Kama ulikuwa unamkubali DK magufuli gonga like hapa
@gorgonusshayo920
6 ай бұрын
Maguful huwez kumfananisha kimaendeleo na mtu yeyote . wengn wapuuz tuu
@emmanuelellymwakyusa2900
7 ай бұрын
missing you BABA haya mambo yalitupa UNDANI na UWAZI wa mambo ya WAJIBU na HAKI 😢😢😢😌😌😌🇹🇿
@JosephatChristopher-y5v
8 ай бұрын
Hakika watanzania hatutapata kiongoz kama JPM tuzidi kumuombea alale salama😭😭😭😭
@SamwelJoseph-yk3cw
8 ай бұрын
Tutampata tuu
@luciasospeter6897
6 ай бұрын
Tuombe Mungu .kwenye stoo yake naamini anao wazuri atatupa
@RizikiRiziki-bp6dx
4 ай бұрын
@@luciasospeter6897Amen
@oscarkasalile9367
5 жыл бұрын
Kamaliza Bundles kwa kufuatilia hotuba zako Nipo tayari nilale na njaa lakini Nijue kwa kila siku unaongea nini. Tulichelewa kupata Rais kama wewe. Najua wewe ni zawadi kutoka kwa mungu Mungu akulinde.
@mourinhonyamkekwa3568
9 ай бұрын
Comment yako nimesoma zaidi ya mara tatu alikua zawadi kutoka kwa mungu 😢
@emmanuelellymwakyusa2900
7 ай бұрын
una akili saaana mpwa JPM alale pema
@lucasmhagama8166
6 ай бұрын
Daah pole sana
@EmmanuelMwambaji-g9s
2 ай бұрын
Tanzanian failed to protect this kind man
@AarahatibuHatibu
Ай бұрын
@@mourinhonyamkekwa3568😢😢😢sana tu
@KirugaraKing
13 күн бұрын
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
@princesstaes5483
8 ай бұрын
Nimelia mnooooo😭😭😭😭😭😭we miss you daddy😢
@benjaminjackson8567
9 ай бұрын
Hata Mimi ningechangia laki 5 maaana ni kwa maendeleo ya Taifa letu uzalendo kwanza, RIP John
@mgasa_tz5527
2 ай бұрын
Daah!! Hakika hatuto pata raisi kama huyu tena 😔😔🙌
@masunga.m.nimloddar9819
5 жыл бұрын
magufulification big up father the best one in the world🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@thobiasmosha60
5 жыл бұрын
Rais huyu Mungu ambariki sana.
@Annalisse-p5s
8 ай бұрын
Bado tunakupenda mungu ailaze rohoyako mahal pema pepon
@SiboraJuma-q5e
9 ай бұрын
Mimi mkenya lakini namlilia hayati raisi John pombe Magufuli. JEMBE kweli. Pumzika Kwa amani.
@punchlinetz
2 ай бұрын
Next Magufulificationilists notes tunazo tuendelee kula pindi....😎✍🏽
@JanuaryExpeliusi
7 ай бұрын
Laisi mwenye hakili ndomaana uchumi ulipanda alikua na hakilii❤
@HusseinNyongaa
9 ай бұрын
Allah ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
@josephnchunga3019
5 жыл бұрын
Najivunia kuwa na rais mwenye maono
@katabaroonlinetv9688
9 ай бұрын
Dah sikumpa Kura lakini naijutia Kura yangu Bora ningempa tu
@stevek8318
5 жыл бұрын
I'm addicted to watching this man from kenya. Wa! Ndume huyu mh. Rais
@allysanya8346
8 ай бұрын
Uzidi kuendelea kupumzka kwa Amani mpendwa wetu wa muda wote
@micahmollel4463
17 күн бұрын
Rest in peace.
@ClementinakapewaLihepali-pg5lo
10 ай бұрын
Baba tunakukumbuka tunalia kwa uzslendo wako Mungu akuangszie nuru ya USO wake
@nuurinkluge7584
5 жыл бұрын
🤣🤣👍🙏magufuli his are very good Präsident..anajua hizo watu zinapata lushwa kwaleo zakomeshwa pesa yote yatoka 💝
@AminaJuma-r4y
2 ай бұрын
Vizuri havidumu 😢😢😢😢😢❤ baba pumzika kwa amani 2024 /7/9
@sahiamohamed9172
5 жыл бұрын
Siku zote hizo ulikua wapi mzee pole sana kwa kazi nzito unayoifanya wanaokupinga niwale ambao wamekosa myanya ya upigaji lkn wala usishtuke coz bado ni wachache ktk nchi yetu na hawana nafasi
@dhulkarnaynmwinyi692
8 күн бұрын
Alie muuwa Magufuli sisi ni pipo japo kua kufa ni mpango wa mungu ila alie kua sababu ya kifo chake kwani ana aibu kweli
@naibei_Tv
8 ай бұрын
Ruto anaambia moses kuria aty milioni moja na kuria amesema 10k 😅😅😅😅
Пікірлер: 130