Mzee wangu nakuomba mshikamane mchungaji mbalikiwa mwakipesile mnajenga nyumba moja Mungu ni mmoja
@silvanusjeremiah8256
29 күн бұрын
Asante sana mutu wa Mungu uendelee kubarikiwa na kuhubiri kweli ya Kristo
@ElizabethJonasi
Ай бұрын
Nabarikiwa sana Kwa neno
@andrewkasongo1368
21 күн бұрын
Ameen Ameen Ubarikiwe sana Na Mungu mtumishi wa Bwana
@sospetermukala3408
Жыл бұрын
Nainuliwa sana na injili unayo ihubiri mchungaji na natamani niwe mmoja wa wale wataingia ufalme wa mbinguni
@ElizabethJonasi
Ай бұрын
Amina mchungaji nakapenda baba unatupa neno rakweri
@user-iw6qz5kr6p
10 ай бұрын
Aaah hii ni nguvu yamungu yenye ukombozi Leo sijafatilia Giza maana nimeiona Nuru mungu mbariki mchungaji abiud
@jacklinejohn5727
3 жыл бұрын
Huu ujumbe wa mbeya ni kweli kabisa.mimi sio wa huko na sipajui ila niliona Yesu akiiendea mbeya
@jonathanouma4836
7 ай бұрын
Barikiwa Sana najifunza mengi kupitia kwako,,,
@geitandelwa299
2 жыл бұрын
Thank you Jesus tumechokaa kunywa maji ya UPAKO na MUNGU ATUSAIDIE
@simuliziplus
3 жыл бұрын
Mch Abiud miaka 10 iliyopita nabaki tu nalia kwa machozi ya furaha... Mungu aendelee kukuweka ktk kizazi hiki cha nyoka
@geitandelwa299
2 жыл бұрын
Hapa sawa MAANA mafuta ya UPAKO yanatupeleka wapi mbinguni wanaenda watakatifu
@annalwila8089
2 жыл бұрын
Amina mtumishi wamngu nimejifunza
@hnoufnamr5623
3 жыл бұрын
Yaani pasta umeni jenga sana mungu akubariki Inga nimeapitia Sana Asante kunifunza 🙏🙏🙏
@wilisonsamwal4652
3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu
@hebronijaluomahuvi1025
7 ай бұрын
amina na balikiwa saaana
@janethtobius6173
2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumish
@salomessmart9814
3 жыл бұрын
Kw kwel baba nimekuelea sana na MUNGU Akubariki sana
@dativadiocles2714
3 жыл бұрын
Yaani kila nisikilizapo neno lako najikuta nainuka tena ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@lucydavie718
3 жыл бұрын
Amina mtumishi neno la kuokoa kabisa
@user-wv1jn1jd7i
6 ай бұрын
kweli halali wokovu ni mhimu
@betykaromo3230
3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi tunaomba somo la dhaka
@joykapaya1970
3 жыл бұрын
Aminaa Mchungaji upako una gharama kubwa.
@Lucy-nr2sm
3 жыл бұрын
Ameeen....barikiwa sana mtumishi wa Mungu...naomba nikae katika utakatifu wa Mwenyezi Mungu
@stephenkatana3069
Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji,,SI wengi watumish wakemeao dhambi
@makrinakalinga6034
3 жыл бұрын
Mungu akubariki nimepata kitu hapo kwenye wokovu na utakatifu
@meypaulin6138
3 жыл бұрын
Nakuombeaga Sana mchungaji mungu akuongezee siku za kuishi uzid kutufundisha
@YohanaChalamila
10 ай бұрын
Ameeen ubarikiwe mtumishi wa Mungu mafundisho yako yamenifikia
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Mungu yupo ilaaaaaa tunamfanya Kama dukaaa abiudii misholii
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Achaa achaaa mtachomwaaa
@getrudagashi1433
3 жыл бұрын
BWANA YESU awe pamoja nawe Mchungaji
@calistinajoseph6475
3 жыл бұрын
Mchungaji unaeleweka sana. Wewe unaihubiri kweli ya Mungu
@neemasazia-vg9sh
Жыл бұрын
Kweli mchugaji
@faniceokila8967
2 жыл бұрын
Mungu akubariki tu sana mtumishi wangu ,mafundisho yako ishanijenga tu sana ,na siubarikiwe tu sana hadi kizazi chako ,na mungu azidi kukufunuliya haki .nikiwa hapa kenya
@damaricemkanyika8293
Жыл бұрын
Mtumishi mungu akubarik sana kwa mafundisho. Isee .
