Masanja ameweka rekodi ya kua mgeni wa kwanza aliefanya vipindi vinne katika kipindi cha The Classic,hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano haya ambapo anaelezea wakati alipokua konda wadala dala na chagamoto zake na changamoto za ndani wakati wanafnya vipindi vya Ze Comedy
- Күн бұрын
THE CLASSIC MASANJA PT 4 EP 1 : KAZI YA UKONDA WA DALA DALA /MKASA WA ZE COMEDY NA TAJIRI JACK PEMBA
- Рет қаралды 22,975
Пікірлер: 46