Mfumo wa kumiliki aridhi,na kumilikishwa unatakiwa ubadilishwe.tena sehemu ndogo tu.
@RenaldaZeramula
19 күн бұрын
Kwanini serikali inahqngaisha raia wandering wapi? Hee majority.mmewapa weupe.
@dignakanje4508
19 күн бұрын
Jmn mambo yaardhi police wasingeyachukulia kiraisi,kwanini police wakipelekewa kesi hizo wanaweka ndani watu waliouziwa ,hao wanapoleka kesi police KIsa ardhi napolice wanasikiliza nakuangalia nguvu yamtu wanamfunga mtu .Hizo kesi sio zao,wao naingilia mpka kesi zamiradhi wanasikiliza upande mmoja wenye hla Kiukweli police kunasehemu wanakosea sana.
@bakari-si1pw
19 күн бұрын
Sio Fair kabisa jamani😢
@nyiqatonyiqa7114
19 күн бұрын
Umeulizwa hukumu ya kwa Mwenye kiti ilikuwa yasemaje????..... alafu una sitoriiiiii nyingiiii na hujibu maswali rahisi tu 🤔🤔🤔🤔🤔
@GodfreyOsward
19 күн бұрын
Kituo na mabusu ni office ya umma. Ila tulijisau ikawa mali isiyo yetu..ni tatizo la kikatiba
@abdulkilihindi7725
19 күн бұрын
Tusaidien jamn hv Sheria ikoje kma mtu amewekwa ndani kinyume na utaratibu na baadae ikajulikana hkuwa na kosa, huyo aliyemuweka ndan anawajibishwaje kisheria.?
Пікірлер: 8