LIST NYINGINE ZA MASTAA WALIOHAMIA MAREKANI NA ULAYA ZIKO HAPA!! kzitem.info/door/PLCnaRiyf2kgjRsprbJiB3lVsmN8DE132X&si=r2UqAfx1hX4LDyZO
@diddyexpert
Ай бұрын
Mbona mm ujanizungumzia
@user-mi7cd8ch1b
2 ай бұрын
Jmn mzee magari nirimiss sana nirikuwa najiuriza yupo wap hai au amekufa jmn mungu ampe maisha malefu toka kanumba afe watu wote wamesepa na kuacha kuigiza
@FAREEDMUSTAFA-gu4si
2 ай бұрын
R &l
@NANGATV123
2 ай бұрын
Mzee magari jilani yangu nimtu safina niko nae tupo lagoz
@ellenkabeta7561
3 ай бұрын
Me naona sometimes wanataka kuishi normal life coz ustar unakuwa na mambo mengi sasa akitaka kuishi hapa normal life wabongo wataanza kusema amefulia na maneno mengine but wakienda nje wanakuwa huru coz wanakuwa hawajulikan
@fatimamv2723
2 ай бұрын
I love frenk ❤❤❤japo nimkubwa kimri nipeni connection watanzania
@elizabethverael1709
2 ай бұрын
Daaah Frank nilikua namuelewa, na mzee Magari much love ❤
@CyprianBCTanzania
2 ай бұрын
Nabii kwao Haeshimiki, Safi sana ifikie mahali tuache mazoea, Hii Dunia yote ni yetu na tumeandaliwa kuishi bila shaka japo mazoea na kutowaza nje ya box, Safi sana tena ikiwezekana na wengine wachape mwendo tuwe wengi zaidi pia hata ndugu zetu wawe wanapata experience tofauti na safari za nje bila shaka maana ndugu zao tunakuwepo ughaibuni
@aminaomary5567
Ай бұрын
Frenk jaman ludi tunakumis sana❤❤❤
@Editha-og5ei
2 ай бұрын
Nimekumiss frank jaman enzi hizo ukiigiza nilikuwa naenjoy mno love you
@nyandwiniyera5535
2 ай бұрын
Mzeemagari ni jirani yangu hapa Marekani nijirani mwema tu jamani 🥰
@Dr.manyaunyau
2 ай бұрын
Kwema n
@jacksonmambwe8416
2 ай бұрын
Nifanyie mpango na mm niwe jirani yako mpenzi
@faidhamsangi3061
Ай бұрын
@@jacksonmambwe8416😅
@blandinamyinga9489
2 ай бұрын
Frank baybe❤❤❤miss you so,so much Mohamed Mwikongi😢
@mohammedkidody5618
2 ай бұрын
Mm binafsi nipo uingereza ni kweli mastaa wanakimbia nyumbani na kukimbilia huku ughaibuni kwasababu huku kuna fursa nyingi sana na mpunga wa kutosha lakini uko hatufocus sana na maendeleo ni kutakiana mabaya tu kila kukicha
@user-tt7cu2et1x
2 ай бұрын
Saw ebu tutafutie bas n sis tukujee
@user-mu7fl1gs8v
2 ай бұрын
Ni fursa gani ziko huko niunganishe please 🙏 🙏 🙏 🙏
@user-tt7cu2et1x
2 ай бұрын
Fulsaa basi muwafulishe na vijana wengne wakujeee
@jumahilali2309
2 ай бұрын
Nipe connection mzee
@jumahilali2309
2 ай бұрын
Nipe connection mzee
@user-ji6cp1ng8g
3 ай бұрын
Frenk enzi ya kaole kitambo sana ila hazeek kipindi iko bila kumuona yy hauckii rah anajua mpk anajua tena nakumbuka ule mchezo mke wake kipofu yule mdada nimemsahau jina ila alikuwa anafanana na tea
@steveanthon5523
2 ай бұрын
Huyo mdada anaitwa Kemy, saiv yupo juwa kali anaigiza kama bibi dorothy na frank huko kijijini
@baeyanka5264
2 ай бұрын
Nampenda sana Frank saut yake
@ramadhanijohoiddi2899
Ай бұрын
Kuishi bongo ni kukosa muelekeo tu lakini kikawaida bongo bahati mbaya 😊
@user-mi7cd8ch1b
2 ай бұрын
Nampenda sana frenk jmn toka mdgo wanaegizaga me namuona japo nirikuwa wa makamo
@user-fb5fs8ye5y
2 ай бұрын
Frank jamni hazéeki jamni 🥰🥰🥰
@masimakarume9715
Ай бұрын
Nachotamani kujua ni wanafanya kaz gn huko nje ya hz za kiburudani ambazo tulikuwa tunazijua huku
@hamadramadhan8422
2 ай бұрын
Ata mim ni soon tu nitakuwa ugaibuni maana bongo mambo ayajawa mazuri ngoja tujaribu nje😂😂😂
@issahhussein1922
2 ай бұрын
Karibu hakikisha unajiandaa kisaikolojia zaidi kuliko kifedha
@benedictmhina4819
Ай бұрын
Ngoja nikomae na kilimo yote Mipango ya sir God
@Youngchimodzi823
2 ай бұрын
Europe/ US is and will never be a better place to live for a Blackman. Time will tell. I love Tz
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Better for making money and investing back home
@Youngchimodzi823
2 ай бұрын
Europeans and the Us made more money from Africa ,Asia and middle East than from their own countries. Political science and history tells us so!
