Ndacha Mungu akubariki. Sisi tulio soma biblia tunajua unasoma kweli Waislamu wanadangwanywa kweli kweli na walimu wao wachukua kakipengele wanasoma hawanalizi point Mimi siyo mfuatiliaji saaana lakini kwa point za Yesu ni Mungu Dah umesoma zile point muhimu sana Usisahau ile Mungu alisema huyu ni mwanangu mpendwa wangu nimependezwa nae
@kimanidatch6096
Жыл бұрын
Mazinge Hana lengo la KUFUNDISHA,,Bali ana lengo la kukashfu....,Hawezi KUSAIDIA wale wasiojua...Ndacha ni Mwalimu wa kweli wa Neno la Mungu.,,Mazinge mpokee Yesu,vinginevyo utasaga meno jehunum.
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
Nyinyi ndie mwasaidia watu kwakumwabudu binadamu mwenzenu
@user-uf4rz4hm8f
4 ай бұрын
Ndacha umemzidi sana Mazinge.Ndacha ni profesa wa Injili
@faridashabanifaridashabani5950
Ай бұрын
😂😂😂Ila wesilamu wanahitaji neema ya Kristo ndo mahana wakipata neema yakuwa wakrsto wanaitumia vyema karibu Kwa YESU aiseeee wote waisilamu ❤
@byakomasoka988
Ай бұрын
Kwa yesu kristo nimeshika kabisa siwezi mwacha kamwe❤❤❤❤❤❤yesu kristo namba moja 🎉🎉🎉🎉🎉
@enockkibona7522
Жыл бұрын
Ndacha wewe ni Mwalimu mzuri sana God bless you
@adarashidi8178
Жыл бұрын
Amen
@damianopetro5872
Жыл бұрын
Thanks ur one who made me embrace Islam
@fahadbabuy
Жыл бұрын
Mwalimu muongo😂
@luluamin1388
Жыл бұрын
Mungejua maandiko basi musingeli msikiliza huyu ndacha conman wa maandiko
@martoo539
7 ай бұрын
@@ARUWAAHMADA-jz9msmumeshdwa 😁😁kila saaa nkisema mohammand who Did nothing
@phenomenalsam.5722
7 ай бұрын
Paul umefunzwa na mungu kusoma ,, 😂😂God bless you dacha and paul
@faridashabanifaridashabani5950
Ай бұрын
Najivunia jina la YESU sina mashaka wala sitishiki ❤❤❤
@user-iy2rz4dx5d
Ай бұрын
Najivunia kua Muslim hao makafir Hawana jipya mazinge mungu akulipe insha allah
@PhilipobonifacSado
26 күн бұрын
Kafil nimpinga kristo ndacha namazinge Nan kafil
@user-bx6xr6uz5l
6 ай бұрын
Kazi nzuri ndacha mungu akubariki
@mohamedturanardan8871
6 ай бұрын
ALHAMDULILLAH and im proud to be a Muslim. Kitabu chetu Quran hakijawahi na hakitowahi kutiwa mkono, Wakristo kuna maagano kibao,
@researchcorner.
5 ай бұрын
Mazinge Hana hoja
@JohnJoseph-qq7ow
27 күн бұрын
Mnaabudu shetani waisilamu
@RoseMuniss-y5q
18 сағат бұрын
Kishabadilishwa sana tuu kilichokua halisi kilikua na page 7 na pombe ilihalalishwa lakini izo Aya zilifutwa na kubadilishwaa😊😊😊😊 familia au waulize waliokuzid
@kayeesbelewa4819
Жыл бұрын
Mazinge comedian kweli,neno hana ila anamaneno
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
Najivunia Saana kuwa Mkristo... tuendelee sn kumuomba Mungu Baba,,,Mungu Mwana na Roho Mtakatifu 🙏🙏🙏🙏 aendelee kutubariki Milele Daima
@111dudi
Жыл бұрын
Mpaka sasa hamjui nani mungu. Kuna mungu aliyefia msalabani,kuna mungu roho hata haijulilani yuko vipi,kuna mungu baba, hamjui kama alikuwa baba vipi, nani mkewe.
