Unabii huu sio watumishi wengi wanauelewa Mungu akubariki sana bro this massage is so powerful
@Jacksonswai685
2 ай бұрын
Ukweli ni huu amini nawambia saut aitojirudia tena masikioni mwako usiposikia ujumbe huu ukaufanyia kazi utalia na kusaga meno, emen mungu akutie nguv mtumishi
@PhilomeneMugara
Ай бұрын
Amen. Ile Jo kweli Mungu akutiye nguvu,
@AnjelaTemu
2 ай бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana sana unasaidia kuukomboa ulimwengu, watu tunapotoshwa na watumishi wa uongo paka tunakosa tumaini kabisa ila wewe ndie mtumishi wa Mungu wa kweli, unaesema ukweli na kufichua Siri nzito zilizifichika za manabii wa uongo nakupenda sana mtumishi na naikubali sana kazi Yako Mungu akuzidishie Maisha marefu yaliyojaa neema nyingi Ili uzidi kuikomboa Dunia 🙏🙏🙏
@LuftansahMahmoud
2 ай бұрын
Na huyu pekee ndo anasemaga ukweli hao wengine wanatafta hela na miujiza ya uongo😢😢😢😢
@MosesMushashi
19 күн бұрын
ubarikiwe utalipwa fanya kwa zamu yako ubarikiwe sana mungu ata kuacha
@AyoubMajuto
3 ай бұрын
Nitaingia MBINGUNI kwa kishindo, hata Dunia nzima irudinyuma mimi siwezi...nampenda YESU KRISTO PEKEE ndani ya moyo wangu....kisu kipite shingoni, lakini MBINGUNI niingie...Dhambi ndiyo kizuizi cha Mwanadamu kwenda mbinguni, kuwa mtakatifu sana mpendwa ...1petro 1:15-16, waebrania 12:14...
@ControlRoom-q1s
3 ай бұрын
Amina
@veronicanestory1662
2 ай бұрын
Mungu akubariki saana mtumishi, Baki na msimamo huo huo Yesu ndiye njia
@stellahokworo3947
2 ай бұрын
Amen 🙏
@eliaslyabonga8112
2 ай бұрын
0:24 @@ControlRoom-q1s
@HellenmyasaWaswa
2 ай бұрын
Amen Amen
@RebekaJohn-tl8ip
Ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua zaidi BABA
@SafielMsuya-d2k
2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, unayoyafundisha yanaendana kabisa na anayofundisha mtumishi wa Mungu mwakasege, mfano kuna lile somo la....(mpe Mungu moyo wako auandae kwa yanayokuja)...Mwenye sikio na asikie,Mungu atusaidie,,Wa Kristo wenzangu tuamke
@AgathaKayombo-qq2xm
2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@Khadija-f7b
3 ай бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili ya kweli, mwenyezi mungu akutunze Amina
@emmanuelmataro4273
2 ай бұрын
Ni vizur usimame kwenye kweli ingia sabato ili uwe sawa na mitume na mtumishi halali wa mungu
@MGALILAYABillionaire
3 ай бұрын
Mungu aturehemu sana. Tayari inaendelea na iko wasi ni Mungu atutie nguvu watakatifu wote duniani tusimame katika kweli yake tusimuasi Mungu. Yote aliyotabiri Bwana Yesu yametimia. Mungu awe pamoja nawe mtumishi kwa kazi hii nzuri.
@Jesusisaking1
3 ай бұрын
Nakupenda kaka Yangu ,God bless you❤
@SalumJuma-iz2gj
2 ай бұрын
Akuowe bc
@AllanKabuga-k2d
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana binafs nakufuatilia sana pastel pascal ubarikiwe
@DieudonneDutsisi-k8c
2 ай бұрын
Mungu wangu abariki sana tena sana Mtumishi kwa kweli dunia yote watu wangeishi neno hii kabla kanisa kunyakuliwa!
@Khadija-f7b
3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutunze mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili,❤
@luciadominik1626
3 ай бұрын
Sasa mtumishi umesema utatuambia wanatukamataje lakini hujaseama sabb tumejisajili mtandaoni
@carolinelema8689
2 ай бұрын
MTUMISHI TUFANYE NINI ? WATOTO WATAPONAJE?
@imeldamwinyi3141
2 ай бұрын
Hmm.. Hallelujah Glory!😢😢 Kwakweli Yatupasa Kama Kanisa Tushikamane Sana ibilisi Asipate Nafasi Kwa Jina La YESU!
