POWERFULL WORDS. Nguvu ya kusaidia wengine huongeza marambili nguvu ya kujituma kwako kwani itakuingia moyoni na akili kwamba wapo wengi watakao hitaji msaada wako na kukupa nafasi ya kushukuru kwa hapo ulipo. Kitu pekee tunachosahau ni kwamba Kila unayekutana naye analo la kukufunza mbali na vile ambavyo unamtazama. nimejifunza mengi sana, Dima kuna wazungumzaji wengi ambao nimewahi kuwasikia, kama unakumbuka nilishwahi kukueleza mara ya kwanza kabisa kabla hata kitabu cha TIMIZA MALENGO Hakija toka, kulipokuwa kwenye promotion, kwamba wazungumzaji wengi au wajasilia mali wengi, wanafundisha sio yake wanayoishi au kuyafanya ndio maana wengi wakisoma kazi zao hakuna mabadiliko, but tangu nilipoanza kukufuatilia nikakubali kwamba sasa yupo mzungumzaji Tanzania
@charlesjoseph2477
5 жыл бұрын
thanks
@mosesrichard459
4 жыл бұрын
Unaweza!
@katsongowasi
Жыл бұрын
Nafurai
@issashekh9437
8 ай бұрын
Thanks
@MustafaShomari-nh7pn
6 ай бұрын
🎉 l0
@mercypedha5519
5 жыл бұрын
The biggest enemy that is killing my dream is Myself ! There is always a potential but we are afraid to fail and learn ! I must step out of my Comfort zone! !! Thank you Hon.Joel 🙏🏿🙏🏿🙏🏿💕
@revocatusclevery1540
5 жыл бұрын
dah!! hii hakika ni passion yako🙌 Mungu akutunze ndugu yangu,, unafanya kwa kiwango cha juu sana..! A man of de impact ( a strong effect)
@levinamrema8
2 жыл бұрын
Nataka niwe motivation speaker nifanyee mambo gani
@user-zn1uv7lr4w
2 ай бұрын
Vizuri Sana Kila kitu kinawezekana endapo wewe mwenyewe ukiamua Jambo la kwanza la kufanya motivation speaker unae mjua ili akupe muongozo Jambo la pili ni kusoma vitabu vinavyo husiana na motivation speaker Na jambo la tatu ni kununua course mtandaoni zinazo husiana motivation speaker
@successpathnetwork
5 жыл бұрын
Kaka this is deep, deep very deep!!!
@safiaabubakar1120
5 жыл бұрын
Haijawahi kutokea kuskiza vipindi vyoko Joel nikamwagika machozi kama leo Wallah nimelia imenigusa in my heart
@officialnuh7217
5 жыл бұрын
Cube!!!! Kibaha sec school, umenikumbusha maisha ya Mapisi na kila kitu pale kibaha sec school!!!! God bless you, Wakati nipo pale kibaha sec school nliwahi kuugua na Sina hata sent moja, rafiki angu mmoja alinisadia pocket money yake ikaisha na akawatafuta na wengne
@neemaerasto1842
4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana maneno yako yananipa nguvu ya kufanya mambo kwa kujiamini sana sitakata tamaa be blessed more
@peterswai391
2 жыл бұрын
Nice fact kaka God bless more brother Dodoma Tanzania
@judithnjunwa6668
5 жыл бұрын
Nanauka MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO ,KWA JINSI UNAVYOTUPA VITU VIZURI VYA MAISHA, BE BLESSED JOEL
@isakamuyagala8717
2 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwa kazi njema ya kuelimisha jamiiii iliyopotea
@carolineifee800
4 жыл бұрын
Aky nimekupenda bure kwa maneno mataaaano sana ya kutia mtu moyo wallai thanks so much and god bless u
@charlesfaida1515
4 жыл бұрын
Daaa!!! Teacher hapa ulitema madini mwanzo mwisho unaongea vitu hadi nahisi upo mbele yangu Kaka, "GOD BLESS YOU MY TEACHER OF MY LIFE"
iyo ni kweli kuna wengi tunajidhalau wenyewe ndo maana wengi tunakufa na malengo yetu bila hata kuyanusa na wengi tunavipaji ila hatuvinoi vipaji vyetu ndo maana havitusaidii kufikia malengo ila naamini wengi tutafanikiwa kupitia wewe na mafundisho yako
@issackmbotera5261
5 жыл бұрын
Nimejikuta asilimia 90 ya ulichokizungumza kinanigusa! Hongera sana kwa kipaji ulichonacho
@fidestamhina4063
5 жыл бұрын
OMG..asante kaka, nimechelewa kusikiliza hii lakin umenisaidia kwa kiwango ambacho hakielezeki, asante
@josephkessy5486
5 жыл бұрын
You are making me Joel. One day I will invite you in my graduation of the classes you are teaching me.