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
@@111dudi Pia Kuna Mungu Roho Mtakatifu yeye alikuja Duniani baada ya Yesu Kristo Wakati alivyokuwa akipaa Mbinguni alisema "Nitawaachieni Mrithi Wangu ambaye ni Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu nafsi ya 3...lolote zuri mtakalomuomba hakika mtaokolewa
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
@@111dudi Soma sn Biblia Kisha anza kwenda Kanisani hususani dhehebu la Roman Catholic ndipo utajua kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja ila amegawanyika nafsi 3....Mungu Baba,,, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu 🙏🙏🙏🙏
@111dudi
Жыл бұрын
@@yohanakiyumbi4795 Dhehebu hili linajulikama kwa kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana na kuna mapasta mashoga. Astaghfiru Llah
@akibaali1450
Жыл бұрын
Umepotea njoo kwenye dini ya haki na ukweli
@franckilunga2086
11 ай бұрын
Mazinge huyo ni comedian kabisa. Mungu hawezi kuwa mjinga, huyo mwalimu anakufuru neno lamungu. Nawaonea huruma atawale kina mama wapikao kelele na mkutano wote.😢
@patrickodhiambo9341
5 ай бұрын
Ndacha 🎉🎉
@philimaroa8021
Жыл бұрын
Namshukuru yesu juu nimewaona hao waislamu wakikimbilia iyo damu ya yesu nakuinywa
@estersindano3485
Жыл бұрын
Wewe muislam wewe unaedanganywa unashabikia unamdhihaki yesu nakuhurumia sana
@user-fd7jy2gf3n
6 ай бұрын
Mimi ukristo sitoki mazinge huyu Jamaa sio rikalako maswaliyako kajibu vilivyo wewe haujajibu hadi mmoja porojo tu zako
@maulidimanzi9964
Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah nakupenda Sana shekhe wangu mazinge upo vizur ndacha unamgalagaza tu Ila haelew
@111dudi
Жыл бұрын
Tena yuko vizuri sana.kiboko ya wahubiri wa kikristo kama Ndacha wanaotimia ujaja ili washinde
@janenjeri9750
Жыл бұрын
Ngoja hukumu,utamtafa umkosee Unaskiza ukweli ila bado unakataa,ole wako U
@111dudi
Жыл бұрын
@@janenjeri9750 Biblia yenu imebadilishwa mara chungu nzima. Pope wenu anahalalisha ushoga. Na anataka aibadilishe biblia.na bado mnadai no neno la mungu. Wachungaji wenu na mapadri wanadai wanahubiri neno la mungu, ni wafanyakazi tuu wanalipwa mshahara na watu, siku mshahara ukisimama na kuhubiri wanaacha,kama Ndacha.sio kama waislam ambao mshahara wao unatoka kwa mungu. Mbona ham fungua akili zenu
@user-iz6rw6qx8w
5 ай бұрын
Mzinge pongezi katika dini ya kiisilam mngu akulipe inshallah na akujalie maisha mrefu pia
@RajabuKiedu
12 күн бұрын
Nashukuru mungu kwa kumpa maarifa mwalim ndacha na kuwafindisha hao waijue kweli ya mungu
@wizdannymoshi3132
Жыл бұрын
Ndacha unafundisha kwel ila mazinge unapoteza waisilamu maznge unamkoxea mungu hufai kuw mwalimu
@juliuslangat3970
Жыл бұрын
Ndacha Mungu akuongoze my brother
@ismailkarani7972
Жыл бұрын
Aongozwe au amepotea
@mzeerajab9154
Жыл бұрын
Bora umuombee maana anajithidi kupoteza watu.
@OmanOman-yk8kl
Жыл бұрын
@@mzeerajab9154 ninyi ndo mmepotea
@philbertkabengo7905
4 ай бұрын
NDACHA UNAUJUZ NA MARIFA YA MAANDIKO MUNGU AKUONGEZEEE MEMA YA NCHI NA UKUPE UFULME WAKE🙏🏿
@naiknaik2816
Жыл бұрын
MashaAllah Sheikh mazinge Allah akupe umri refu enye ibada na baraka inshaAllah
@saulidongo1865
Жыл бұрын
Bado kidogo tu Mazinge atakua mchungaji Mazinge
@mansooralaisri5200
Жыл бұрын
@@saulidongo1865 Ndoto za Mchana Mazinge kuingia ukafiri wa Kikristo.
@saulidongo1865
Жыл бұрын
@@mansooralaisri5200 Allah akufundishe hutaambia wakristo kafir tena.