@HarshBwiru
2 ай бұрын
Ameen.mtumishi wa Mungu wape watu kwel ya Mungu na utakiwa umefanya sehemu yako
@JohnAmani-f1y
2 ай бұрын
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@GustaveAbedi-td9yv
2 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu au nom de Jésus Christ de Nazareth 🇨🇩🇨🇩
@magnibrondi3152
2 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki.ayo njo mahubiri tunayo itaji kwa sasa. Abari za baraka zinesha tuchosha🙏🙏
@SophiaThadei-hx4wd
2 ай бұрын
Mungu akubariki Sana kwakusema ukweli, uwe na umli mlefu Mungu akutumie zaidi
@jamesmgonda
2 ай бұрын
Safi Sanamu ya mnyama -umoja au muunganiko wa makanisa Alama ya mnyama-jumapili
@Kabendera-s1w
2 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu Tuna kufata vizuri saana
@sianagodson3690
3 ай бұрын
Mungu akutunze Mtumishi..nakufuatilia sn, mafundisho Yako,tunaomba Mungu akuwezeshe utuandalie Somo la Jinsi ya kulishinda Hilo pambano,tufanye nini kama wakristo,na ikitokea tangazo la dini Moja,tupo makanisani, tufanye nini?tutaabudu wap? tunaomba utuandalie Jinsi ya kulishinda Hilo pambano la mwisho. SoMo la la tangazo la kifo kwa Wacha Mungu limenifungua macho,kweli inaogopesha Mungu tusaidie tu
Nakukubali sana pasta ,,,,,nakupata inchini mozambiq
@Pendo-r6k
3 ай бұрын
Nakuelewa sana mtumish wa Mungu,Ubarikiwe Kwa ujumbe huuu
@SundayEugen
2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki aweke ulizi juuyako maana maaduwi niwengi unavofichuwa Siri hizo Mungu akubariki na Mungu atufikishe salama huku tuendako!
@ErastoKibassa
2 ай бұрын
Tuamke jamni , tuwaombee Watumishi wa Mungu kama hawa wanatufungua sana
@officialfaraji
2 ай бұрын
😂😂😂😂
@UpendoMgina-ms3ro
Ай бұрын
Amina na Amina
@JuliaLumande-r4p
2 ай бұрын
Piga kelele askari wa bwana ❤❤🙏🙏🤝
@PatrickKalinga-xm8ke
2 ай бұрын
Ubarkiwe sana pastor
@benjaminlaurian5545
Ай бұрын
This is the fact God bless you
@BeatriceMirasano
2 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU akutie nguvu mtumishi wake, maana watumishi wengi hawalijui hili japo kuwa MUNGU mwenyewe amesema sana na wateule wake!... Huu sio muda Wa kuangalia dini wala dhehebu, sikiliza ujumbe na kuufanyia kazi muda umekwisha.
@ZackaliaMlawa
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@emmanuellupiga
2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa kweli hizi ipo vita ya ibaada nani aabudiwe kati ya Mungu na. Shetani Tunakoelekea na harakati zishaanza ni kwamba jumapili inaenda kutangazwa kuwa siku maalum ya ibaada na ni lazima ukibisha kifo kinakuhusu Kwann ni lazima: kuna siku ya ibaada ambayo Mungu aliiweka kwetu sisi wanadamu nayo bili kuficha ni jumamos ndiyo siku inayomtukuza Mungu wa mbinguni na kumtambulisha kuwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi Kwa sababu ibilis naye anataka aabudiwe ameweka siku yake kwa wanadamu ambayo ni jumapili na mpaka sasa taratibu zinaendelea jumapili kuwekwa rasmi ni lazima uabudu katika siku hiyo hutaki kifo Lengo ni kuitoa sabato ya kweli inayomtukuza mungu na kubakiza inayomtukuza ibilisi Hizi agenda sasa ni kutafuta sababu mfano kuna agenda juu ya uchumi Kwamba eti watu wanakuwa na siku nyingi za kupumzika hawafanyi kazi hivyo uchumi unashuka iwekwe sasa siku moja ili watu wafanye kazi Ila ukweli sio hoja ni namna tu wapate kukubalika na habari yao ya kusimika jumapili kama siku ya ibaada na nyuma ya hili yupo ibilisi mwenyewe kwa kutumia mawakala wake hasa kanisa katoliki kwa uongozi wa papa.