@abdulkadirmwalim24
4 жыл бұрын
Safi sana kaka kwa kweli umebarikiwa na huna hiana kutowa kwa hicho ulicho barikiwa na mungu. Mungu atazidi kua na ww na pia akuzidishie kipato cha halali ili uweze kuendesha familia yako.
@judithmtaliki2860
5 жыл бұрын
safi sana nimejifunza vitu vingi leo kupitia somo lako
@eliezermtokoma2057
5 жыл бұрын
Kaka nakuelewa saana ipo siku nitatoa ushuhuda kwaajiri yako MUNGU akutunze
@davidbrahi1485
4 жыл бұрын
Kaka upo vzur sana unanipa nguvu ya kutafta zaidi na zaidi
@najmabajun202
5 жыл бұрын
daaaah nime anza kukufatilia na hakika nikifatisha vyema masomo unayo tufunza wallah nitafika palenapo taka fika shukulan my brother 🙏🙏🙏 ume nifungua mengi
@sebastianmassawe9527
5 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa somo zuri umenigusa sana kwenye mwaliko wako ulionyesha vitu ambavyo watu hawakutarajia,
@ndarojuma5128
5 жыл бұрын
Kaka nimeanza kufanya ujasiriamali kwa bahati mbaya nikapata hasara kweny biashara yangu real be honestly nilvunjika moyo lakini kupitia video yako naamini ninaweza na kuna engi nimejifunza. Stay blessed brother.
@kwizboy7449
5 жыл бұрын
Asante xn kwa ujumbe mzuri kaka Joel lakn unaongea sana kizungu kwa mama yangu pale kasulu anashindwa kuelewa kizungu kinachukua nafasi kubwa mbaya zaid unapofika kwenye point unaongea xn kizungu
@racheltanzania3198
5 жыл бұрын
Joel nakufatilia sana na ujawah kuniangusha asante sana
@gmaemba22
4 жыл бұрын
Joel umesoma kibaha mwaka gani.? Nadhani nitakua nakufahamu maana mimi sio tuu nimesoma kibaha bali natokea kibaha. Nimesikiliza hii speach imenifundiasha mambo mengi sana. Thank you brother. I would like to meet you when I come back home. Cheers
@benjamininyambaso5041
5 жыл бұрын
Jamani hayaa madinii hatarii sanaaa,big up my brother joel nanauka kwa kuzidi kuniongezea maarifaa kila cku mungu azidi kukipa power.
@user-zn1uv7lr4w
5 ай бұрын
Nashukuru sana kwenye video nimejifunza hizo hatua But it's very powerful Na miongoni mwa kitu cha thamani zaidi nilicho jifunza ni kwamba ili ufanikiwe katika kila nyanja Lazima uhitaji mtu wa kuku'coach kwa mfano Life coach mfano Nanauka Online business coach mfano Dr.said said Relationship coach mfano Chris mauki Spiritual coach mfano...... Health coach mfano ......... n.k Ahsante
@hannahmichael2008
4 жыл бұрын
baba unanibariki sana one day I will reveal this to the world ... thank you ...
