Ivi wanampa nafasi ya uchambuzi huyu jamaa ni WALEVI au KAWALOGA...?!!!
@MwanahawaKhoja-le6bm
10 күн бұрын
Wewe mnafiki kilajambo unalo libeza linanoga we fala sanaa
@user-bt6ep3yb2h
10 күн бұрын
Lunyamila, mohamed hussein, Morriston, Michael gadiel, ovary Hussein, kizota, wote hao walitoka yanga kwenda simba , huo ni utaratibu wa klabu husika.
@IsaKinyonga
10 күн бұрын
Wee mjinga sana
@SaleheMohamed-fw5dm
10 күн бұрын
Ayo ni malengo ya klabu sio chama sasa
@mwanangusana
10 күн бұрын
Maybe labda humjui Jean Otto's Baleke
@user-bt6ep3yb2h
10 күн бұрын
Hamkumbuki mwanzo mlimbeza Guede.
@alphoncealmack9240
10 күн бұрын
Chama kawaacha simba sio wameachana nyoosha kiswahili. Yanga ana jicho la kuona zaid ya simba
@sadih5333
9 күн бұрын
Kivipi wakati simba hawakua na zamira ya kumuo ngezea muda.
@IsaKinyonga
10 күн бұрын
Jitu njinga san hili
@mrishojuma4695
10 күн бұрын
We Oruma acha usenge maneno gani hayo?
@yunusimchala6569
10 күн бұрын
Kwani ww ni kochaa fala kichwa kibaya ndio maana wenye akili wanatoka hapo
@cholombuda1658
10 күн бұрын
Ww Okuma akili huna umemuuliza muandishi chama akifamnya kipi atakua kafanikiwa ? Ukajibiwa vizuri tu kwamba akitimiza majukumu yapozishan yake atakua kafanikiwa simple tu ila ww unaanza kumchanganya tena sijui unataka usikie jibu gn tena ?
@user-ii6sp2nn1m
10 күн бұрын
Sasa ulitaka wewe oruma usajiliwe ? Bweha ww na miwani yako Kama taa za tren kwenda kabsa hujui lolote
@IsaKinyonga
10 күн бұрын
Miwan imekuzid akili
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂
@Omarjumanne-zm9zh
9 күн бұрын
Gede ni bora zaidi anatupa matokeo
@mwanangusana
8 күн бұрын
Ndugu yangu unamjua Baleke wewe
@jonamnyone8014
10 күн бұрын
Yanga wametupa bunduki, Guede, wakaokota rungu!!!!!! Baleke mechi Moja muhimu alibaki na kipa mara tatu zote akashindwa kufunga na kuinyima Simba ushindi.
Пікірлер: 20