Episode 2 ya Part 3 na Masanja inasisimua sana,hapa tunapata kujua jinsi alivyoweza kuwa pamoja na wenzie wa Ze Comedy,jinsi Mac Reagan alivyokua akimsaidia kabla ya kupata mafanikio na mengine mengi ambayo pengine hukua ukiyafahamu ya Masanja Mkandamizaji
- 4 ай бұрын
THE CLASSIC MASANJA PART 3 EP 2 :MOVIE YA KWANZA KIMATAIFA/ MSHAHARA WA KWANZA/WEMA WA MAC REAGAN
- Рет қаралды 27,464
Пікірлер: 98