@cabylake2320
2 ай бұрын
Nice
@user-du4yg5cj3v
2 ай бұрын
Frenk❤
@CHIEFJAY-il3fs
Ай бұрын
hongera zao
@sergebaleke695
2 ай бұрын
Bongo juwa kali bhana
@chire4574
3 ай бұрын
Acha story nyingi nenda kwenye point
@KudrackAbubakar
2 ай бұрын
Mimi mwenyewe sio star ila bongo napakimbia muda sio mrefu
@jescambilinyi
3 ай бұрын
Lucy komba pia
@maryamalhajri722
2 ай бұрын
sonia yupo france
@joycemuhoja4729
2 ай бұрын
Frank Kanenepa Sanaa
@EmJesho
2 ай бұрын
Jamani frenk namkumbuka sn
@Vanelsing_
Ай бұрын
We dada hiki kimabeste kimsanii cha juzi utuambie kwamba watoto wa 2000 hatumjui dish lako limeyumba
@user-rc6ww6rx7n
2 ай бұрын
Bongo co nchi ya kuishi hy kilakitu ujanja ujanja tu vt havinyooki nsy maana waelewa tunasepa
@ikramuabdul2905
2 ай бұрын
Wanaenda Luisa nje Coz wenzetu wapo na free mind kinoma kuliko hata unavofikiria nawala sio nyumbani
@salumsalum8866
2 ай бұрын
Snoop Lee yupe Germany.
@user-sk3nh5uq2l
2 ай бұрын
Miki j naepia sema yeye yuko canada
@josephkahindi1713
2 ай бұрын
Joseph kahìndi nae tuko nae japan
@user-li8lm7it9j
2 ай бұрын
Clouds
@ZakaZakazi-rd7wo
2 ай бұрын
Mm mwenyewe na mpango wa kwenda zangu Ng,ambo bongo michosho
@davicekombe4932
2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Hakika mkuuuu
@stellahmsigwa6493
2 ай бұрын
Ila Mimi nikipata chansi bongo siludi kabisa tena kutoka moyoni
@stellahmsigwa6493
2 ай бұрын
Duuuh nimekumis kaka franki🎉
@doriceathumani8270
29 күн бұрын
Dah tunammiss sana Frank arudi jamani 😢
@maryamtanzania9743
2 ай бұрын
Mzee magari nilijiuliza sana kwanini hachezi mvi
@GasperMwaisa-rb1lf
2 ай бұрын
Bongo uwezi kutoboa kimaisha kwasababu ushikina mwingi sana
@kingkendrickk
2 ай бұрын
Vijana wanakimbia life gumu bongo
@limymasele21
Ай бұрын
Ameniuma sana mzee magari sikutegemea kama yupo huko ila poa haina noma kikubwa uhai
@allysaid4679
2 ай бұрын
Jamani Raha P yupo wapi kitambo sana
@diddyexpert
Ай бұрын
Ata mm sipo bongo tena
@jescambilinyi
3 ай бұрын
Diana kimaro pia
@user-zr1iy1ss5y
2 ай бұрын
Frank alitaka kufanana na mwijaku kdg
@eliassoingei2046
2 ай бұрын
Angel Benard naye yupo marekani texas
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Asante kwa ukumbusho ..list lazima iendelee....