@eliasemanuel2710
11 ай бұрын
Anaigiza cyo kama haelewi anasimamia anacho kuamini na siyo kilicho kweli... Mungu atamleta kwake one day
@abdallaheji1269
Жыл бұрын
Mazinge uko vizuri sana
@ghyslainmulume8301
4 ай бұрын
Ndacha,Mungu akupe maisha marefu,ili uzidi ku tuelimisha,yesu Cristo akufiche kwa damu yake.
@prosperjohn2047
Жыл бұрын
Mazinge na huyo msomaji wKo, mwajua wasema uongo
@user-fn1df9nj4r
6 ай бұрын
Pastor Dacha you are a great teacher,,God bless you alot,,
@user-ve3wu5jn1l
6 ай бұрын
😂😂😂😂
@adlainekamonya-ic2kq
Жыл бұрын
mm Huwa sisikizi COMEDIAN MAZINGE😂😂😂... Huwa nazongeza tu mbele kumsikiza Ndacha ... Mungu akubariki Ndacha🙏🙏🙏
@SamuelNgala-iw1gz
Жыл бұрын
Hata mimi😂😂
@adlainekamonya-ic2kq
Жыл бұрын
@@SamuelNgala-iw1gz 🤣🙏🙏
@pinkaijoseph523
6 ай бұрын
Pia mimi
@hackazteach
4 ай бұрын
hamuna point nyinyi tangu lini yesu akawa mungu😂😂😂😂😂
@KennedyGideon-di8oh
18 күн бұрын
Mazinge haongei chochote uaribu muda
@RamadhanAdam-up6qv
Жыл бұрын
Ama kwer Dunia inafika mwisho Hawa makafiri wanapotosha sana watu mungu wasaidie viongozo wetu waweze kutoa erimu ishaaallah mungu tujalie mwisho mwema
@SugowFarah-up3db
Жыл бұрын
Hawatoshi mboga. Makafiri ni watu wasio na dini ila sisi twaenda na muongozo wa Qur'aan
@v_simon2677
Жыл бұрын
Umefumbwa na ibilisi kaka Mungu akutoe gizan
@saumodzumbo9671
9 ай бұрын
Amiiiiiiiiin yaraabiiilaalamini
@user-wp1wz9ew8f
6 ай бұрын
Kafiri wewe unaeabudu na majini msikitini
@peterraphael7132
Жыл бұрын
Nakuamini sana mwalimu wa kisabato jina ngumu kuandika
@MarthaJoy-lx2qk
4 ай бұрын
Kwa kweli Ndacha wewe ndani kwako muna nguvuza Mungu aline hayi
@janenjeri9750
Жыл бұрын
Ndacha mambo yote,ila naomba Mungu wetu mwenye nguvu awafungue waislamu macho,maana ni vipofu kabla MDA haujaisha
@officialhamis7031
Жыл бұрын
Macho mfunge nyinyi macho
@abeidpazia1720
Жыл бұрын
Hamna dini inaitwa ukristo hata ndani ya bibli..
@AhmadijumaJuma-fq2td
6 ай бұрын
Namshukulu Allah kwakunijalia kua muislamu halmadulillah wakiristo tokeni uko mnapotea uislamu ndodini ya aki akuna dini inayoitwa ukiristo
@gibsonjosephat6352
6 ай бұрын
Mnatembea uchi siku ya Ijumaa na wakati wa kwenda msikitini hsmvai chupi😂😂😂😂
@countercheck887
Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki na akulinde wewe ni dawa ya mazinge 🔥🔥🔥🔥🔥
@adarashidi8178
Жыл бұрын
AMEN 🙏🔥🙌
@111dudi
Жыл бұрын
Soma jibu langu.huyo Ndacha mpiga viraka wa aya.muongo
@legend9805
Жыл бұрын
Hakuna duniani ana elimu ya kuwashinda waislamu. Mungu amewapa elimu
@orotancnelly3047
10 ай бұрын
AMEN 🙏
@user-bt6mz8gd4x
3 ай бұрын
Kabxa
@marwasamwel5668
6 ай бұрын
Amen pastor Ndacha mungu akubariki kwa ukweli wako
@muvurwanezaanitha742
Жыл бұрын
Ayo mamboyenu yatutosha mkristo abaki mkristo mwisilamu abaki mwisilamu ila ukweli wote mashee munajuwa kuwa Kristo ndiye njiya yapeke ya kwenda mbinguni
@PhilipobonifacSado
26 күн бұрын
Uyu Mzee ajui et yesu ni muisilm au ni mkrsto yesu ni kristo ni cheo isilam ni unyenyekevu kwaio mkisema yesu ni muislamu pia mposawa au waislm amjui tafisl
@franknzegenuka2335
Жыл бұрын
Sheikh Mazinge unapoteza point, jibu swali kwanza. Ndacha ni fireee 🔥🔥🔥
@111dudi
Жыл бұрын
Ndacha ni muongo anabadili aya apate kushinda
@saulidongo1865
Жыл бұрын
Shida yao hawa wanajibu bila hoja.
