Mwnjilist paschal wew waisema kwel ,,,,,,hzi ni nyakat za mwisho endleaa kuisema kwel had mwisho ,,maan mtu kuelewa haya unayoyasema ni lazma awe anamjua mungu kwel kwl na sio kuokoka TU kwnda kanisan ,,,paschal mungu awe pamja nawe ,,,mtu weng sna wanaishia kuokoka TU na si kudumu ndan ya wokovu hakika waliookoka na kudumu ndan ya wokovu watakuelewa ,.
@MwabilaElias
3 ай бұрын
Jaman paschal hajahukumu ila anasema kwl kutoka katka biblia takat tazam yohana 17:17
@kitajumanne414
3 ай бұрын
MUNGU akulinde daima. umenifundisha sana na nimekombolewa kupitia mahubiri Yako ya kweli mtumishi wa MUNGU
@womanofgod2217
3 ай бұрын
Amen mutumishi Ubarikiwe.
@lewistz
3 ай бұрын
Ihubiri kweli kivyako acha kunyooshea watu kidole Kuna muda shetani anamtumia mtu afu wasioona rohoni watamuamin pia😢😢😢, Hapo unatumia akili zako mzee kunyooshea watu vjdole sio moja ya kalama za roho mtakatifu, 1wakorintho12:1-11 Hapo paulo alijaribu kuwaelezea wakorintho sio wote tutakuwa na karama moja pia usisahau, Hata kama umepewa macho ukaona flan anachofanya ni kibaya mfuate umuonye sio kumdharirisha kwenye media kwa fikra zako wala huwez kumnyamazisha shetani kwa njia hii, Omba HEKIMA na BUSARA acha kutafutia kiki neno la MUNGU majina ya watu
@MarkoWMichael
3 ай бұрын
Sio kumdhalilisha nikumnyoosha aiache Njia yake anapoteza wengi
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
G welcome
@PhilbertaKatabarwa
3 ай бұрын
Mungu akubariki sana naakurinde usjal maneno ya watu Mungu endeleakusema ukweli mwenye masikio na askie
@valenakomba9218
3 ай бұрын
Sanaa.ni kweli . Bwana Mungu akutie nguvu zaidi.
@DicksonBuramba
3 ай бұрын
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Yesu kristo aligawa vipawa mbali mbali, Ipo siku cassian utafanyiwa deliverence na watumishi hawa unao wasema, ni suala la mda tu .
@gitongaz
3 ай бұрын
Heli kupinga mapstor wa ukweli , kwa kukosa ufahamu wa kiroho kuliko wenye wanafahamu hawafanyi ukweli but wanapada dege kudaganya wakristo
@GustaveAbedi-td9yv
3 ай бұрын
Que la force de Dieu vous accompagne par tout.🇨🇩🇨🇩
@godyfashion7125
3 ай бұрын
Huu ndio muda wa kuambiana ukwelii huu ndio muda wa kuiweka dhambi hadhalani huu sio muda wakufarijiana farijianaa sema paschal tenaa pigaaaa keleeeleeeee kwa kuitajaaa dhambiiiiiii kama ilivyoooo
@geitandelwa299
3 ай бұрын
Yes ujinga umezidi mno
@SolomoniNgulai
3 ай бұрын
Hakika nyakati za mwisho ndio hizi imebaki tu yesu kurudi kunyakuwa kanisa
@harrietkiden7808
3 ай бұрын
GOD BLESS YOU SO MUCH PASTOR PASCHAL 🙏
@JoyceMbise-zr2xh
3 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa BWANA,hakika huu ndio ule mwisho
@CharlesMisungwi-f8t
3 ай бұрын
Watu hawajamuelewa shetani naibaadazake nikua angamiza jamiikubwa yeye hujaribu kushindananawatu waMungu.maandiko yakowazi endelea kutukumbusha kweli yazMungu mchungaji....
@esterabonga7947
3 ай бұрын
Kumbe kuna makungwi wa kiroho na watu awasemi 😂😂😂
@martinahlighare6495
3 ай бұрын
Ameeen, amen. Mungu anisaidie, imani yangu iambatane na matendo yangu kwa wengine.