@DismondIsmael
3 ай бұрын
Eee Mungu uturehemu Na umlinde mtumishiwako na mabaya yote na umpeujasiri wa kufunua sirihiii iliwatu watubu Na kukujua Yesu,uliyeMungu.
@HelenaMasele-ug3hi
2 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia katika kutuelimisha na kutufundisha neno la Mungu
@Celestineshikuku-i4x
3 ай бұрын
Mimi ninacho kijuwa ni tunaisha nyakati za mwisho. Yesu christo yu mlangoni
@SikuzaniJeremiahMwasinyanga
2 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza Asante Kwa ujumbe mzuri.
@DainesKanenile
2 ай бұрын
Barikiwa Sana Mungu tuhurumie
@bwiremgonya1394
2 ай бұрын
Ahsante sana mtumishi. Mambo hayo yamehubiriwa sana na wasabatho(SDA).ila wengi hawakutilia maanani. Time will tell.
@blessedggithinji6192
2 ай бұрын
Jesus Christ am with you always 🇰🇪🙋🏼♀️💃🎤iwill never betray you Jesus forever🇰🇪🙋🏼♀️💃🎤
@laurentbulabo5002
2 ай бұрын
Mtumishi huyu anaifundisha iliyokweli, neno halisi la Mungu, Mungu peekee anamlinda
@mako331
2 ай бұрын
Ndio maana ninapoona wakristo wamejazana kwenye mikutano ya kina Mwamposa ninalia kwamba njaa ya neno ni kubwa sana. Watu wanafuata udanganyifu wa miujuza, njia ya upotevu ni pana na ni wengi waipitayo njia ya mbinguni ni nyembamba waipitao ni wachache
@martinahlighare6495
3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie tunapoishi katika hii dunia ya dhiki. Mungu azidi kukutumia ili kufanyika jicho pevu kuerevusha ulimwengu.
@dolyjinemongare8787
2 ай бұрын
Nakuunga mkono hakika..maana ni watu wengi wasioweza kufasili habari za mnyama... asante MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI... ALIYE NA SIKIO NA ASIKIE AMBAYO ROHO AYAMBIA MAKANISA
@SiLVIARAJAB
2 ай бұрын
Kiukweli twapaswa kulisoma neno na sio kusomewa wengi wao tunapenda kuaminishwa miujiza kuliko kufuata njia ya kweli na uzima
@FrolaRobinson
3 ай бұрын
God bless you
@BenardPaul-t4x
2 ай бұрын
Mungu wa mbingu na nchi akutuze ili uendelee kupiga kazi ya mhubiri
@DominicaUggy-em8vc
3 ай бұрын
Jamani! Mungu akulinde kaka angu. Nakufatilia tangu BSS 2009. Lkn Mungu amekuinua kwa namna ya ajabu sana.
@JacksonMakuta
2 ай бұрын
Mungu akusaidie sana na akulinde na maadui hata wanao kukashifu kwenye hizi comment Mungu awafunue sana
@JohnAmani-f1y
2 ай бұрын
Neema ya mungu iwe juu yako mtumishi wa mungu tupo vijana tunao tamaani kuwelewa haya mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@rosemushi-kb7dj
26 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@AnnaMwailenge-hy3xg
2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wamungu 🙏
@MichaelWallace-sz7mu
2 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,nakuelewa unacho hubiri.Hakika mwisho ndio huu.
@Calvin-h9c
2 ай бұрын
Mungu nirehemu mimi ,,niweze kukukuta mbingun
@alirashidmussa6545
2 ай бұрын
L
@BeatriceRobi-j5q
3 ай бұрын
inambindi tukae kwa maombi na tuwe na Imani na tumutumikie muumba wetu
@OmarKhairalla-tx6sv
2 ай бұрын
Amen be blessed man of God
@ChristianLife-cc9sx
2 ай бұрын
Kuna wakati nahisi Yesu alisharudi Ila sasa nikijiona nipo humu na mimi 😢 huwa naogopa sana. Tupambane sana sana maana kuumbe kwa upande mwingine utajiri wa wasiomjua Mungu ni sawa na kumwaga maji katika Gunia.... Hata na mataifa makubwa!