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
Ni kwl kbs ndugu...Mazinge hana Point za Msingi ila anataka kubishana na Imani ya Ukweli ya Kikristo
@MaryNjeri-ox1ry
Ай бұрын
Ndacha Mungu akusaidie
@Aisha-qx7kz
Жыл бұрын
Broo mazinge mungu akujalie umrimrefu utujuze tusio yajua katika uisilamu inshaAllah
@mamawamoya3344
Жыл бұрын
Subhana Allah, maskini waimani,nawanajua
@shadrackjacob800
Жыл бұрын
Mazinge mbabaishaji tu anajibu tofauti na swali aliloulizwa.
@everlynenanjala9747
Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji ndacha MUNGU baba akuinue kwa kazi nzuri unayo fanya,, tunaamini mungu atawafugua macho,,
@shakiljuma5055
Жыл бұрын
Mungu awafungue macho nyinyi.... Inshallah
@halimasalim3985
Жыл бұрын
Awafungue nyinyi macho
@manasa2449
Жыл бұрын
Mazinge Allah akulinde na shari Amiin
@PhilipobonifacSado
26 күн бұрын
We mazinge aujui zaidi yaushabiki
@charletsada8779
Жыл бұрын
Ndacha MUNGU akubariki kwa ujasiri ulionaoo.iuko pekeyako lkn uko na ujasiri lkn najua YESU yuko ndani yako ndo huo ujasiri. Barikiwa sana
@mbwaralali5049
Жыл бұрын
Ndacha yuwa poteza watu fatilia vizuri vitabu yye yuwaunga unga ili apate ugali wake
@issabella1455
Жыл бұрын
Mazinge acha kudanganya watu yesu siyo mweslamu kwanini unapoteza watu🇹🇿🇿🇲
@user-vw4mr8mi6q
11 ай бұрын
Ndacha Mungu akurinde
@oyayatimothy1290
Жыл бұрын
Pastor Ndacha elimisha hao watu, masheikh wametuchosha
@NtirenganyaEric-bg3ye
Ай бұрын
Mwarimu muzor ndaca!! wambie mungu agipenda wataokoka!!! Jili Yesu wet muwezayote
@frankkaipa8925
Жыл бұрын
Ndacha Mungu nimukubwa utabatizwa wote waislam
@adarashidi8178
Жыл бұрын
Amen Mungu ni mkubwa sana soon wote watabatizwa
@OmanOman-yk8kl
Жыл бұрын
@@adarashidi8178 amen
@OmanOman-yk8kl
Жыл бұрын
Unataka kumuua kwa sababu Gani acha zenu waislam
@user-ve3wu5jn1l
6 ай бұрын
Mazinge unatisha sana Allah akupe maisha marefu . Unapoteza pumzi kubwa kwa faida yao lakin ipo siku watakir
@mitchy2219
6 ай бұрын
Kwa kweli mmdahalo huu una maana kubwa kwani kila mshirki wa dini yake anafahamu undani wa mafunzo yanayo zungumziwa hata hivyo una dhibitisha majibu yalio na ufasaha na dhihaka jibu linapotelewa sisawa kujibu swali ukijua unawapotosha wasikilizaji fursa ya kuto ona kweli la mjadala je kuna maana gani kua na mjadal kama huu uwe funzo kwa mumini si kila dini ifunze inayo wahusu washirika wao badala ya kushutumiana uzuri wa dini yao
@user-jl5un4wf3u
Ай бұрын
Mungu hana chaprofesa kwakuwa profess auelimu nibahari naniyaMungupia.
