio kujiuza kwenye makasini au mabaa Hilo apana nahitaji kazi Hali yenye utukufu Kwa Mungu please WhatsApp no Yako naomba hii ni ndoto Yangu baada ya kufer sana apa bongo
@salamaoman8133
Жыл бұрын
naomba namba yako kaka
@Alltogethercrew
6 күн бұрын
Nyie ndo wale maagent au sio??
@FaustineTz
23 күн бұрын
We unaisi kila anekuangalia a atamani kufika maali ulipo nani whats is marecani😅
@ChoroTesla
2 жыл бұрын
we jamaa nakumbuka miaka 2002-2007 au 2008 ulikua unadance au shakers enzi za akina msami na papaa masai jina mekusahau kidgo sijui ndo ww manake sa hv una dread.
@ChoroTesla
Жыл бұрын
@@uniqtraveller2162 mie hilo cfahamu
@annangosso6680
2 жыл бұрын
Sorry,nifahamishe mtu akija anafikia wp?
@HadijaSudi
4 ай бұрын
Habari kaka Mimi ni dereva wa bus na malori ni hela kapi kuja huko Mimi niko Kenya kaka nimefanya kazi Dubai Niko na leseni zangu
@alfredaloyce6835
Жыл бұрын
Nakubari alakati Mzee baba mi najichanga ndakutafuta bro ila elimu yangu ni dalasa la Saba Kuna ubaya hapo
@rebeccawanjiku367
27 күн бұрын
Unalipa ukipata kazi ama??
@diegomontenego5158
Жыл бұрын
Wejamaaa ivi unakumbuka nilikuwa nakushevu hapa Arusha huku njiro. Aseee kumbe upo majuu mwambaa ulikuwa unavimbaa mkuuu. Kama unapakumbuka Nane nane hapa. Duh nomaaa
@millermlowe8156
Жыл бұрын
Mamaeee tma mil on 9 ujute hakna maisha mepesi kiivo Nisha kuja amerca na nimesoma uko wapigaji wakutosha
@awadhally1052
Жыл бұрын
Kwel 😂🤣🤣
@mutabazihamza102
Жыл бұрын
Jama mwenyewe inaonekana mpigajiiii, wajinga njooo wali wao Mimi kiukweli sijasoma kitu 😅
@MAISHAYACROATIA
Жыл бұрын
We broiler uwez elewa maisha
@jacklinebayyo9491
7 ай бұрын
Jmani nahijtj na mim
@shukrimusa528
Жыл бұрын
Nikiwa na passport ya kenya vip?
@raheemahamees6410
Жыл бұрын
Bs nifanyiye ivo kaka yangu🙏🙏
@juliuslukumay2619
3 ай бұрын
nakukubali mwanangu.
@NasiHama
11 ай бұрын
Sasa kngereza ikiwa haujui cha ndani ndani inakuaje?
@mamalamama7010
2 жыл бұрын
Passport ninayo nigaramie pesa yako uje uchukue nikija kufanya kazi
@kulindwazakaria9741
Жыл бұрын
Hapa hatokujibu milele
@MuddyOmary-ni5nf
4 ай бұрын
Million 9 .yakitanzania?
@FatimaFatima-wk1jk
2 жыл бұрын
M10 ni nunue kazi?
@kipedomodric3411
2 жыл бұрын
Kaka tatizo kupata hiyo pesa
@ibrackibrahim6909
Жыл бұрын
Natumia hii email yangu kila Siku kuna kitu muhimu nahitaji tuwasiliane kama utapata mda
@ChristianEinstein-t2j
8 ай бұрын
Nakubali man
@prospermbwambo2265
Жыл бұрын
Ok Broo mi nataka mawasiliano
@JumaNdevu
11 ай бұрын
Shida n moja nyinyi watu wa mitandaon n wiz ama zaid uongo mumezidisha
Bro nahitaji tuwasiliane private kama itawezekana.
@ZubeirZohoro
11 ай бұрын
natamani ila kipato changamoto
@thedonheritier3584
Жыл бұрын
Bro kuna mtu umesha wahi safirisha kweli kwasababu tuna woga wasije tutapeli kaka
@mdmahammad3278
Жыл бұрын
Napambana kuitafuta Ila kamwendo bdo
@bakarimohammed2796
Жыл бұрын
Suali zuri kabisa, coz matapeli wengi sana saivi..