@elibarikilaizer-fh2dt
2 ай бұрын
Uinuliwe Juu Sana katika huduma hii
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Karudie kusikiliza vizuri hikitu yako
@ezekielmeshack4200
3 жыл бұрын
Mh! Kwel najifunza mengi,ubarikiwe mchungaji.
@ayoubodeni9816
3 жыл бұрын
Nimebalikiwa mtumishi kwa mafundisho yako MUNGU aendelee kukupigania
@zipporahmwende570
3 жыл бұрын
Naomba ikiwezekana ukuje hubiri kenya
@richardmpelasoka5309
3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@dativaedwin7365
2 жыл бұрын
I feel blessed kwakweli nikisikiliza mahubili yako pastor,,,,,,Ubarikiwee pastor
@jeniferliberatus3003
3 жыл бұрын
Amina Twende Mbinguni
@rebecampelo1227
9 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe
@rehemamhapa7329
3 жыл бұрын
Hii ndokweli yakutuokoa, Neno lahivi limekua adimu Sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa Neno la uzima
@YohanaChalamila
10 ай бұрын
Unaelewaka mtumishi ubarikiwe sana
@charlesmaina360
Жыл бұрын
Amen Hili utakatifu maana watamuona MUNGU.
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Bora sedekia
@pendolyimo4043
3 жыл бұрын
Eimen eimeen mtumish wa Bwana, watumish Kama wewe wasiochakachua neno la Mungu, wamebak wachache sana siku za leo.. haleluya utukufu kwa Bwana'
@geitandelwa299
2 жыл бұрын
Ameni
@josephdanieltv4242
3 жыл бұрын
Amen, Mchungaji napenda Sana Injili hii unayo ihubiri. Niite nami hako Mbea TZ. Kuhubiri injili pamoja nawe. Natamani sana kumhubiri Kristo Yesu.
@elkanakilumbe
3 жыл бұрын
Ubarikiwe, hubiri hapo ulipo, Mungu mpaka Mungu atakapo kupa maelekezo ya kwenda sehemu nyingine baada ya kuwa umeikamilisha kazi hapo
@josephdanieltv4242
3 жыл бұрын
@@elkanakilumbe Ni kweli Mpendwa Elkana. Napenda pia nifike Tanzania
@everlineeva594
3 жыл бұрын
Ameeen mtumishi 🙏 naomba mungu anitue nguvu za kutafuta uso wake
@sospetermukala3408
Жыл бұрын
Ni ukweli kabisa limeibiwa maombi lakini mungu atuongoze Wachache alafu mungu akombowe kanisa
@mwanashagladys4581
Жыл бұрын
Amen nimekuelewa Muchungaji 😂😂😂🤗🤗🤗
@joycetematema1324
2 жыл бұрын
Mungu akulinde nimeipenda mafundisho yako ubarikiwe
@user-wb7fh8bf4x
6 ай бұрын
Ameen
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Mungu niwetu sote amenii
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Umeniuzi Sana kwenye hiiii dini nibiashara kwa Sasa
@neemanalogwa3891
3 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa neno lisiloghoshiwa Mtumishi wa Mungu aliyehai!
@joycegeorge4712
3 жыл бұрын
Barikiwa mtumish Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu
@mangakwigema
3 жыл бұрын
Yesu mwema azidi kukutumia
@eugenurasa5272
3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Mchungaji Abiudi
@suleimanhakimu2543
Жыл бұрын
Kweli unavyoongea.
