kumbe ni kitenge? ana ujasiri wa ajabu hongera kitenge
@ziakaitala2221
5 жыл бұрын
Kweli nimemuona Maulid mtoto wa mzee kitenge ndo aliemtoa yule jamaa mwenye mguu wa kuku
@jumaazitto2767
5 жыл бұрын
@@ziakaitala2221 Grwksezxvbmktey
@ziakaitala2221
5 жыл бұрын
@@jumaazitto2767 Juma mbona umeandika maneno yasiyojulikana? Au yanatoka kwa mtu asiejulikana?
@Kimbururu
5 жыл бұрын
Kitenge ni huyu nae atakua Usalama huyu
@dullabritish3277
4 жыл бұрын
Kitenge ni Usalama wa Taifa muda mrefu tu licha ya kuwa mwandishi bora wa habari Tanzania
@eliyamahenge9382
5 жыл бұрын
Inaniuma sana kwa matukio haya Tanzania. I love my Country Tanzania... Mungu tusaidie
@mosesjackson_tz
3 жыл бұрын
Daaah hiki kitendo cha nape kufanyiwa ivo kimeniuma sana aisee.
@emmanuelgwaay4773
2 жыл бұрын
Nape Waziri tena ktk wizara ile ile...........ya Mungu mengi!
@dismaskamanzi2365
4 жыл бұрын
Kea pembeniii kam umemuonAaa hamorAp gonGa Like twenDe saWaaaa.....hahahahha
@mwalimu1520
3 жыл бұрын
Nimerudi baadaya ya Msiba ya JPM,
@ibrahimalisharif275
4 жыл бұрын
Usafini tuna watu,hongela kitenge wetu
@ziakaitala2221
5 жыл бұрын
Jaman mnapokuwa madalakan fanyen huku mkijua kuwa cheo ni mapito na si dhamana
@yusuphsaid6300
5 жыл бұрын
pole nape..ninapopitia hii,sijui huwa nawaza nini....nchi yetu hii.!
@altonkanjolonga2380
5 жыл бұрын
uonevu ni jambo baya sana,ahsante Maulidi Kitenge kwa hili,mtu huyu alietoa bastola hadharani eti hajulikani.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@happyjohn5882
2 жыл бұрын
Kitenge ni TISS hahaaaa,MTU na nusu hyoo
@jackzest4really145
2 жыл бұрын
Mkichunguza huyo jamaa anayetaka kumpiga risasi nape msikilizen kwa Makin mwishon anavyomambia kitenge mkuu nimekuelewa nisamehe Sana hao jamaa wa mwisho walivaa sare wamekaa na kitenge ni Wazeee🤣🤣🤣🤣wa uswalamani
@Prince-rafael
Жыл бұрын
Mtangazaji wangu Bora wa muda wote maulid kitengee nampenda Sanaa maana huyu jamaaa n mnafkii sanaa
@mbwanarajab4756
2 жыл бұрын
Kwa Mungu kuna Kaz kubwa mno.. Hivi kweli alf tunasema tulikua mahali pazur , naamini tungeshuhudia Vifo vingne vingi zaid ya vile vya viroba. Kwa Mungu kuna kujibu huko
@AbdulRahman-wx6iv
5 жыл бұрын
Huyu ndie mtu asiyejulikana mpaka bunge tukufu linamjadili hi serikali yetu ya usanii.
@shishismile1973
4 жыл бұрын
Ingelikuwa ni kenya uoneshe mtu mbuduki bila sababu angeshtakiwa, waulize judge aliye jiona mkubwa akaonesha mlizi wa supermarket gun alishtakiwa na judge akapoteza job na akalipa mlizi faini ya nusu million
@ibrahimally6455
7 жыл бұрын
DAaaaaaaaaaahhh TZ cjui tunaelekea wap
@peterkisanga8089
5 жыл бұрын
Hii ndo faida ya bao la mkono
@youngramajrtz2215
5 жыл бұрын
Big up kitengeee
@eliudmkumbwa5681
Жыл бұрын
Tuliorud kumchunguza maulid tujuane
@filbertnashon7160
5 жыл бұрын
Asiyejulikana anaoenekana HADHARANI 😀😀😀i'la serikali hawamuoni
@Movic5806
Жыл бұрын
Kama umemwona Harmorapa Gonga like
@johnkikene8906
5 жыл бұрын
Kitenge hapo nlikukubali sana
@piusmnanka2755
5 жыл бұрын
Hivi harmorapa alikuwa hajui kama nape siyo waziri tena....!
