Kuna Namna Mungu anakuandaa mkubwa sana mpka natetemeka Yaani MUNGU anazungumza ndani ya kinywa chako mpka mwili unkufa ganzi . Mungu akubariki umejibu swali nililokuwa najiuliza kila leo weeee BABA MUNGU ANAJIBU 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@Madam_Tinna
2 жыл бұрын
Amen Pastor!! MUNGU akubariki sana kwa Mafundisho haya!! Mbarikiwe pia Mahubiri TV kwa kurusha Mafundisho na mahubiri kila wakati, hakika na sisi tunabarikiwa!! KRISTO awatunze sikuzote! Amen...
@aimeebusime5849
2 жыл бұрын
Nashukuru sana mtu mishi wa Mungu nimesaidiwa sana namahubiri.sababu nimekutana changa moto nyingi hata nachanganyikiwa.unikumbuke unapo omba.thank u.
@estermatofali5198
4 ай бұрын
Ombi langu kwa Mungu akupe Maisha marefu tu Imani yangu imekua kutokana na mahubiri yako
@christophermalilah7110
2 жыл бұрын
Hakika ubabe wa Mungu Ni mkuu Sana Amina
@elianmwanga7427
Жыл бұрын
Asante Yesu kwa jinsi unavyomtumia mtumishi wako.Naomba uendelee kumuinua kwa utukufu wako
@bigmandubesamuelndetsa268
2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe na Fata mahubiri kwa mbali ili na jisikiya niko karibu na mchungaji, Mungu ashukuriwe kutupatiya watu ambao wana, tulisha kiroho. Mungu aibariki inchi ya 🇹🇿 imani yangu inaongezeka sikukwasiku nikifata mahubiri.
@rosemnzava4696
2 жыл бұрын
Asante pastor kwa hubiri hili zuri, nimejifunza kitu
@rachelpaschal9378
17 күн бұрын
Aminaaa mtumishi wa mungu barikiwa sana
@vailethkinabo7961
2 жыл бұрын
Barikiwa baba yangu wa Kirohoo namwomba Mungu anijaze rohoo ya kumtafuta na kusikia neno lake na kulielewa na kumjua zaidi mwaka huu na milee
@annakattoa7502
2 жыл бұрын
Yaani wewe ntumishi wa Mungu sijui cha kusemaaa, ila wanaoabudu hapo wanafaidi sanaa yaani wanashibaa kirohoo mpka naona wivu. Silaha nzito ni kumjua Mungu katika neno na namna anavyotenda kazi . Uwiii YESU AKULINDE OOOH HALELUYA WEWE NI MWALIMU KAMA YESU
@marykimani2895
2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu nmebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bigmandubesamuelndetsa268
2 жыл бұрын
Mungu akuongezee Tena nguvu zake, Asante pastor 🙌 🙏
@sinaisatson2139
2 жыл бұрын
Mungu akuinue mtumish kwa ajili ya utukufu wake.
@lidyapendomollel1439
2 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mtumishi.Unanisaidia sana sana Kiroho.Barikiwa Mtoto WA BABA.
@kimorasalawa3120
2 жыл бұрын
Bwana atukuzwe wimbo huo nimeupenda naomba mnitumie niwe nao umenibariki saana
@roselineonyango3159
2 жыл бұрын
Mungu akubariki Kwa neno mzuri.
@RahimaShujaa
10 ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi umenisaidia
@leontinebinlydi9459
9 ай бұрын
Amina kubwa mtumishi Nimebarikiwa👏
@florencenekesa8243
2 жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏 barikiwa sana mchungaji,nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia 🙏🙏🙏
@adamkisapi9381
9 ай бұрын
Asante sana Yesu kwa kunijulisha kuwa mwalimu wangu katika kujua na kulitumia neno lako katika safari ya maisha yangu kiroho.
@thabitawanka963
9 ай бұрын
Amina Baba pr barikiwa
@HalimaMziray
7 ай бұрын
BWANA etushindiye yoote maishan kwa utukuf wa jina lake Amina.
@annamkongo5084
2 жыл бұрын
Amen Mungu somo nzuri saana
@rossarutasha1789
2 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji kwa hubiri zuri Mungu tujaze hekima
@montteyfloki3953
2 жыл бұрын
Hapo kwenye ku Google huyo ni mimi kabisa hata niumwe kidole😂😂😂
@DeboraMwita-s1u
11 ай бұрын
Amina pasta nilikuw nimekata tamaa kupitia mafundisho Yako nimepata nguv ya kusimama tena
Пікірлер: 100