@patiencehumbled3519
3 ай бұрын
Leo mahali nilikuwa kanisa Bishop amemtaja huyo mwanamke kama mtumishi wa uongo
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
3 ай бұрын
Mwanamke yup
@furahag3098
3 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi uzidi kufichua ukweli 🙏
@joycefaida6548
3 ай бұрын
Ubarikiwe sana 🙏🙏,,,pia umenisaidia kuijua kwel 🌎🙏
@chantalmariesony2996
3 ай бұрын
Niwa uongo awo wa pastor wakike
@misscesty5817
3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa wangu..yaani kuna watu wanafaa kupigwa viboko ndio waelewe.
@agnessndabhalu
3 ай бұрын
Mungu Azidi kikupigia mtumishi 🙏🙏
@jovettedenise2591
3 ай бұрын
Mungu akulinde🎉
@patiencepaul2294
3 ай бұрын
Kweli kabisa...nyakati za mwisho izi😮
@LizyKinabo
3 ай бұрын
Wacha aseme watu wapone maana wengi wanaangamia kwa kutokujua
@ElizabethMuia-ro9yh
3 ай бұрын
Yaani unayo yaogea ni kweli kabisaaaa
@Taysonmick-q1f
3 ай бұрын
Mungu akubariki usikate taa fundisho unaweza
@AliceNgandu2023
3 ай бұрын
Tuko mwisho waduniya Mungu akutiye nguvu mutumishi wa Bwana
@KeviNgailo-ex4wd
3 ай бұрын
AMEN🙏
@gitongaz
3 ай бұрын
Sasa imagine mtu akikuja kuokoka anakuta pastor akionesha hips na panti si atadhani wanaokoka wakiwa wawili
@veronicahkhaikwa4929
3 ай бұрын
Hata kama kuna watu mnapingana humu kusema ukweli haya mavavi mtu hawezi nihubiria nayo ,tofauti yake nami hamna ,siezi msikiza
@sarahmwadime850
3 ай бұрын
End times....tunaomba roho ya uvumbuzi
@EstherJoshua-u6b
3 ай бұрын
MUNGU Akupe Ulinzi wa kimbingu kaka yangu
@AdelilahMary
3 ай бұрын
pastor anasema kweli hayo sio mavazi yakusimama kwa madhau nakuubiri mkristo n barua inayo somwa na wengi unadhani watu wanasoma nini ka mavazi hayo yasiyo na utukufu mbele za Mungu
@AnnaMyala
3 ай бұрын
Be blessed
@hegikibaby1120
3 ай бұрын
angalau wewe una uthubutu wa kuwambia ukweli hadharani. watumishi wengine wanaogopa kukemea ushetani unaofanyika
Wanang'ang'ania din wokovu hawataki.mwe.inauma.sana biblia inasema mwanamke kichwa chake kiwe.kama.cha.mwanaume.maana.yake asijipambe.au.afunike.kichwa.chake.jaman.tutataman.milima.itufunike.da.haitawezekana mbona.uhuru.umezidi.mawimbi.ni.mengi.sana
@BishopEllie
3 ай бұрын
Mtumishi mwenzangu, ifike mahali uchoke KUHUBIRI WATU NA MATATIZO YAO YA KUCHAKACHUA NENO...ILA UANZE SASA KUMUHUBIRI CHRISTO...ROHO MTAKATIFU ANAFANYA NINI LEO??? HAO WANAPOCHAKACHUA INJILI WEWE HUBIRI NENO NA BWANA ATATHIBITISHA KWA ISHARA NA MAAJABU. TWENDE KAZINI.
@chantalmariesony2996
3 ай бұрын
Yes njo njia wako wanafanya nikweli kabisa
@JoshuaSamwel-j2k
3 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@AthonySaimon
3 ай бұрын
Duh! Yaan paschel unatuambia ukwl ila watu wanapuuzia!!
@laurentraphael5470
3 ай бұрын
Makanisa ya mashetani yamejaa kila kona. Mungu atusaidie sana maana sio kitoto.