@rubenprince8990
Жыл бұрын
@@bakarimohammed2796 mwezi mmoja huku kwa wazungu ni mwezi wa kuhangaikia makaratasi tena ni zaidi ya mwezi mmoja yeye mwenyewe anawashsuri kama angekuwa anapata hela za kutosha angebadirika asingeonekana hivyo unawadanganya Greetings from Brisbane Queensland Australia 🇦🇺
@leokamil6284
Жыл бұрын
Yeye mwenyewe hajawahi kuonyesha maisha ya kwake ya nyumbani. Anavyoongea ni rahisi kuliko uhalisia, huko Marekani kuna watu wameenda hawajaweza kurudi kusalimia kwa sababu karatasi sio rahisi kupata. Yeye mwenyewe ukimtizama na fedha anazozitaja anazipata hawafanani .
@tekash6921
Жыл бұрын
@@leokamil6284 usikalili maisha ndugu
@ndayiragijejean-marie
Жыл бұрын
bro kama hujasoma inawezena kuja uko
@richardhosea8827
Жыл бұрын
Tanzania mambo magumu hufanyikazi
@Baraka52Shukuran-qj1qt
Жыл бұрын
Bro tufanyiye mupango sis tunatafuta nafasi bro
@PendezaZawadi
2 ай бұрын
nipenamba zasimu kaka
@AbdulAzizKika-fe6co
6 ай бұрын
Kaka vp mambo
@sukivlog885
2 жыл бұрын
😂😂sasa ndo usimame jamani
@albertnyirongo9145
Жыл бұрын
Naomba no zako please
@rehemahramadhani3428
Жыл бұрын
mimi natamaji kuja huko lkn sijui kingereza
@HadijaSudi
4 ай бұрын
Kaka dulaa utanijulisha
@AwadhiAbood-ix3rc
11 ай бұрын
Mie milion 9 ninayo kaka
@nailaty
Жыл бұрын
Million 9 mbona nyingi hivyo
@georgemmunji1189
2 жыл бұрын
nisaidie hizo pesa nitakurudishia nikifanya kazi na hat ukitaka na nyongeza
@awadhally1052
Жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@michaelmwendwa446
Жыл бұрын
Nko kenya 🇰🇪 gapi hadi uko
@royalq1601
7 ай бұрын
Nahitaji Sana Hyo Nafasi Ila Nna $2000
@mssamwasote4690
5 ай бұрын
💪
@mssamwasote4690
5 ай бұрын
Nimekupata kaka
@akbaslismh9874
Жыл бұрын
9M 😮
@RachelRachel-zx6dx
Жыл бұрын
Kwagarama ndogo kama ngapi
@kitaipaul1989
2 жыл бұрын
Mkuu nimekupata vizuri aminia
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
Sawa pamoja
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
Poa pamoja
@mwinjilistigodvoicemshanga
2 жыл бұрын
Ahaaa brother unanitamanisha broo from Kilimanjaro moshi marangu hapa
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
Pamoja
@naomitemba9412
Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 tuma mawasiliano yako
@benethbenson5594
Жыл бұрын
Tuwasiliane Private Kaka Mimi Nahitaji
@dnyotausa6154
Жыл бұрын
+15167783253 WhatsApp
@Libson10
2 жыл бұрын
Sasa nipe utaratibu tunapataje hizo visa kaka
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +15167783253
@jumachilumba6258
Жыл бұрын
Napataje namba yako kaka
@upendotv6267
2 жыл бұрын
Tuko pamoja
@lukasmsafiri-dc4vh
Жыл бұрын
Mi nnayo nkupateje
@dnyotausa6154
Жыл бұрын
+15167783253 WhatsApp
@salome9399
Жыл бұрын
Namba yako br pleas
@fabylyimo300
2 жыл бұрын
Ninayo hiyo pesa nitumie namba yako broo
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
+15167783253
@thedonheritier3584
Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 dah ni mungu tu
@thomaspetro
Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 bro noma sana
@khadijaabdulkarim4567
Жыл бұрын
@@thedonheritier3584 umetuma😹😆
@mjmswahil6244
2 жыл бұрын
M9 pamoja na ticketi ya Ndege Brow
@dnyotausa6154
2 жыл бұрын
Apana
@abuukhamis4412
Жыл бұрын
Biigani Visa ya amirika
@thedonheritier3584
Жыл бұрын
Mimi Niko Congo DRC hiyo itakua ngapi kwa dollar 💵
@dnyotausa6154
Жыл бұрын
$4500
@thedonheritier3584
Жыл бұрын
Nikuwa na 3000& huwezi nisahidiye zingine unabana vitambulisho za tick nahiyo nakuja malizia huko?
Пікірлер: 95