Yan huyu mzee bora angekuwa ndo makamo wa rais leo hii angekuwa rais dahh😭😭😭
@ImamuKitale
11 күн бұрын
Kasimu asate sana baba
@AishaJuma-wd8xd
13 күн бұрын
😮fukuza tu muheshiwa
@husseinhamisimwindadi2211
13 күн бұрын
Hawa wote wanatakiwa wachukuliwe hatuakali iwefundisho kwa wengine,pongezi kwa waziri mkuu!
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
13 күн бұрын
Wawasikilize kwanza,gharama kwenye ujenzi inategemea na mambo mengi,kwa hiyo watu wasikariri.Materials yanazidiana ubora,yenye ubora wa juu,gharama zake nazo ziko juu.,pia mazingira ya sehemu husika
@abedysteven4930
11 күн бұрын
Hilo nalo jambo lakufatilia nalo kweli!!
@sulemanmati8213
13 күн бұрын
Majaliwa kaza ivo ivo
@kulwamikwanga3112
13 күн бұрын
Hahahahaha waziri mkuu unavyo wauriza mkuu hadi mimi nasikia raha nabaki nacheka tu kwa madudu yanayo fanywa ha ha ha apewe onyo kari ha ha ha aandikiwe barua ya onyo kari aiseee waziri mkuu mungu akubariki sana mkuu mwamba upo kazini mbegu Bora irio pandwa na magufuri ipo kazini kweri kweriiii
Пікірлер: 10