Sehemu ya pili ya kipindi cha nne cha The Classic na Masanja ambapo anatusimulia siku waliovmiwa na majambazi wakidhani wana hela,jinsi walivyohama kituo cha kazi na kupitia kipindi kigumu hadi kuokolewa na aliekuwa mfadhili wa Yanga Yusuph Manji na mengine mengi
- 2 ай бұрын
THE CLASSIC MASANJA PT 4 EP 2 : TULIVAMIWA NA MAJAMBAZ WAKIDAI HELA/ MABAPA YA PANGA/MANJI ALITUOKOA
- Рет қаралды 17,718
Пікірлер: 47