@adrianaciku1812
5 жыл бұрын
Ooooooooooh yes this is so good to start my day.first i want to thankyou for motivatin us ..u have no idea how u have helped me to become the person iam today m fearless and doin my purpose..this is best channel ever it has enabled me to change my mind...have been employed for years but through listenin to i have realised i was doin the wrong work i have learnt alot from this tv and m a changed gal...ooh team joel let us meet at the top..may God bless u
@favourspapatv
4 жыл бұрын
Maneno yako yanapiga Kama mawimbi ufukweni kwa samaki anayekaribia kukata tamaa.Kongole Sana Mkuu.
@mwlrobinson
2 жыл бұрын
Hiii speech Ina nguvu ya kumbadilisha mtu endapo atatekelza what spoken ♥️🙏🧠
@aaaavvvv4261
5 жыл бұрын
Wao sikujuwa hii mambo bt sifi moyo mwalimu mzuri mungu akubariki na kuepushe na shari nmejifunza mno mengi
@mosesallanadam1955
5 жыл бұрын
Safi sana, yaani nimechukua muda mfupi na kweli umeshusha madini!
@bck8163
5 жыл бұрын
My friend nimepata mtu ambaye ameniambia ukweli na ni wewe keep it up man of God
@leticiampeka1488
5 жыл бұрын
Thank you so much, may God bless your work brother!
@luciewajesus731
5 жыл бұрын
I can't wait to subscribe I need more of this wisdom ❤❤😍😍
@mohammedyassin8786
5 жыл бұрын
Mr joeli uko vizuri sana sema punguza vingereza maana wengine hatujui kwaiyo tunaitaji tuerewe mwanzo wakipindi hadi mwisho wakipind
@mosesanosa9956
4 жыл бұрын
Mohammed Yassin umejuaje
@erickambrose7669
4 жыл бұрын
Haaaa
@philbertm.kajuna7549
5 жыл бұрын
This is the Best speech, A transforming speech, The one to immerse and bathe myself in. Thank you sir!
@aderiderkihupi7240
2 жыл бұрын
Napata hamasa sana nikiangalia mafundisho yako. Mwenyez Mungu akujalie daima
@cindymacho5282
5 жыл бұрын
good good naacha kuwaangalia wadangaji ngoja nipate maarifa Mungu akubariki
@yusufally6853
4 жыл бұрын
Mashallah wallah ALLAH gives jannat Firdausi... Be thanks a lot for learns big profit and target.. For ho to start in my life.
@b5342s2
5 жыл бұрын
unafundisha vizuri Sana Ila kingereza kingi wakati unafundisha wenye Elim nawasio naelim mungu akubariki
@carolineifee800
5 жыл бұрын
Asante sana ju nilikuwa mnyonge lkn niliposkia mafunzo yako nikapata nguvu mpya
@simonfredy2324
5 жыл бұрын
Duuuuh #kakaJoel!!... Sio tu kupata mafunzo mazuri....Lakin pia unauzungumzaji ambao hata kama nilikua busy lazima nitulie kusikiliza.... Nafikiri ni uwezo wa kipekee aliokupa Mungu na Kuna Mbegu umeipanda kwangu...Thank you so much!!
@DoubleDD355
5 жыл бұрын
Tanzania vs lesotho
@msafiriramadhani3339
5 жыл бұрын
Deus Denis Uko Lesotho Deus?
@sebastianmsuya25
5 жыл бұрын
Joel ndugu yangu ujumbe umeshiba mno, nitausikiliza tena na tena na tena, naomba nijue kitabu cha malengo nakipata wapi kesho asubuhi mapema
@anthonykimaro807
5 жыл бұрын
Thanks much dear brother nimebadilika zaidi ubarikiwe Sana.
@lucymgata9721
3 жыл бұрын
Yàani wewe kaka.Mungu akubariki sana
@shantaaswad9523
5 жыл бұрын
Am glad l come across this channel, very educative, watching from Oman, jamaani unazungumza Kama marehemu Kanumba
@rizikifumao3685
5 жыл бұрын
asante kwa ujumbe mzuri
@ezekielmwasamboma9953
4 жыл бұрын
Hapo penye tofauti kati ya WISHES na GOALS nimepata kitu muhimu mno! Stay blessed brother Joel.