@hammybrown6313
7 жыл бұрын
huyo jamaa mzima kweli
@roi2554
2 жыл бұрын
2021 harmorapa alivyochomokaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@raphaelsamwel2640
5 жыл бұрын
Huyo mbwa ana bahati kama ningekuwepo huyo mshamba asie jua hata kutumia bastola ningemng'oa pumbu!! Angemleta alie mtuma!!!
@yassirkipemba7889
5 жыл бұрын
RAPHAEL SAMWEL
@petermarco9559
5 жыл бұрын
ha ha ha ha ha,naona wtz tumeshavulugwa
@twentyfours3652
5 жыл бұрын
Unafirwa wewe
@mohammedmhina3973
3 жыл бұрын
@@twentyfours3652 nn sasa hk mkuu
@mwalimukashashadarant9676
4 жыл бұрын
Kwa maoni tu kitenge sio mtu mdogo maan sio kwa kumtuliza hvy jamaa
@farealapple7962
3 жыл бұрын
Uyu mwamba uwa ni usalama sema alivyokaa si rahisi kumjuwa
@jandaboytzz2755
2 жыл бұрын
Huyu Gilbert Kalanje Alifaa Kufanywa Kitu Ambacho Kitabaki Kama Kumbukumbu Na Vizazi Vijavyo Wajue Kama Ni Kosa Kutoa Siraha Kama Alivo Fanywa Yeye
@saidindaro7758
5 жыл бұрын
Huyu kitenge ni nani? Nyuma ya pazia.
@happyjohn5882
2 жыл бұрын
Ni usalma wa taifa hyo ndgu mbona toka zamani tuu
@vivianlenard3618
5 жыл бұрын
Maulid mbabe sana aisee, hiv sasa ni kweli angempiga risasi adharani vile au? hawa watu wanatambua kweli ka uongozi unapita tuu na baadae anaweza akatawala huyo huyo nape labda hivi wataweka wapi nyuso zao au ndio mtahama nchi?
@issaabdi9129
2 жыл бұрын
Kwani ni mbali si sasa hv yuko ktk mashakani ya mauwaji.
@ramadhanijohoiddi2899
5 жыл бұрын
Sawasawa tu ametengeza mwenyewe mfumo wa watu wasiojulikana pumbavu Zake
@redmondmulilo4852
5 жыл бұрын
Ahe Nape wasijulikana ao wameonekana peupe alakini hawakamatwi wala hawakamatiki inchi sio salama kabisa bastora hazarani ni hatari tupu
@sylvesteralstides3885
5 жыл бұрын
Noma hiyo
@khamismgunya4519
2 ай бұрын
Kitenge pia ako na bunduki hapo kwa nyonga
@IdrisaAbdallah-pf4mw
13 сағат бұрын
Hakunaga polis mwenye akili timamu ukitaka uamin polis hawanaga akili utakuta wanatumia nguvu kubwa kwmy vitu visivyo hitji nguvu sasa hapo jiulize kwnn umtolee bastola mtu kama nape tena nape alimhurumia sana yn ningekua mm sasa hv hana kaz
@haliimomar1692
5 жыл бұрын
Hahahhaha Hermorapa Ameenda ndukii😷🤪
@allyhamissi5835
Жыл бұрын
Utaharibu mambo bhwana
@Freedom_fighters898
11 ай бұрын
‼️‼️SASA HUYO NAPE NA KITENGE WAKE WANAUZA NCHI MCHANA KWEUPE‼️ MAGU ALIKUWA KAISHA WASOMA HAWA MAGANG. Hawa si watu wazuri ni maadui wa Taifa letu‼️‼️‼️‼️
@MohdRashid-cu9qb
5 жыл бұрын
Kwenye nchi za watu huyu Jamaa hana kazi ila nimefurahi maana huyu ni wa goli LA mkono
@leonardemmanuel9249
5 жыл бұрын
Tunaipenda ccm ,msioipenda pambaneni na hali yenu
@nicholausyusti4068
Жыл бұрын
🤔
@jchuwatv1890
5 жыл бұрын
Mzeee wa bao la mkono
@charlesabednego9424
3 жыл бұрын
Kitenge anastahili ukuuu
@iam_lasco
2 жыл бұрын
Yan camera kushuka chin tu na kurud juu tena harmorapa hayupo😂😂🙌
@mwaitukamwallah1300
5 жыл бұрын
Hiii dharau kweliii.