@gitongaz
3 ай бұрын
Pia swiming pool singine niza freemason watu wakingia wajionesha mwiili yao hekaru ya mungu , sinafutia dhabi sio kujifulahisha ,yaan shetani ameletakanisasaje na kusigeuza kuwa swiming pool ili wale hawapedi kweda kanisa hashikiwe apo ,then swimming pool watu hufanya ngono uko dani na mabinti ama wengine kuwa rappedwakifundishwa kuogelea
@iamdivineimage
2 ай бұрын
🤣🤣🤣WAtu kwa chumvi
@iamdivineimage
2 ай бұрын
Mtu kashasema haneni wala hatanena kwa lugha wakati kunena kwa lugha ni ishara ya uwepo wa Roho Mtakatifu🤣🤣 Bible inasema anenaye kwa lugha anaijenga roho yake so hii inamaana kuwa roho ya huyu Mhubiri haijajengwa... Halafu si kweli kwamba tunaokolewa kwa matendo hayo ni mafundisho potofu Efeso 2:8-10
@colyndelwa1738
3 ай бұрын
Ukweli ambao kizazi hiki hatutaki kuusikia. Mungu atusaidie sana
@Taysonmick-q1f
3 ай бұрын
Somen vitabu kubukub ratorat 22 5 timoseo wa kwanza 2 9 10 Hosea 2 13 yakobo 2 14 15 17 timoseo wa kwanza 2 4 5 wakorito wa kwanza 11 13 wakorito wa pir 5 12 13 14
@festinamwakipale3919
3 ай бұрын
Wahubiri wa.sasa biblia hawasomi jaman.biblia hawasomi mnaosoma.hubirini kweli msichoke jamani sio kila vazi mcha.Mungu.atavaa sio kila kinywaji mcha Mungu anaweza kunywa ivi hawa.wadada watumishi kwamba hawajui kabisa kuwa suruali kwA mwanamke ni.vazi la kikahaba da wamefungwa kufungwa gani wadada.nyie watumishi mnatia huruma shetani anawatia aibu mkutane na neema kama kweli mnahubiri kweli acheni misuluwali kama mmetumwa na mafreemason.muiharibu Tanzania hamtaiweza Tanzania
@gitongaz
3 ай бұрын
Wagojwa wamevaa kwa adabu kushida uyo dada
@paulbwanana7886
3 ай бұрын
Hatari sana
@neemaneychricious6493
3 ай бұрын
Wew fanya kile umeitiwaa acha kupotosha watu kuwachanganyaa mana yakwako mbna ucyaweke wazi kila mtu kaitwa kwa nafasi yake anafanya kile ameambiw na aliyemtuma hawez fanya unachoongea atafanya alichoambiw utapamban na Mungu bila kujua unapambna na Mungu aliyewatuma
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
G welcome
@iamdivineimage
2 ай бұрын
Uko sahihi sana
@Pendopasilika
3 ай бұрын
Ameni ameeni
@johncharlessingano8551
3 ай бұрын
Wewe HUMPENDI MUNGU
@janethdavidsanga5999
3 ай бұрын
Kaka unatuchanganya wacha kila mtu aamin anacho amin,maana unatuvuruga
@JustinKituyamaana-og3bg
3 ай бұрын
Siku ni Matata Sana. Mpaka Christo atafika na wengi bila kujuwa
@JustinKituyamaana-og3bg
3 ай бұрын
Kumbukumbu 22;5. Maandiko inayakataa kabisa. Nasiyo apa tu
@IvanMocha
3 ай бұрын
MUNGU aturehemu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
3 ай бұрын
Cku hiz tumekuwa wavivu saana kuomba kma Biblia inasema tumtake yeye na nguvu zake...tumtafute uso😢.lait tukiomba kwa bidii macho yetu ya rohon yatafunguliwa...😢atutasumbua watumish waongee saana kuhus uwongo wa manabii.kabla ajamtaja unamjua n mtu flan Roho mt. Atakuwa tayr alishakwambia
@IvanMocha
3 ай бұрын
Watu wanapenda Sana mteremko
@Visionofeagle9689
3 ай бұрын
Yezebeli , wajinga ndio waliwao.🥹
@elijohofficial1049
3 ай бұрын
we unatafuta hela youtube tu😂😂 huna lolote
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
G welcome
@fridberthahaule9489
3 ай бұрын
Mungu atusaidie kt nyakati hizi za mwisho. Hata muonekano tu wa huyo mhubiri ni wa kuzimu,mbona jamani?
@kayombotv9758
3 ай бұрын
Sasa wewe utachunguza mangapi mbona hueleweki zunguka Tanzania nzima uhubiri wewe tuu maana wengine hawafai.