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj
4 ай бұрын
Na huyu yesu ni mungu, ni nabii au mtoto wa mungu
@mixboysofredorfamily6210
4 ай бұрын
Ni nabii issa
@whitetigerprincy5882
4 ай бұрын
Uwezi mfahamu till u read the bible properly
@SamuelmuneneMuthoni
6 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Ndacha
@gabinoamanaka3444
Жыл бұрын
We ndacha chunga sanaa hawa watu wanaweza waka kuuwa ulisema kwa jenga ulivamiwa wakapasua vioo vya gari yako hawa watu hawana imani mioyoni mwao hivi unavyo wapea dose chunga sana
@abuuhassani497
2 ай бұрын
Acha woga ndacha Elimu hana
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
Auliwe kisa anini cha maana sana huyo Ndacha ywawapoteza kabisaa mungu alitairiwa wapi kwa wapi
@RoseMuniss-y5q
17 сағат бұрын
@@abuuhassani497 uyo mazinge ndo kilaza kabsa anajichekesha hana ata fact...ndacha anakupatia adi andiko
Professor mazege mweyezimuku akuweke tupe ndawa nya Allah salamwalekum warahmatullah wabarakatu
@elijahmaina5878
Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha na wanzako Mungu na akulinde
@KhairunRashid
4 ай бұрын
Wallah I'm proud to get a professor like you who knows the right of his religion
@evansjoshua-ms3mg
2 ай бұрын
Mafundizo mazuri mwalimu Andacha pongezi
@frankmpembu
Жыл бұрын
Mazinge hana hoja, Nashukuru kuona baadhi ya Waislamu wanakuja kwa Yesu na kuukimbia Uislamu.
@abeidpazia1720
Жыл бұрын
Labda wa kike afuate mume,,hakuna muislam mwenye akili aliyesoma uislam wake akaujua halafu aingie kwenye ukafir hata Kwa pesa yoyote.
@sayaribrand538
Жыл бұрын
Ah ya uyu sheih mazinge ni hatari yan Legend
@zaudaislam2120
Жыл бұрын
Alhamdulillah kuzaliwa muislam n inshaallah mungu awaongoze hawa makafiri
@alingoevans5026
4 ай бұрын
Wakristo 🎉nyie hatari
@fatmaahmed8637
Жыл бұрын
Pole sana Sh.Mazinge jumbe bado mdahalo unaendelea
@WILLIAMCHINA
Жыл бұрын
Ndacha Anajua Dini Hapo Kunawatu wanatumia Nguvu Na Kueleweka ngumu
@cabylake2320
Жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umri 🤲🤲🤲🤲🤲
@datiusludovick8469
5 ай бұрын
Ndacha mungu akuweke
@BernardChesoli-rj3nw
11 ай бұрын
Waislamu wanajua tu takbirrr. Mazinge hajajibu swali.
@jumarobertonyancha8605
Жыл бұрын
Mazinge ni mbwembwe na sarakasi kuwadanganya hao waisilamu
@issafaquedalaura8279
Жыл бұрын
Pro Mazinge Safi Sana Masha Allah
@mutulaObedi
3 ай бұрын
acha basi nikuombeye mweshimiwa mwalimu ndacha kama profisa wa injili tunakuitaji congo mwalimu wetu
@user-bl9uh8sw3g
6 ай бұрын
Teacher Mazinge ❤❤❤❤❤
@kisosekatere6282
11 ай бұрын
Huyu Sheik Mazinge yuko mbali sana na maandiko na mbona Ndacha alioneaha neno liko wazi Majina yameandikwa mbinguni Biblia ilioesha wanao hubiri Injili majina yao Yameandikwa Mbinguni, pili unakataa hutaki tafsiri ya Kanisa sasa uelezwe namna gani wakati maandiko yako wazi, Bila Ushabiki Elim na uelewa wa vitabu Ndacha yupo juu sana kuko S. Mazinge
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
Alikuonyesha wew usiejielewa
@user-ev5oi5xb1w
3 ай бұрын
Yesu ni njia ya kweli
@AdamMnyambwa
3 ай бұрын
Mungu akubali mwalimu ndacha akupe maisha marefu akulinde naloo mbaya
@mwoso
Ай бұрын
Hapo Mazinge alilemewa na hoja.