@JELSONMAUKI
3 ай бұрын
Hii tumesoma chuo kabksa tena ilkuwa second Year first semester 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@elianamartin6987
2 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu hakika napenda wimbo wako fremason nabalikiwa sana
@Blessing_uk
2 ай бұрын
Samahani..mtumishi wa mungu nisamehe kama ntakukosea niushauritu na pia mungu naomba anisamehe pia .unajua kunawachungaji feki wanatumia lugha yaupole hadi wanajikta wamejaza watu kwenye makanisa yao..unaonaje mtumishi wa mungu ukipungza ukali fanya kama unazngmza kwa lugha ya upole nahsi itakuwa njia nzri yakuwaenezea watu ukwer wa mungu wetu alie hai maan naona manabii wauongo wanatumia lugha laini kuwashawishi watu nahsi na ww ungetumia hyo lugha lain nahsi wengi ujumbe ungefka kwa watu weng zaid..nisamehe lkn kama ntakua nimekukosea mtumishi nia yngu nataka huu ukwer uwafkie watu weng kwa haraka..niushauritu mtumishi wangu..
@ConfusedFrog-lc9db
2 ай бұрын
Wewe shidaako ni nini,unasikiliza sauti ama unasikiliza ujumbe?
@ONGEZATHAMANI
2 ай бұрын
Yeye ni mwinjilisti,wao ni wachungaji.Na isitoshe Kila Mtu anawito wake
@AnaMeshack
2 ай бұрын
Hakuna ulele mama kwenye kazi ya Mungu kwa nyakati hizo ni za mwisho bro tumefika mbali 😢😢
@JordanRichard-vq6zz
2 ай бұрын
Brooo yesu ajaja kuleta ulegevu maana siku akirudi atawatenganisha wake na wasiowake kama mchungaji anavyowabagua kondoo na mbuzi. We tambua anaeongea ni roho wa Mungu ndani yake juu ya uasi uliokithiri hivyo, sio kinyonge maana Mungu sio mnyonge na mbinguni hakitaingia kinyonge.ubarikiwe.
@TujifunzeWote.-zq9nz
2 ай бұрын
Sasa kama unayajua hayo mzee sasa kwanini umefungua kanisa lako wakati sanamu ya mnyama ni jumapili alafu bado na wewe umefungua kanisa lako, tafikili na ni Mungu, nenda sabato kwa mujibu ya ufunuo, nenda kwa wasabato ndio utapona, acha unafki wakati unajua unachokifanya na kijacho unakijua sababu umesoma ufunuo au kanisa lako ndio la masalia na utume wao.
@chikwela
2 ай бұрын
Hakika sabato ni njema sana. Hata Quran inasema tuikumbuke siku ya jumosi
@RehemaEvarist
2 ай бұрын
Unauhakika na unachokisema au umekalilishwa?
@RehemaEvarist
2 ай бұрын
Nitafute tufundishane umuhimu wasiku ya jumapili nakwanini tunaabudu jumapili.
@roidysimchimba7103
2 ай бұрын
@@RehemaEvaristsabato ya kweli iko moyon mwako fullstop
@DatiusExavely
2 ай бұрын
Wewe unayeshika siku uko mbali na Ufalme wa Mungu haujapata sabato ya kweli, Sabato ya siku ya wana wa Israeli waliopewa sababu ya kupewa ni hapa Kumbu la Torati 5:12-15 sasa wewe umetoka Misri ya kimwili? Ndio maana wa shika siku walimuuwa Yesu kwamba anavunja sabato, Isaya walitabiri kuwahusu Isaya 28:8-13 walimkataa sabato ya kweli, sikia Bwana wa Sabato alivyosema Pumziko unahipata wapi na raha 11:28-30 :Hii ndio ilitimia Matendo 2:1-4 Wagarati 4:8-11 si inasema vyema kuhusu washika siku, na je Wakolosai 2:16-17 Kanisa la Laodikia ni kipofu mno ni wajuaji Ni ngumu Mungu kuwasaidia, Yesu amefungiwa nje hamumtaki anajaribu kubisha ili aingie ndani ya kanisa mnakataa 3:20. lakini walio wake wataisikia Sauti yake Ufunuo 10:7 sauti inahita 22:16-17.
@laliaelulu1815
Ай бұрын
Nasisi tulioko nchi za magharibi 😢😢 miaka mi tatu ijayo tutajipanga kurudi Ma kwetu!
@HellenaMky
3 ай бұрын
Nikweli umehubiri ukweli kabisa. Lskini papa analenga. Kuziangusha. Amri yasabato ya mungu. Ndyo maana jumapili ndoameiweka iwe ibada yake. Kwahyo waeleze watu jumapili niarlama ya mnyama. Usifumbie hilo watu waondoke babeli.