@josphatoyondi3376
5 жыл бұрын
huyo jamaa wa bunduki anabaswa kuwajishwa kazi kwa hafundishwa jinsi ya kutumia bunduki ,iweje watolea mwananchi bunduki ihali hajajihami ,? jamani mbona police wanakosa kumakinika, sisi twaunga mkono kwa kugemea hicho kitendo.
@yasinitwalika1565
Жыл бұрын
kitenge kitenge kitenge mh....
@richardmassawe8416
Жыл бұрын
Kitenge
@EshaHamd-ed9yv
4 ай бұрын
Bora muuwane nyinyi Kwa nyinyi CCM Kwa CCM maana hiyo ndio sera zenu
@Eliya-vv1jp
8 ай бұрын
Siasa ni mchezo mgum sana kuuelewa
@bahatimalundi3593
2 жыл бұрын
Kawa waziri toa bastola na saizi
@tumlakimwaitumule
3 жыл бұрын
Nilikua naangalia sports arena..ikabid nije kumchek kitenge huku 😀
@AbdulRahman-wx6iv
5 жыл бұрын
Huyu naye jeshi la polisi limekosa kumtambua wakati nape mwenyewe anawajua
@kennedymwangala8385
5 жыл бұрын
Kuna tatizo gani Kwan?
@yonamwaweya8517
5 жыл бұрын
watu wasiojulikana, NINGEKUWA mm nape ningemmwaga ubongo hapohapo huyo JAMAA,
@majaliwamsigwa3974
5 жыл бұрын
Kazi ipo
@raphaelrespichius8508
5 жыл бұрын
Utaaribu mambo ni kauli ya mpango ulikuwepo
@dominicclassic8089
5 жыл бұрын
Nan kamwna Harmorapa akitoka nduki kam vil katolewa 🔫 yeye 😂😂😂😂😂😂
@brownjulius8514
5 жыл бұрын
Dominic Classic hamorapa nduki
@ansyfalesy1457
5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@stephenhebron9838
5 жыл бұрын
Watanzania bana kwa kusahau hatujambo! Sinema hizi bana naona ni Kama hazitufundishi kitu maana tunaludia yaleyale
@radaonlinetv1922
2 жыл бұрын
Kuna mambo mengine xio haki unataka kumdhuru mtu ambae yuko huru wala hana nia mbya na Nchi yake. Hapa Serekali ilichemka! Wengi wametangulia lakini hayakutokea haya.
@RooblesJourney
5 жыл бұрын
What's going on? Could someone translate pls?
@jawadyrasheed6880
5 жыл бұрын
That person who wearing a cap was try to attack our former minister the one who wearing a white shirt
Yule mbwa wa kutoa bastola afungwe kifungo cha maisha
@saidkipalo4427
5 жыл бұрын
Sasa Ikiwa huyu jamaa alie mtishia nape bastola hajulikani huwa nawaza mambo mengi sana kwamba ni Nani sasa atakae julikana?