@rahemaseleiman635
4 жыл бұрын
😥😥😥nilikua na huzun Sana ila umenisaidia kusimama tena mungu akutie nguvu
@meryanmwailakale670
3 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu uishi miaka mingi kaka joel, BARIKIWA SANAA
@kingoman7895
5 жыл бұрын
Asante sana kaka joel nimejifunza mengi leo hii ubarikiwe sana kaka joel Amiin
@frankseleman8930
5 жыл бұрын
Gd
@mekujose8532
4 жыл бұрын
Nafurahia masomo yako sana brother,keep it.
@mercyadam9803
5 жыл бұрын
Nimegundua Mungu hawezi kufunua siri kwa mtu mchoyo utoaji wako pia umekufikisha hapo
@salimkhamisi6490
Жыл бұрын
Thank you so much from now ntayafanyia kazi maneno yko inshaallah ntafanikiwa kutimiza malengo yangu
@evanswere3719
5 жыл бұрын
Wonderful message! Watching from Stuttgart Germany
@lissadanford3931
5 ай бұрын
5 years ago when I was 17 yrs nilisikiliza hii video mara kadhaa nikiwa nauza juice kwa kutembeza .... Leo Nina ofisi yangu dodoma nikiwa na 23 yrs ubarikiwe sana
@hafsacletty1519
5 жыл бұрын
Mashaallah M/mungu Akuongezee Ufahamu.Shukrani.
@amarismedia146
5 жыл бұрын
Brother Joel For sure you have finished this presentation is marvellous, umetisha kaka hatari Five things so strong Be blessed so much brother
@peterdani6244
5 жыл бұрын
2019 nimependa sana mafundisho yako we we ni mwalimu ubarikiwe "god" bless you. "descover your life purpose" Amen,Amen, Amen.
@florenciaearnest5241
5 жыл бұрын
I say I love your motivation. You inspired me.
@shaibumahanda6501
5 жыл бұрын
Daaaa umenigusa sana aiseeee najikuta naenda kazii narudii coz natural ya kaziii ndo ilivyonishape
@rhinaregina5806
5 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki Sana kaka Mungu akubariki Sana wow God bless you
@josemahena2305
5 жыл бұрын
Asante sana Mr Joel be blessed
@user-uj5zs8nc5k
4 ай бұрын
Kwa kwer Nime pata kitu Mungu aenderee kuku kuza zaidi
@msambachacha8523
5 жыл бұрын
Thanks Mr Joel, I wish your going to be the best mentor in east Africa , but what ican Say's that keep up, sharpen your mind for you follows and teach the wishers who's out of dar , see me at the top, good evening all of you
@beatricemakundi5312
5 жыл бұрын
ubarikiwe sana..maneno yako yana nguvu ya kufundisha na kumpa mtu uthubutu
@hamiysharo2902
5 жыл бұрын
May god bless u that is gud i like it🙏
@jojoembwaga2931
5 жыл бұрын
May God bless you may my God continue to shower u with blessings,u your lessons r so inspiring 🙏
@charlesngofilo4581
5 жыл бұрын
Kaka hakika kipaji ulipewa na una kitendea haki BARIKIWA SANA
@salmambabazi1312
5 жыл бұрын
Kaka unatisha mungu akujarie
@esterjohn1433
4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mariajmwakisavanga7591
4 жыл бұрын
Jaman n kwer
@user-ol3ib7gm6s
5 ай бұрын
Absolutely mungu akubariki sanaa
@komboomar8275
5 жыл бұрын
Mm sina haja ya kutafuta elimu ya maisha kwengine hapa ndio kituo changu cha kujifunza
@jacksonkumbi3283
5 жыл бұрын
Kaka Kama una vitabu ulivyo andika kwa kiswaili niambie call 0756170000
@rehemaathumani712
2 жыл бұрын
Thank you and god bless you for your help with me for work brother j.a.nanaruka
@rehemaathumani712
2 жыл бұрын
God bless you
@jano254jayc4
5 жыл бұрын
Av learned more from you brother Joel thanku.