@amlikejames646
2 ай бұрын
Hata me nikipata chance ya kuishi Unyamwezini sikai hapa Tz
@Mutubure
Ай бұрын
Njaaa ni nyingii bongo
@BONGOINMOTION
2 ай бұрын
Izobisness
@FurahaSebastian
2 ай бұрын
Huko nikuzuri tatizo hapa umbeyà mwingi sana
@AllyYunus
2 ай бұрын
Sio mastaar tuu wanaokimbia watanzania wengi tunakimbia uko nyumbani hali mbaya mi mwenyewe naandika apa sipo tz
@user-zq2nb4yh6t
2 ай бұрын
Kwenu kwenu homeboy
@zahranassor7809
2 ай бұрын
Sihamii bongo mpaka mwisho wa dunia maana nyumbani ni nyumbani tu na bongo ni raha sana na tupo huru sana maisha ya ughaibuni asiwadanganye mtu ni ya kawaida tu na hawana uhuru kabisa kama huku kwetu yaani ni masharti kwa kwenda mbele hata kucheka kwa kibali maalum 🤣🤣🤣🤣😂😂
Wapo Weng sana tena wasanii wa kitambo ndio usiseme Chiv hanson balozi jd yusuf solothang chindo man rah p machozi yani wengi sana sana tutaowajua na tusio wajua
@nashnene6326
2 ай бұрын
Bongo nyoso, nan anataka kuishi hapa
@user-es5me9jm3s
3 ай бұрын
Njaaa 😂😂😂😂😂
@mohamedimkonde9532
2 ай бұрын
Kuna balozi dola soul ,
@AbdulGermany210
2 ай бұрын
Frank yupo Ulaya sio Marekani,either Norway au sweden kati ya hiyo
@williampaul8756
2 ай бұрын
Ni marekani bro
@bennie7239
2 ай бұрын
Lah P pia yuko State kitambo tu....ile vocal ya mdada kwenye ngoma ya MIKASI ya late Mangwair...
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
✌️✌️
@Fgldesigns
2 ай бұрын
Nikitoboa lazima nihame Bongo
@SuzyJonh
24 күн бұрын
Frank wetu jaman ndy maana simuon
@user-yq2zp2lc9c
2 ай бұрын
Maskini frenk tunakumiss
@user-kn8mg2su7i
2 ай бұрын
Ushirikina mwingi
@jasminshemsanga8727
2 ай бұрын
Kumbe ma beste hayupo bongo
@user-jq8wx7zz6j
9 күн бұрын
Wapi sofia kanumba na jamila?
@maryamtanzania9743
2 ай бұрын
Sonia mwenzako paula anataka kuzaa
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
😅😅
@KelvinKasalama-rd3qp
Ай бұрын
Ukweli maisha ni popote dunia ni yetu sote kikubwa uzima
@Onlyforfun1992tube
2 ай бұрын
Mimi ata unipe hela nje ya nchi siendi upuuzi mtupu maisha kote magumu
@AbdulGermany210
2 ай бұрын
Ujafika ukifika utaelewa maana ya mbele na Bongo,Ulaya unaumia wewe mzazi tu kufanya kazi ila huumii kuhusu watoto shule ni bure hakuna matabaka kama bongo ,kuna shule za kayumba na shule za wenye pesa huku hakuna hiyo,hakuna ada wala kuvaa uniform
@piuskusenge-jf2ob
2 ай бұрын
Nchi yenyewe inaitwa Bongo, akili Sana, nguvu Sana, kipato kiduchu au hakuna kabisa
@yusuphkintu562
2 ай бұрын
Solo thang,mr paul ,wote hao barozi dorosa wapi uyo
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Thank you
@solangeramadhani4038
2 ай бұрын
Frank na mzee magari wapo ILLINOIS
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Thanks for the information 🙏🙏🙏
@DuniaKalenga-hr2lz
Ай бұрын
Iowa
@user-ke6ec9bi4e
2 ай бұрын
Sawa lakini je wanafanya kazi gani uko au kula kulala
@mwarabuofficial5241
2 ай бұрын
Wabongo wapo busy kujua kazi za ulaya 😂😂 eti utasikia kwani huko ma-star wetu wanafanya kazi gani..