@njilemafunda6334
5 жыл бұрын
atv
@happyjohn5882
2 жыл бұрын
Haaaàa
@aliimwasiri2764
5 жыл бұрын
Ndugu watanzania kwa hii tabia ya kutaka kuoneshana mamlaka pasi na kutomheshimu mwenzako ni kitu kibaya
@user-ug9nl8lo1o
4 ай бұрын
Askari wa Magufuli
@selemankishema5780
2 жыл бұрын
Kikwapi sasa hii dunia ya kupita bwana
@amonamiri4487
3 жыл бұрын
Ungepiga risasi mbwa huyoo
@deomdolo5049
2 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa aliyemtishiaga ataacha kazi au
@erastomwakalinga7079
5 жыл бұрын
hahaaa hii nchi huyu ndo hafamik na vyombo vya usalama dyuu wamuulize kitenge kamuona usoni kabisa ,,,,,naipend nchi yng ila Hays mmmmh
@nimrodsigulu6249
Ай бұрын
Hii nchi ilikuwa inaelekea kubaya sana
@stephanokanyika6321
2 жыл бұрын
Nape kwa hili alionewa lakini pamoja na hilo nape samehee tu wala asifungue kesi na pia nakumbuka hayo waliya maliza na magufuri adhalani kama sijasahau
@user-ig5yn4zp2u
2 күн бұрын
Wewe ulivosema mtashinda kwa koli la mkono ilikuwa sawa ww wamekunyosha unalalamika we vp tulia wakunyoshe.
@lucyalphonce4059
5 жыл бұрын
bright
@ezekieljolam4276
2 жыл бұрын
Wangap wamerudi kuangali hii kwasasa je umejifunza nn baada ya kuangalia mwaka huu?
@shazilchymwager9496
3 жыл бұрын
Nimejifunz kitu
@rali8825
5 жыл бұрын
Bastora ndo nini?????
@azzaali7780
6 жыл бұрын
Sasa huyu anatoa bastora mpaka leo hawamjui huyo alitakiwa aonyeshwe adabu
@IssaMohamed-mp4hj
21 күн бұрын
Wefisadi sikupendi
@abisaiamos8740
5 жыл бұрын
Mchana kweupe 😀alafu unaambiwa ajulikani huyu mtu,😂😅 watu bwana, huu ujinga uliotangilia,na hekima imekaa nyuma itaigarimu sana tZ🤔
@petromwinyi4955
5 жыл бұрын
Eti bado kuna mijituuuu tz.kuna amani
@kassimmohammed4949
5 жыл бұрын
Goli la mkono Hilo
@alloycejames5285
2 жыл бұрын
Sa itakuaje???
@jaylanimakarama1063
4 жыл бұрын
Amorapa ka kimbia
@sadicckdasilvatz5279
2 жыл бұрын
Tuliokuja baada ya post ya kigogo leo rujuanee
@shabanaman8556
5 жыл бұрын
Sasa kuonyesha mguu wa kuku wa nn?
@maandaliobandmbeya1513
5 жыл бұрын
MUNGU AISIMAMIE TZ YETU
@iddiramadhani2198
5 жыл бұрын
M ziki
@user-gd2xj3xd1b
3 ай бұрын
Wangemuuwa tu jasusi mpelelezi
@jumahamadomar9124
2 жыл бұрын
Huyo jamaa mshamba kweli huna uniform inayokujulisha,onesha kitambulisho kama wewe ni afisa wa usalama unaonyesha jazba kwa kumtolea mtu bastola hata majambazi wako na bastola
@johnassey8544
2 жыл бұрын
Waziri nape tunamuomba huyu jamaa
@nassororamadhan8756
5 жыл бұрын
hamorap nae yupo
@richardngendakumana2871
5 жыл бұрын
Huyo police karudishwe shuleni
@muungujaunguja8609
2 жыл бұрын
Huyu askari jambazi ndio limeua huku kwetu mtwara
@stn4873
2 жыл бұрын
Huyo nape angeingia humo kwny hilo gari pembeni hapo ingekua ndio bye bye....
@kelvnassey3236
5 жыл бұрын
haaaaaaaaaaa hi video editi aliyetoa bastola si uyo apo au bunge mlikua mnajadil nn mh polic shikamoon
@abdullahijillo2514
5 жыл бұрын
Nani aliona hamo rapper hapo awali Gonga likes haapa
@ruqaiyaibrahim1865
7 жыл бұрын
hii nche lazima kutakua na vita za wenyewe kwa wenyewe
@guyomy7711
5 жыл бұрын
Ruqaiya ibrahim usiombe hivo htr kubwa
@nadiyakisho2178
4 жыл бұрын
jaman rukaiy usiseme ivyo mbay sn mungu atuepushe
@Dymitri-Babushka.
5 жыл бұрын
Polisi tanzania wajinga wanatumia kama tissue chooni
Пікірлер: 167