#TBC1: WEKEZA TANZANIA: MAPYA JUU YA UWEKEZAJI MKUBWA WA KITUO CHA BIASHARA UBUNGO
Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka eneo la Ubungo mkoani Dar es Salaam kilipokuwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani ambapo kwa Sasa unaofanyika uwekezaji mkubwa wa Kituo Cha Biashara na usafirishaji Cha Afrika Mashariki, uwekezaji huo una thamani ya zaidi ya Bilioni 270.
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK
Негізгі бет #TBC1
Пікірлер: 20