@masoudmohamed767
3 ай бұрын
Umemsahau Shija Mzee wa kwenda ulaya kila movie yupo Canada
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Shukrani
@user-tt7cu2et1x
2 ай бұрын
H😂😂😂😂😂😂😂😂wallah ndto yake ilitimiaa mm ktka ndto yangu nataman kufka ital ama dubai ama canada nisikufe before cjakanyaga uko
@tunutamba3595
22 сағат бұрын
@@masoudmohamed767 😀😀
@mwajumaroya7404
2 ай бұрын
Frenk l miss you my brother 😢😍🥰
@vicentcornely4890
Ай бұрын
Hawafanyi kazi hizo kwasababu siyo wasanii ni waganga njaa tu. Huko msanii anaanzia shule za awali kabisa tofauti na sisi huku tunawapotezea muda kuanzia shule za awali hawajui wanasoma nini mpaka anafikia uzeeni huko ndio anaenda chuo cha sanaa mara moja tu . Inatakiwa turekebishe hili ni tatizo kubwa sana , tutengeneze shule za sanaa watu wasome kuanzia awali (utotoni) mpaka chuo kikuu awe amesomea sanaa tu popote atakapoenda anakuwa msanii n.k Tuondoe huu mfumo wa elimu wa kupoteza muda wa watoto wetu , mtoto unamsomesha masomo 20 alafu ukubwani ndio anakuja kusoma sanaa ,mwisho wake anakuwa haieleweki yeye ni nani na afanye nini
@omarymsumi1865
2 ай бұрын
Ww mabeste kavutwa na lakaaake yupo kule nasio mwanamke
@maulidjuma9203
2 ай бұрын
Hakuna star hapo star awezi kwenda ulaya USA kutafuta kz yani akaanze zero mastar bongo tunawajuwa awezi kuafanya kz kwa 3000dola
@kazimoto-eq2th
2 ай бұрын
Aiseee kama hamjuagi ni kwamba Roma kavunjwa uume hawezi kufanya tendo la ndoa ndomaana hajamchukua mkewe kama uamini ipo ivo.
@racheljob6601
2 ай бұрын
😂😂😂 daaah ila wabongo una ushahidi
@kazimoto-eq2th
2 ай бұрын
@@racheljob6601 kama hamuamini angalia roma hadi anakufa haji kukaa na mke na huko marekani hana demu na akiwa nae skendo tu ila ukweli.utakuja kuamini fatilia
@braggadachu1723
2 ай бұрын
Usenge tu😂watoto WA elfu mbili wamefanyaje
@JuaKali68kviews1hour
2 ай бұрын
😁
@jaxmkada6797
2 ай бұрын
Ipo siku na mm nitakuwa ulaya jamaniiii
@user-kd5yi9jo1g
28 күн бұрын
Mimi mwenyewe baada ya miaka mitano uingereza mwananchi🏴👨👩👧
@EstherGodwin-ig6mt
2 ай бұрын
Slaves hameni wote mniache mm huku
@memoryeliass9558
2 ай бұрын
stori zimezidi sana ndio maana unasahau watu. punguza mastori hayo.
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Sawa Elias
@OmariNkalami-nh6fl
2 ай бұрын
Mchongo mkumbwa😅
@faridaltamimi7454
2 ай бұрын
HUKU KUNAITWA MAMTONI HUWEZI KWENDA KUTAMBA NCHI ZA WATU
Mzee magari tukonaye hapa Illinois US, tunafanyanaye kazi pamoja.
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Yupo kwenye previous video
@chamballaally8767
2 ай бұрын
Kazi gani?
@chamballaally8767
2 ай бұрын
Kazi ipi ?
@Official83640
2 ай бұрын
Kwahy Sonia na Tahiya washakuwa mastar eeh hd wanawekwa km wanaishi nje jaman wakati wanasoma tu basi muwekeni na Mtoto wa Manara na mie mniweke maana np nje mwaka wa 6 huu😂😂😂 Solo Thang umemsahau au
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Si unawajua lakini!!! They are famous"
@Just_a_gal.
2 ай бұрын
Ushaambiwa list ni ya Marekani na Ulaya tu,,sasa huyo mtoto wa Manara huko Asia anaingiaje humu
@Official83640
2 ай бұрын
@@Just_a_gal. Sasa Sonia yupo Marekani umeambiwa 🤣🤣
@boubabizo246
2 ай бұрын
Eti wanakimbia nini apa bongo? Kweli hilo swali? Wewe nikubebe dubai tu, utasepa bongo
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
😄😄😄🤣🤣
@dorislema2465
2 ай бұрын
Reyc yuko wapi?
@THETHIRDTV_
2 ай бұрын
Previous video
@publicrelations4600
2 ай бұрын
Yaani unamuacha Hussein machozi unamuweka sonia sasa huyo demu usanii kaanza lini?
Пікірлер: 153