@FestoJemsi-lr8pw
2 ай бұрын
G welcome
@mengindegeya2780
3 ай бұрын
Brother kwa muonekano kweli huyo ni kungwi wa makungwi anakungisha ndoa duuuuuu!!!!!;;;;;!!!!!!!!!
@dh-bioproducts8205
3 ай бұрын
Kassian ingependeza kama ungetuonyesha kazi zako na miujiza Yako. Uwaache watumishi wenzako wenye upako wanaowagusa watu wanaanguka.
@odilomwemeziernest646
3 ай бұрын
@@dh-bioproducts8205 nani kakwbia kuanguka kunaonyesha upako?umesoma wapi kwenye biblia mahali upako uliwangusha watu wasiyo na mapepo?
@roselyimo3676
3 ай бұрын
Hatujakataa wanatumiwa na shetani ila tunataka kujua wewe una lipi jipya na una jina lipi ambalo linalutofautisha nao??? Wote mnatumia jina la Yesu na unajiona uko tofauti nao?????😊😊😊😊😅😅
@Hellen-v8p
3 ай бұрын
Mungu akusaidie upate kutambua utofauti wao
@roselyimo3676
3 ай бұрын
Hakuna utofauti wowote kumbuka kabla kuwako Yesu walikuwapo waliofunga agano akina mfalme Daudi lakini Mungu alileta jina jipya kwakuwa giza linakuwa limetanda. Hawezi kuendelea na jina lile lile@@Hellen-v8p
@Namtumbo
3 ай бұрын
Wengi watakuja kwa kina langu wakisema madiya,msidanganyike Mungu atupe macho ya rohoni,
@johncharlessingano8551
3 ай бұрын
We Nyamaza usiongee tena
@ramseyngwejela499
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AdamJonas-sx4mi
3 ай бұрын
Jamani muwe munapost na ya makanisani kwenu ili tuone munacho ongea kinatokana na Mungu? Munaponda wengine yamakanisani kwenu hatuyaoni ili tujifunze harafu unatumia hasira inayokaa kifuani mwa mupumbavu.
@Elizabeth-777-r3p
3 ай бұрын
Mbona matusi
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
3 ай бұрын
@@Elizabeth-777-r3pYahn asira kma yote....C muombe muingie magotini MUNGU n mwaminifu sana awape macho ya rohn
@rhodamaha1637
3 ай бұрын
hivi wewe kama hutaki kupona nyamaza kimya anayongea mrumishi ni kwwki tuou
@Rashid-vm1fk
3 ай бұрын
Huyu atakuwa bila shaka mmoja wa muumini wa manabii hawa, Tumuombe Mungu macha ya rohoni ili tutambue miujiza hii
@jameskilasa759
3 ай бұрын
Kwan huoni hapo kapost yuko kanisan
@NataliaPetro-ej7bf
3 ай бұрын
Bhan eeh shetani atamtoaje shetani mwenzake kwanza kazi ya kuhukumu sio yetu nikazi ya Mungu kila siku ni kusema watumishi fungua kanisa ufundishe hiyo kweli hata yesu alisema tutafanya zaidi ya hayo sasa nyie mwataka wafanye nini fundisha yako yaliyo ya kweli
@godyfashion7125
3 ай бұрын
Samahani wewe kama ni BABA mtoto wako akiendaa kinyumee na kanuni zako utamuachaa kumuonyaa na kumkea kwa kuogopa utakuaa unahukumu ... sikiliza kukemeaa na kuhukumu ni vitu viwili tofauti ..ni kwelii kabisaa watumishi wengi wa makanisani wanamionekano ya KIKAHABA kwani uongo lazimaa ukweli uzungumzwee bwanaaa
@tinnahagustinolyelu4247
3 ай бұрын
Yaani anachoniuzi huyu kaka yupo kama falisayo mwache Mungu atawahukumu mwenyewe maana wewe kila mtumishi mbaya na kwanini wewe unajihesabia haki sana
@Rashid-vm1fk
3 ай бұрын
Kwahiyo unataka asifie uovu? Kama itakuwa ww ni miongoni mwa wapenda miujiza, soma mandiko tuwatambua kwa matendo yao ambayo hayaendani na Neno la Mungu
@happnesskitumbo5713
3 ай бұрын
Yesu akufumbue macho tuko nyakati za mwisho Sana.
