Top In Dar ama TID amefika kwenye The Classic katika episode hii ambae walau alipata nafasi ya kuelezea safari yake kwa ufupi na kuzungumzia nyakati za awali kabisa mpaka sasa alipofika na ameweza kubainisha mambo mengi ambayo pengine hukuwahi kuyafahamu usisahau ku subscribe ukimaliza kutazama for more
- Күн бұрын
THE CLASSIC TID:NILIACHA KURAP NI UJINGA/MADEM FAKE/ NILITANGAZA TANZANIA DUNIAN BILA MSAADA/ SIJALI
- Рет қаралды 13,096
Пікірлер: 53