Mwendo ameumaliza alhamdulillah tena kwa salama kabisaa 🥰🥰kazi ipo kwetu sisi 😢vp tutaondoka ktka mgongo wa ardhi 🤔na hali gani tutaondoka nayo allah atupe khatma njema aamin
@user-fj4ll4gc2p
17 күн бұрын
Jazaaka Llahu khayra shk. Said Nyange
@noot-oe2mw
20 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni Allah akupe kitabu chako Kwa mkono wakulia na akupe pepo ya filidas inshallah
@user-ze8rk9ye6r
5 ай бұрын
Subhanallah si ni huu ni mziki hawa watu watu wa maulidi wanapinga nini,ebu waache haya mambo wanapotezeana muda hizi ni ngoma bwana wasisumbue watu ,hawa watu sijui wanataka nini ndio waelewe,tena mziki nyimbi zenyewe za taarabu anaye bixha abishe lakini hizi ni bidaa na upotevu wawazi kabisa tena upotevu mbaya sana,vijana au baro baro wengi hao wanapotezewa muda wao maskini ,na akili zao zimetekwa na ibilizi Allah atuongoze sote pamoja na waislamu wote kwa jumla hivi watu wamaulidi mnabixha nini angalie huu mzii vizuri na hiyo nyimbi inanfasi gani katika dini
@husnasuleiman7494
17 күн бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun.km tabia yake imewachosha Allah ameshampuzisha peponi.nyinyi hamjajijua rudini kwa Allah vijana😭😭😭
@zanlec7357
4 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Sheikh Said Masha Allah. Allah akupe moyo wa kuthubutu uinyooshe jamii. Jamii zimeoza mno. Lkin pia Sheikh Said haya yote ymekuja kwa7 ya kuufungua mlango wa Bidaa yaani kusherehekea Mazazi ya Mtume Muhammad Swallahu alayhi wasallam. Mlango huu ndio waliopitia
@aishamkadara8705
22 күн бұрын
Allah amsameh akosa yake mwalim wangu
@chamritaabdul1592
19 күн бұрын
Aamin
@machanohaji9841
5 ай бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema
@JumaOmar-ku6cr
22 күн бұрын
Mashekh wa mabidaa wagombeni watoto wenu wanaiharibu ibada yenu mukiambiwa hamuelewi
@user-kn5bv3qj8p
6 ай бұрын
Allah atazifunga kauli hizi na sauti, maana hawa watoto wamechupa mipaka, kwakutusi maustadhi wetu.
@zaidumohd3125
22 күн бұрын
Kasida nimwenzake na tarabu
@user-hc5kw2zk6w
6 ай бұрын
Allah akupe nguvu shekhe hali mbaya
@baaqiryusufu5396
22 күн бұрын
Innaa Lillah wainnaa ilayhi rajiuuna
@machanohaji9841
5 ай бұрын
Kwani awo watoto hawana wazazi
@JumaOmar-ku6cr
22 күн бұрын
Ibada gani hii sasa mashekh wanatukanwa hizi si in a dark
@SheikhMondbinamir26-px4ej
19 күн бұрын
Sheikh amemaliza jukumu lake 11:25
@user-bu8jm2gr4y
6 ай бұрын
Shehe mungu atakulipa endeleza daawa
@bayahaji
16 күн бұрын
Shekh kapita na yake na nyinyi endeleeni na yenu. Mtajutia bila msamaha
Nyie mnakosea kwani shkh said tayar ameshakataza mnanda haufai
@RamaOmary-qq5zt
21 күн бұрын
Hicho nikigodoro
@abubakarshamuhuni3894
22 күн бұрын
Kama mmemchoka ashafika mbele ya haki sasa nyinyi na majimbo yenu
@media1166
6 ай бұрын
Lakin hiv si mtakua mnawatangaza kwann musikae tu kimya. Haki itakaa juu tu hataiweje
@BakariOmari-tr8cy
22 күн бұрын
Hiv nyie makhuraf lini mtajielewa nyie au nyie niwadini gani
@seifmohd5357
5 ай бұрын
Assalam alaykum nauliza huyu shekh anapatikana wapi nataka nihudhurie darsa zake nimezipenda san kwani zama hizi hali ni mbaya san,Allah akupe nguvu uzidi kuuzindua ummah amin
@salumhassanallymkurdistan7006
21 күн бұрын
SHEKH AMESHA TANGULIA MBELE YA HAKI AMEFARIKI MAKKA ALIPO KWENDA KUHIJI NA KUWAONGOZA MAHUJAJI ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE NA AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN AMIN AMIN AMKUTANISHE NA MTUME WETU MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM AMIN AMIN AMIN
@Aisha-lj8bu
21 күн бұрын
Amina
@nassornassir-ho3iw
6 ай бұрын
Ila hii kaswid nzuri jamani. Halafu mbona hakuna pahala nlipotukanwa
@Naw89
6 ай бұрын
Qaswida gani jamani kama kwaya kanisani tu Mafunzo haya umeyapata wapi wakati Mtume Muhammad s.a.w hakufundisha?
Пікірлер: 44