@sarahmaro215
3 ай бұрын
Shenanigans hasumbuliwi na siku, anachotafta shetani ni kumuangusha mtu yule ambaye anamwabudu MUNGU ktk roho na kweli tu.
@sarahmaro215
3 ай бұрын
Shetatani hasumbuliwi......
@HellenaMky
3 ай бұрын
@@sarahmaro215 pengine kwa mtazamo wako ndoulivyo. Ilashetani anaakili kuliko ujuavyo. Hujiulizi kwa Nini kanisa katholiki. Liko juu kuliko biblia. Kanisa ndolinaamri. Kuliko amri za MUNGU. Hamjiulizi. Hamuoni. Ebu fungueni. Macho wapndwa. Kama mtasari jumapili. Hamtakua natatizo. Lakini wake watakao ikataa hyo jumapili. Watauwawa. Kwanini iwelazima jumapili nasi jumatatu. Hujiulizi?
@christopherkaroli9365
3 ай бұрын
Ninyi mna shida kwani siku ina shida gani? Siku zote ni za Mungu hatuzuiliwi kumwomba Mungu siku yoyote isipokuwa tu awe Mungu wa kweli na kubudu katika roho
@edwinalexander1170
3 ай бұрын
Biblia inasema kwenye mathayo 5:8-10 "wenye moyo safi watamuona Mungu", na si watakao abudu siku ya jumapili au jumamosi. Hali yako ya moyoni ya kumuamini Yesu kristo na hali yako ya utakatifu ndo itakayo kupeleka Mbinguni.
@jovettedenise2591
3 ай бұрын
Mungu utusayidiye tumarize safari ya ya kwenda mbinguni salama🎉🎉🎉
@AdinanSalim-s1p
2 ай бұрын
Daaaah!!!!htr sana
@AlbertRukeba
2 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu. Kuhusu iyi simu ambayo lazma kila mtu awe nayo,tufanye je, ili tusiingizwe ao tusiwe kwenye système hiyo?
@JacksonJosephQamunga
2 ай бұрын
God bless your man(mtumishi wako)
@hildakilale7313
21 күн бұрын
Aminaa Mungu nisaidie
@lilianluhasi311
3 ай бұрын
KAMWE ROBOT HALITAFANANA NA MWANADAMU. ROBOT MBAKA ULIPTOGRAM, LAKINI MWANADAMU HANA LIMITI. YU HURU KWA LOLOTE
@nestorypesambili7341
3 ай бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@KolestaMkamati
3 ай бұрын
Asante sana kwamahubili mazur waliompaya kristo nadhani mnselewa
@willysam3346
2 ай бұрын
Manyama - ni utawala Joka- ni shetani Alama ya Manyama - ni siku tofauti na siku Mungu aliyoichagua kufanya ibada (ibada ya uongo)
@BoazDillu
2 ай бұрын
Imeandikwa wapi
@BoazDillu
2 ай бұрын
Korona iljpokukaj mkasema ni 666 ,barcode nazo mkasema ni 666 😂,haha sasa hayo mnayo sema yameandikwa wapi ko korona imeisha 666 wapi imeenda? Ufalme wa Mungu ni.fumbo zito
@LUKASDAUD-q6w
2 ай бұрын
Kuhubiri unahubili lakini wewe nawe unaisujudia sanam ya mnyama bado upo kundi hilo tuuuh fanya uamuzi wewe kwaajili ya neema uliyo pewa na Bwana ukweli unao uchaguzi niwako usiwendeele kudanganya watu ingali unajua utakinywea kikombe chaazabu Bwana akubariki ufanyapo maamuzi 🙏🙏🙏
@ااا-ح9م
2 ай бұрын
Mungu a kubariki mtumishi wa mungu,huu ni ukweli mtupu.aliye na sikio na asikie
@John.F.lazaro
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏🙏🙏
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
2 ай бұрын
Kamanda wayesu hongera sana nakuelewa
@EdnaAdammsyani
2 ай бұрын
Amina mungu atusahidie maana tayari tumeshaanza kuyapitia
@ZachariaGidion
2 ай бұрын
Amen begakwabega mtumish wa mungu❤
@user-servodeJesus
3 ай бұрын
Glória Deus!, estamos juntos servo de Jesus amém 🎉🎉🎉.