@khalfanomar7665
4 жыл бұрын
Kumbe hata mimi ni naweza naahidi Mwenyezimungu amenipa kipaji snipe nguvu nitaonesha uwezo wangu
@hajijumanne387
5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka safi sana najifunza sana mambo toka kwako kaka asante
@benardpaul1271
4 жыл бұрын
Asanteni bro una maneno yahekima mungu akubaliki
@magrethfulgence7888
2 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo, kitabu hicho naweza kukipata wapi cha timiza malengo yako
@akutiboysolomon9418
5 жыл бұрын
I am beguiled with the adorable speech I used to listen it frequently it has an impact in my life,it make me feel lively
@kelvinjohn3166
5 жыл бұрын
Nice to u blo
@mawazoamily2678
5 жыл бұрын
Very talented person wonderful........ Deep Ideas I think there is a some thing to do in our universités..... Hiki ni kitu ambacho tunatakiwa kufundusha vijana wetu....... Am sure we Will change
@tegemeareuben7618
5 жыл бұрын
GOD bless you my dear brother
@mandyfitnesstv6738
5 жыл бұрын
Umekuja wakati muafaka sana katika maisha haya magumu. Ahsante Kwa Elimu hii kaka
@AlexNjeje
3 ай бұрын
As longer as your, you did right things everyday, always i admire you, GOD Bless you , my Coach
@ruthkileo4751
5 жыл бұрын
Antony has motivated me since nikiwa Tusiime high school....... I am a motivational speaker i will meet you guys one day...... I do it in schools i inspire students 😋😋😋😋this speech has changed me i have to work for my goals.......I'm good at story telling woooow
@wisdomofbooks6905
4 жыл бұрын
Gundua unaweza kufanya Nini, hakuna mtu aliyezaliwa bila uwezo wowote,Kila mtu ana kusudi lake,haupo duniani kizembe.kila mtu ana uwezo mkubwa Sana,tumia muda wako kuwekeza kwa ajili ya kipaji chako.ongeza na kuuboresha uwezo wako ulinao.heshima kwako Joel Nanauka.Naitwa Hosea.
@juhudiacademy2170
5 жыл бұрын
Great brother. Continue to focus on telling people your real stories rather than telling people someone's story. People will change their life through your story. Congratulations.
@joynesashery7173
5 жыл бұрын
Honestly speaking mwaka 2019 I started listening many many of you works and their very unique and helpful,one thing I would like to tell you if there is people to who should watch this is Sisi vijana ,most of youth wamerelax sana ,fear to do what we mostly love we ends up coping others idea mwishon tunafeli kwasababu we are doing what is not for us but were leaving into others dream Congrats to you, am learning a lot from your words
@stephenchacha5097
4 жыл бұрын
Great more brw pig up b blessed
@levispaultitus8623
5 жыл бұрын
Ndugu Joel Mungu akubariki Kwa elimu Nzuri.. Mungu atuwezeshe kutendea Kazi
@dastanmorice1254
4 жыл бұрын
ahsante sana kaka nimejifunza sana
@matendoandrewmgeni1135
5 жыл бұрын
daaah! broo katika siku nimetetemeka kwa point zako leo nime bebemeka maana sio kutetemeka khaaa na darasa langu la saba nimejikuta kama mimi ni chuo kikuu! asante..
@nanjingasaidi1257
3 жыл бұрын
Thank you broh god bless u for your work of telling and inspiring pple abt success
@adrianabillia6225
4 жыл бұрын
One of your best video for me,,,,,,, different between value pride,,,,,,,
@namsamson3443
5 жыл бұрын
Well done young man. You're very very true. I wasted my time for a long time just because sikuwa na malengo
@helenamusa432
5 жыл бұрын
Ahsante brother nimeona faida ya kuwa na marengo
@enockkagomba1261
4 жыл бұрын
Thanks my mentor i love your speech because they transform my life
@estherolomi1736
5 жыл бұрын
This is all I wanted to hear. Thank you brother Joel.N
@ZERUZERUINTERNATIONAL
5 ай бұрын
Ni Mzunguko Unao Fanya kazi Ktk Ubongo Wang Iv Now
Пікірлер: 630