@Davidjame711
Жыл бұрын
Yaani hatari sana mazinge ameona kivumbi kikali sana hata yeye anayua ilo
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
Hakuna anae weza muonyesha mazinge kuvumbi ata siku moja
@mwilaben193
Жыл бұрын
May our heavenly father bless you pastor Ndacha
@lizndunchez720
6 ай бұрын
@@ARUWAAHMADA-jz9msww ndie utakufa ujinga yko mnaswli z kitoto sna
@MeshackTanui-w2j
16 күн бұрын
Ndacha kept up❤
@abdilatifhashi9659
Жыл бұрын
Masha Allah mashehe wetu wote Mola awalipe na Janatul Firdaus
@maryamjuma1980
Жыл бұрын
Amiin
@Catherine-mh8sw
Жыл бұрын
Amiin
@user-sf7lp1fs7d
Жыл бұрын
Amyn
@patrickmunishi2277
7 ай бұрын
NAWAONEA URUMA SANA WAISLAMU,
@aminahassani-jh5rp
3 ай бұрын
Heheeeee mashaAllah Shekhe wetu mazinge mungu akupe afya njema umri mrefu inshallah
@djhassim_254
4 ай бұрын
Wewe ushapotea ata Yesu hakuwaisema ivo
@alicekatsutsu6345
Жыл бұрын
Mazinge elewa swali wacha kuleta hadithi nyingine
@saidmadizi9152
Жыл бұрын
C amejibu husikilizi
@faridarahma4050
Жыл бұрын
Pro Mashaallah
@user-uu3nh4qe2n
6 ай бұрын
Ndacha wewe ni kiboko cha waislamu
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
Subutu lbda kiboko yako wew
@mutiithidaniel6846
3 ай бұрын
Kati ya mitume wote walio leta ndini wote walikufa na wako kaburini yesu pekee alikufa na akafufuka.yesu wa wakristo ututetea lkn ndini zingine zote utetea mungu.yesu anasema mimi ndimi njia na wengine wanambiwa tafuteni njia
@thureyazuheir293
Жыл бұрын
ya allah ya maliki tupe mwisho mwema ya matini
@AAA-zu1vy
Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲
@adnanel-islam3291
Жыл бұрын
Mazinge Mungu akulinde . Nazani Waliokufuru pia wanakukubali
@whitetigerprincy5882
2 ай бұрын
Ur comedian 😂😊
@orianamichael5295
Жыл бұрын
Kweli mazingine hana hoja ni comedian wasiojielewa wanamshangilia
@zaire-Ndaroyangu
Жыл бұрын
The only debate mazinge can fit is either being a comedian or a bongo flavour artist, No one is interested in such kind of comedies, mazinge hna hoja, uzee wke unkuja vbya, inahuzunisha sna
@jumarobertonyancha8605
Жыл бұрын
Okweli mtu huyu Mazinge ni actor
@adarashidi8178
Жыл бұрын
🙆🤣🤣🤣 true talk
@mustafarashid2484
Жыл бұрын
Kama ww ni muislam basi umepotoka,Mazinge anatetea dini ya Allah, comedian ni ndacha
@shakiljuma5055
Жыл бұрын
Wewe mungu akuongoze uwe muislamu
@mansooralaisri5200
Жыл бұрын
Huyo Ndacha atasilim, ni swala la muda tuu.
@user-uu3nh4qe2n
6 ай бұрын
Ndacha umefanya kazi ya kuwafunza waislamu na kuwaelimisha zaidi.
@lulanjamd3886
Жыл бұрын
Yesu Kristo ni kweli na tena njia ya kweli na uzima.
@hassanadam3007
Жыл бұрын
Wacha zako..
@davidmnyela2459
Жыл бұрын
Amina
@frankmpembu
Жыл бұрын
Amina
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
Milele Amina🙏🙏🙏🙏
@FatmaNash-nd5kz
Ай бұрын
😂😂😂nyinyi mlioza sana uzima upi ,uzima ni waduniani tu hiyo milele uyaongelea niya duniani tu
@djumanjike3256
Жыл бұрын
Mazinge Mungu akulipe kheri
@thomasoloka3550
Жыл бұрын
Shehk mazige pigania dini ya uislamu Allah akuwake tebeza kalima ya lailahailala muhamad rasululahi
@nicholousmtemi3902
Жыл бұрын
N kweli anapigania ila ubaya anachekesha baada ya kufundisha
@peterotakwa3622
Жыл бұрын
mbona aja jibu swali
@sheikhaahmed1483
Жыл бұрын
Ameen
@wesleykiprono3583
Жыл бұрын
Please let's find the real thing not islum or christianity
Пікірлер: 720