@DicksonBuramba
3 ай бұрын
Kabla ya kutoa kibanzi kilichoko Kwa jicho la mwenzako hebu ondoa bolt ndani ya jicho lako....Enyi wanafiki...hili ni agano jipya dhambi haiondolewi Kwa kukemea, utakemea wangapi? Ujue Yesu alirahisisha sana C's hatupo chini ya Sheria, wafundishe watu Neno Ili wampokee Yesu kristo yeye ndiye atakaye yabadilisha maisha Yao sio wewe, ndio Maana injili ni uweza wa MUNGU it means ndani yake kunauweza wa Mungu wa kubadilisha. Agano la kale ndio waliokuwa wakipiga kelele C's roho alikuwa hakai ndani yetu, ndio Maana wakina Nabii Isaya waliambiwa wapige kelele Ili watu wabadilike na kuyaishi mapenzi ya MUNGU, C's watu wengi Leo hii hakuna asiye ijua dhambi ila issue ni kuishinda dhambi hata kama utawaeleza lakini kama hautawajenga katika misingi ya neno la MUNGU kwaajili ya kuufisha mwili bado wataanguka dhambini so wafundishe Neno Ili roho ipate Nguvu ya kuushinda mwili ( warumi 8:6) C's Sheria iliishindwa dhambi sababu ya mwili, kwa hiyo adui yetu wa kwanza ni mwili na sio watu, Kwa hiyo Ili tumshinde shetani tunahitaji kupata Nguvu za roho C's shetani ni roho, ndio Maana Neno linasema zichunguzeni hizo roho na sio watu, Kwa hiyo MUNGU atufungulie milango ya fahamu ya rohoni, hii ya mwilini haitaweza kumshinda adui,C's adui ni roho, sasa watu wengi wanasoma Neno la MUNGU Kwa kutumia milango ya fahamu ya mwili ndio Maana wanachanganya mambo hata Yesu alipatashida sana watu walimwambia eti anatumia pepo kuwafungua watu, na hao walimwambia ni watumishi kama hivi Leo mnavyo waona Hawa wanavyopinga ni mfano wa mafarisayo Kwa Maana ya watu wa Dini, hebu tubadilike kukemea dhambi ni sawa lakini kumbuka maneno Yako ya kuwakashfu wenzako hayawezi kuwabadilisha watu ma elfu Duniani Mwenyezi MUNGU alilijua hilo ndio Maana akatupa msaidizi ambaye ana uweza wa kuwabadilisha watu kwakuhubiri injili yenye uweza ndani yetu, kuwafungua watu wenye vifungo mbalimbaluli na kuwafundisha Neno, Soma Matendo ya mitume 1:1 utaona Yesu kristo alifundisha na kufanya, sasa hilo suala la original na feki ni lako wewe kujibidiisha katika Neno Ili roho wa BWANA akuongoze, MUNGU awabariki sana na kuwatia Nguvu.....❤
@dh-bioproducts8205
3 ай бұрын
Kwani wanapaswa kuvaa nini? Na je wazungu waliotuletea dini wao wanavaaga nini. Tumwache Mungu abaki kuwa mhukumu kama alivyosema ktk kitabu chake. Wewe ni nani uhukumu watumishi wa Mungu? Mtumishi,ingependeza kama ungedeal na kufundisha kile ulichoitiwa na kuendelea kulitangaza jina la bwana pamoja na Injili yake, na sio kuendelea kuwahukumu watumishi wenzako. Kila.mtu ameitwa kitofauti na amepewa maelekezo tofauti
@gitongaz
3 ай бұрын
Huyu pastor anafanya kazi nzuri sana but yesu akufanya Ivo ,alionya watu hakutaja mtu yeyote but huyu anaoneaha video za watu na sio vzuri, yesu alisema mwenye macho aone na mwenye Akio asikie so watu Dio wanapashwa wajiaemee kwa roho Sio kuexppose, hio unataka hekima nyingi sana
@gitongaz
3 ай бұрын
Mwabie afanye picha ikue cartoon na asitaje jina la mtu,watu wataelewa ni kina nani
Пікірлер: 118