Hii ni elimu ambayo uwezi kuipata shuleni ❤ nipeni like zangu
@gilbertbaya1546
5 ай бұрын
Kenya watching be blessed bro.
@tumainselestine3398
5 ай бұрын
Utamu wa maneno huongeza elimu.
@user-gz8xs1tx7m
5 ай бұрын
Joel unaimani kubwa sana
@user-ue3uu1eh8n
5 ай бұрын
Allah akuzidishiye ujuzi
@ajunadunstan2336
5 ай бұрын
Huna baya kaka🙌🙌
@MosesFikiriIbrahimu
9 күн бұрын
AMEN SANA Nashukuru 🎉🎉❤❤
@nikolausmnanka9362
4 ай бұрын
Nakukubali sn kaka
@faudhiasalum7279
5 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿✍️✍️
@suleimanhakimu2543
5 ай бұрын
Nimeongeza tena maarifa
@SaitotiLukumai-el3lv
5 ай бұрын
Kaka mungu Akulinde maan kila siku najifunxa kitu kpy
@JudithNjau-lr7vm
5 ай бұрын
Ni kweli kabisaa kaka yangu
@rollahngimbwa6978
5 ай бұрын
Be blessed kaka joeli. Kila siku najifunza kitu kipya 🙏🏽
@EmmanuelJonh-kq7vk
5 ай бұрын
Fact kak I remember that😂😊
@djbenmusicsound6274
5 ай бұрын
Sio mbaya leo nimekuwa wa 4 naomben like ata 4 tu
@YusuphRashidiSimoni
5 ай бұрын
Video
@YusuphRashidiSimoni
5 ай бұрын
Vudeo
@user-el6ec5qh6q
5 ай бұрын
Huu upumbavu hatuutaki apa like kaombe uko kwenye miziki
@ahz6907
5 ай бұрын
Nadhani umepotea njia.😂 Huku tunafanya personal development sio hayo mambo ya likes ... that's poor mindset
@elianzammari1421
5 ай бұрын
Nakukubari Sana Kaka Joel
@user-iv3fd1wp7p
5 ай бұрын
Nadhani ungekuwa na unatoa jumbe za sauti pia
@ahz6907
5 ай бұрын
Huwa anatuma kwenye grup la WhatsApp
@ramadhanmkenda5918
5 ай бұрын
Ubarikiwe kwa madini unayotupa
@amedeuskimario8895
5 ай бұрын
Kaka Joel hiyo graph ya life balance mbona hujatuonyesha me cjaona unavofanya
@IdiSankaa
5 ай бұрын
Nataka baadhi ya vitabu nipo Arusha namba ya sm plz
@JaxsonLukuwi
5 ай бұрын
Kitabu nitapataje nipo mkoa wa songwe
@marymkamwa3779
5 ай бұрын
Sioni tairi kwenye screen mkuu
@mahambagislain9618
5 ай бұрын
Asante 🎉🎉🙏🇨🇩
@janetfrancis7180
5 ай бұрын
Asante kaka Joel
@user-pu3dn8hu2n
5 ай бұрын
Yes
@Teamtzad
5 ай бұрын
Habari ya (asubuhi, mchana na jioni )ikitegemea unasoma comment hii mda gani, Pitia Video yangu itakayokufanya uone upande wa pili wa sarafu ya fedha nilifafanya siri ulizofichwa kuhusu mafanikio. Siku njema
Пікірлер: 31