@YusuphuMashimila
16 күн бұрын
Wew mwenyewe kua muisram acha kelele mungu haabudiwi hivyo
@neemachaula6112
2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mt nakuelewe sana
@salimajosephine1673
2 ай бұрын
Barikiwa tu saana mtumishi wa Mungu
@hellaskarras1567
3 ай бұрын
Mh ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@FelixMikao
2 ай бұрын
Baba tufundishi tupone asa kwa Aya tumeanguka sanaaa😭😭😭 usiache🙏🙏🙏🙏
@hildegardchafwila5076
Ай бұрын
Hata ikijifunga dunia ni mpango wake wafundishe tu watu wamgeukie Mungu sio kuwatisha.
@esterkanudachandaruah6619
2 ай бұрын
MUNGU 🙏 atusikie maombi yetu 🙏🙏maana paspo yeye sisi peke etu Hatuwezi
@ErnestSaileni
2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
2 ай бұрын
Mungu akubariki niwachache wakuongoza ninekuelewa bro
@jamesboka-kk9rv
2 ай бұрын
twambie baba tupone🎉 Mungu azidi kukuimalisha kwa mafundisho mazuri🎉🎉
@ElizaphanKamando
2 ай бұрын
Umesoma vitabu vya neno la Mungu na unaujua ukweri, nakuomba ujitahd ktk hiyo kwer iliyo ndani yako, kiini cha hii vita ni sabatho ya Mungu, shetani anaipinga sabatho ya Mungu ndio maana anawafany watu kuabudu jumapili, hivo nakusihi ujiunge na kundi la watu wanaoitunza sabatho, maana jumapili ikija kutangazwa waliojua kwer rehema kwao itakuw imefungwa, na wale ambao hawakujua wanaosali jumapili watapata nafas ya kujua ukwer na kugeuka, hivo pambano linailenga sabatho
@stelinanyila9893
2 ай бұрын
Amina Sana
@stelinanyila9893
2 ай бұрын
SHETANI HAHANGAIKI NA CHOCHOTE ILA SOMA UFUNUO 12:17 Utagundua kuwa anapamana na kanisa linalozitunza sabato na sheria zote pia went ushuhuda was YESU KRISTO. Yaani wanaomuamini huyu yesu
@ElizaphanKamando
2 ай бұрын
@@stelinanyila9893 ndio yan tujitahid kuwafany watu kuw wanafunz wa yesu vita inaelekea mwisho
@MauloChunga
2 ай бұрын
Huyu ni kanisa gni mbona Kam msabato
@regnaldymambaly9880
2 ай бұрын
wewe una angalia kanisa badala ya kuangalia ukweli anao usema kanisa halikusaidii kitu
@user5-nh3gs
2 ай бұрын
Kabisa saiz ni kusimama na Ile kweli, mambo Yako spidi Sana , umoja wa manabii uko motooo makongamano Kila ski vikao na wachungaji wetu hawajui Nini lipo nyuma ya pazia😭😭 Mungu utusaidie njia n nyembamba iendayo uzimani
@stelinanyila9893
2 ай бұрын
@@regnaldymambaly9880 kanisa ndio litakalo waweka sawa na ndio maana bilblia inasema YESU ALILIFIA KANISA SIO haikusea ukweli HVYOOOO KANISA NDILO HUBEBA UKWELI kalitafte hilo kanisa
@bebysheni-gf1zf
2 ай бұрын
Waache tu wawatume masanam inshallah washindwe na walegeee Kwa nguvu za mungu
@doricemrema2177
29 күн бұрын
Dunia Iko mwishoniii,,,amkeni amkeni
@angelitapaulo
2 ай бұрын
Kitu cha muhimu sana kulinda moyo wako na tukiacha yale yote ya Dunia
@agnesspaul1866
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤Mungu akubariki
@weremamediaproduction8583
2 ай бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu
@emmanuellupiga
2 ай бұрын
Mpango wa ibilisi ni kutaka aabudiwe hivyo anaenda kinyume na Mungu kwa kila jambo Mungu alisema ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke Shetan yeye hata mme na mme wanaweza oana Mungu alisema ibaada ni siku ya saba Shetani yeye hata siku ya kwanza ya juma ni sawa tu So tuko vitani na vita ni kati ya wema na uovu ni kuchagua upande ni wapi usimame kwa Mungu au kwa shetani
@RitaLameck
2 ай бұрын
Yesu tusaidie tunaomba nguvu zako turemu huku chini ya jua,roho wako mtakatifu atufundishe,
Пікірлер: 466