Sam nimtu wa mpira natamani ningepata namba zake huyu nizaidi ya shabiki mpira anaujua😂😂
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Shida yetu Simba ni pesa . Mo msanii lkn watu hawajui tu . Ndo maana kamurudisha try again ili wapige hela na afichie Siri zaupigaji. Mm naona mchezaji hapo ni Joshua mutale tu hao wengine makapi tu.
Inaonyesha dhahiri baadhi ya washabiki michango yao ni kuwakatisha wengine tamaa na kutowaunga mkono wasajili wetu wa kipindi hiki. Usajili unao endelea sasa hivi ni mzuri sana. Wanao upinga hawajui wachezaji wazuri.
@errydeo8865
6 күн бұрын
Mpira ni game la data na uwazi! Hivi kwenye akili YAKO unafikiri usaji huu wa Simba ni wa kutwaa uBingwa!!? Kweli?
@aishaadam9933
3 күн бұрын
Yan ww mtu san mimi nakukubar san
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
6 күн бұрын
Jiamini boroo unawasiwasiiiiiii
@patrickimran2645
6 күн бұрын
Usisahau master gamondi pempeni na mosamali jukwani afu mzee wa utopolo mzunguko weweeeee
@khalidmdotta3843
6 күн бұрын
Uyu Kuma ligi every cost ni ndogo ww ni yanga tunakujua
@errydeo8865
6 күн бұрын
YES ligi yao ni ndogo! Ukichanganye ligi na klabu !
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Na huyu msemaji wetu analinda kibarua change mara ngapi anasifia wachezaji wabovu. Kama mm mutale nilishamuona live nimchezaji mzuri sana lkn hawa wangine bado sana . Wakina sawa dogo aliwasifia sana sana eti semaji la cuf upumbavu tu. Wataumiza tunashidwa hata kwenda bar.
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Wakishidwana na mchezaji bei wanamzushia uongo mara mravi mara nn. Sisi sio wanjinga kama mashabiki wengine kama huyu kisugu. Kz yake nikusifia ujinga tu ili apate pesa na akina mangungu na try again tunajua vizuri. Kuna jamaa anaitwa kocha mwenda huyu jamaa angekuwa kwenye bench la usajiri Simba yingefika mbali Sana , lkn shida mo anachangua watu wake kutengeneza upigaji ambao mpira ziro kichwani. Changua vijana kama yanga walete wachezaji waukweli. Angalia engineer mpira anujua ndo maana hata usajiri wake ni super.
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Kingine watu bado hawajui shida ya Simba sio mangungu Wala try again kirusi ni mo mwenyewe. Ndo anachangua hao watu ili wakifanya usajiri walete wachezaji wabei chee alafu hela nyingine yinarudi kwake alafu wanatutajia bei kubwa kumbe wamesajiri bei ndogo sana. Tutapata shida sana sana na huyu Jamaa. Lkn mashabiki ambao hawana akiri nivigumu kugundua kama mo ndo kirusi na ukimsema mo utatukanwa sana.
@faustinemsanguli1055
6 күн бұрын
Wew matako wew huna unacho jua
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Lkn huyu Sam and mchome wote yanga damu . Wanatafuta kiki
Wasenge kama awa ndo wanao filwa uyu jamaa sio Simba ana izungumzia Simba kama nani
@martinandugai2340
6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Jamani
@MuhsinJuma-wo2bg
6 күн бұрын
Ww ka fumuliwe uko
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Hajui mpira wowote wule ww jua mchome na na huyu sama ni yanga . Tumia akiri yako yakuzaliwa lkn kama hauna akiri huwezi kutambua kitu
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Kwanza timu yetu ya Simba wapigaji wengi sana pamoja na mo mwenyewe ndo maana kaweka wazee wafanye usajiri ili wapige nao pesa. Tukitaka kufanyikiwa atumie wachezaji wa zamani wa Simba kama wakina pawasa jamuhuli kweli na kocha mwenda . Kocha mwenda namwelewa sana kuliko yoyote yule . Ana point za mpira .
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Mm naumia sana na hii timu lkn mara nyingi hata huyu msemaji wetu anaona mashabiki wa Simba wote mazuzu. Haana lolote maneno mengii ya kijinga tu.
@bernardmboma1461
6 күн бұрын
Huyu Sam na mchome wanatafuta hela wapo kzn nimasikini tu. Ww shabiki gn Kila kitu Cha timu yako kibaya tu . Lkn wajue they can't fool people all the time. They say every dog has it's own day , so they need to bear in mind.
@errydeo8865
6 күн бұрын
@@bernardmboma1461utakuja kuwaelewa,msimu huo unaanza!
Пікірлер: 31