Mtoto bila ndoa ni mtoto wa mama ,huyo ni mtoto wa kharam kwa kiislam acheni umalaya
@fatmaally7252
5 күн бұрын
Mmmmh umalaya umetokea wapi apo ndugu yangu ulimuona akifanya hilo jambo tupunguze ukali wa maneno ivi akiambiwa mama ako au wewe ukaotwa ivyo unajiskiaje si vizuri alafu hukumu ni ya mungu mimi na wewe watizamaji tu mungu ndo anajua kuhukumu haipendezi
@hafidhali3020
5 күн бұрын
@@fatmaally7252 ina maana amepata.watoto watatu bila kufanya zinaa?
Пікірлер: 7