@reveliusmuchruza7952
Жыл бұрын
Twambie baba hizi nyundo kisawasawa
@irenesuswi4079
3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@Priscakihiyo4352
3 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu
@irenesimon9107
3 жыл бұрын
Kwakweki muchungaji ubarikiwe maana neno ulilo sema nikweli ,Yani tutaletewa Hadi magali ya upoko .mifangio ya upoko Yani Mungu atasaidie tujue wakati tukio nao
@mwasubilasaimoni4119
2 жыл бұрын
Amina Amina mtumishi
@rizikwisongata6874
10 ай бұрын
Hubarikiwe sana
@lilianshirima8429
2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@jumandaro4809
2 жыл бұрын
Be blessed pastor
@LaLuzDeDios
3 жыл бұрын
Ubarikiwee
@danstonecool1734
Жыл бұрын
true
@josephjulio6112
3 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@winniemumbe7653
Жыл бұрын
Amen,karibu Kenya
@emmanuellukumay8383
3 жыл бұрын
Haleluyaa jina la Bwana lihimidiweee
@jeniferliberatus3003
2 жыл бұрын
asante Mtumishi wa Mungu
@johnaidan6839
3 жыл бұрын
Amina baba barikiwa
@kashindimwaliasha9546
3 жыл бұрын
Hubarikiwe sana mtumishi
@gracemlelwa4383
3 жыл бұрын
Mungu akuinue mchungaji
@elkanakilumbe
3 жыл бұрын
Amen, amen, Mungu akubariki
@yohanaayo3097
2 жыл бұрын
Yes
@mutalemwabugeza1489
3 жыл бұрын
Mungu akuinue Sana .
@estherakabwai2350
3 жыл бұрын
Ameen ameen mtumishi.
@salomessmart9814
3 жыл бұрын
Hakika wewe nimtumishi wa Mungu
@peterkalii5939
2 жыл бұрын
Blessed 🙏🙏🙏
@medsonmlonganle4201
3 жыл бұрын
Amen
@philemonsabatia799
2 жыл бұрын
Amen blessed pst
@denisbongore3098
7 ай бұрын
Ameeen
@hebronijaluomahuvi1025
Жыл бұрын
Power
@martinkijazi6220
2 жыл бұрын
Ameeen 🙏
@farajaflorence1690
2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏
@pstdanielmuindi4127
3 жыл бұрын
Kama utaweza tafathali nisaindie na namba za mch. Abiudi mishori
@creezlefarey26
3 жыл бұрын
Nikutumie
@felsonsanga8502
Жыл бұрын
Zipo kwenye nyimbo zake
@elishamwakibinga538
Жыл бұрын
Sasa hivi vipengele vya kutoa hela ni vingi sizungumzii michango kwani michango husaidia huduma nazungumzia vitu ambavyo si matakwa ya biblia
@elaineeliudi2497
3 жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE KATIKA KUUTAFUTA USO WAKO
@gracemagoma4873
3 жыл бұрын
Shidiria za upako!! Na zitakuja baba mana :
@amosnzumbi124
3 жыл бұрын
Amen
@danstonecool1734
Жыл бұрын
ukweli
@shalomkind4575
3 жыл бұрын
Asante mchungaji wa kweli asiejichanganya na mambo ya dunia hii ya kutafta mali tuuu
@edwardmwanampazi4460
2 жыл бұрын
Mung u akubariki baba umenipa kitu kikubwa Sana kwa kupitia mafundisho yako kuhusu tabia
@sandemmassy9938
Жыл бұрын
Dini niroma tu ata yenyewe ufate Imani yako usimfate Sana padrii
@agathasebastian2189
Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU hajahubiri dini wewe Sande Mmassy kahubiri neno la YESU Kristo, basi.
Пікірлер: 109