Baada ya kuskiliza huu mjadala nmgundua waislamu tunatumia nguvu kuwafndsha na kuwaonyensha njia hawa wakristo ila wao wmesmamia huu ushabiki na haiwafai wao kusmamia ushabiki imani yangu kma watsklz mjadala kwa akili watakuwa waislamu soon In sha Allah Kazi kubwa Allah akufnyie wpes doctor sule kazi.iendlee
@waheedaw1953
7 ай бұрын
ALLAHU AKBAR WALILLAHI L'HAMDU SHUKRAN SANA SHEIKH
@deulemwangolo
6 ай бұрын
Doctor Sulle Mungu akujaalie mwisho mwema
@adijaamur962
4 ай бұрын
Amiin
@nakundwamkubwe7823
7 ай бұрын
Sulle kama Sulle huna mpinzani Allah akuhifadhi Shekhe wetu .
@hamissimnyonge
7 ай бұрын
Tatizo la wa kristo ni moja tuu Sio kwamba hawajui ao hawaelewi wanajua kila kitu tatizo ukristo ni mwepesi shauna Sheria za mungu wanajipangiy kila kitu bila kuangalia sheria ya mungu
@aliomar5954
7 ай бұрын
Swadakta kaka wanatafuta njia ya rahisi ya kumuendea MUNGU bila kutumia akili ipasavyo
@Tuyizererukuman
3 ай бұрын
ndio ni ukweli
@peterluppy8843
3 ай бұрын
Swadaktaaaa❤❤❤❤
@adamjrgong9757
4 ай бұрын
MashaAllah, Dr anaongea kwa point tupu, na evidence zilizonyooka. Allah auupaishe Uislam, na atulinde kweli na shetani. Sioni sababu ya kubiashana kwa hizo hoja za Dr Sulle.
@jafariemedi821
4 ай бұрын
Mwenyezi mungu awazidishie mahisha marefu dr sulle pamoja na prfs mazinge nawengene nanao papana na kuwaelewesha ndugu zetu wanao jiita wakrist. Nawewe unayo sema awamuwezi ndacha nikuli wenda awatamuweza sababu ndacha sio muelewa
@salhkasmm558
7 ай бұрын
Ndacha ni mnafiki kwa ajili ya benefits za ulaya.
@JabirHamzaHamza
5 ай бұрын
Kama kila wanachopewa na kanisa ni sawa tayari wanatakiwa na wakuu wao washonane waume Kwa waume.
@peterluppy8843
3 ай бұрын
❤❤❤umepigaje hap
@mamawamoya3344
7 ай бұрын
Ma sha Allah
@HassainMbwambo
2 ай бұрын
Waelimishe bwana shekh wang mana elimu ndogo hao
@Hypertz169
4 ай бұрын
I’m proud being a muslim.. kwan dini yngu haina shaka na kitabu chetu kinajieleza na ndio muongoz wa kila muislamu
@YahayaOmary-fp5uw
2 ай бұрын
Mashaallah
@nakundwamkubwe7823
7 ай бұрын
KasukuNdacha kanywea leo 😅😅😅chezea Dr Sulle wewe😅😅.
@johnlyimo5971
Ай бұрын
Dini ziko mbili moja ya majini na nyinginee ya binadamu uislam Niya majinii
@stevenmwenda3005
7 ай бұрын
Kweli kabisa waislamu tunatumia nguvu kubwa na rungu zito kuwaelimishi wakristo na hawataki maana maneno ushahidi uko wazi kabisa uislamu ndo dini ya khaki ya Mungu na njia ya wanadamu wote kufwata ila ndugu zetu wakristo hawataki kabisa kufungua vichwa na kutaka kuelewa namshukuru Mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye khaki uislamu
@jamalsamma3457
7 ай бұрын
Barakallahu fih
@Masjidfirdous-onlinetv
7 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@asiamohamedy2643
7 ай бұрын
Masha Allah
@user-pc6io7wt5l
7 ай бұрын
MashaAllah
@jumarobertonyancha8605
7 ай бұрын
😂😂ngufu gani hapa,kama Dr sulle mwenyewe hajielewi had I kuleta ma bouncers kumlinda,😅😅 hataiteteaje Quran
@saudaumar3354
7 ай бұрын
ndata ameshindwa ni Dr sule.Quran haina shaka ndani yake
@anzomtebwa3461
6 ай бұрын
Akuna dini yoyote inayo weza kupambana na uislamu kwasababu uislamu ndio dini pekee yaukweli zingine ni game tu na mashabiki wake.
@user-hp6gz6ln4k
4 ай бұрын
Akili yako iyo.
@peterluppy8843
3 ай бұрын
😂😂😂 swadakt
@user-lo8zr4fn9i
5 ай бұрын
Doctor sulle Allah akuhfadh na professor maznge p1 na ostadh shafi
@mwanarusiali4430
5 ай бұрын
Wakristo kubalini tuh uislamu ndio dini ya haki katika vitabu alivyo teremsha Allah akuteremsha biblia....Allahu akabr Quran ndio kitabu kisichokua na shaka ndani yake na uislamu ndio dini iliyokamiliza❤
@AmeirKhamis-lw9sb
4 ай бұрын
Hakina dini mbele ya allah ni uislm tu💯%
@juliusmsangi6849
4 ай бұрын
Ni kweli mbele ya Allah dini ya uislamu 100% lakini mbele ya Mungu ni 0%
@SalmanMughal-lq5lt
2 ай бұрын
InshaAllahSubiriUfe.utajuaUjui@@juliusmsangi6849
@pacifiquemuzo7446
6 ай бұрын
Miminipo Congo DRC sijuwi nitapata nehema lini yakukutana na sheh DR SULLE ili aniombee duwa,mimi nitakufa na wislam
@LazarusKiprotich
3 ай бұрын
Nashangazwa sana na waisilamu wakijifanyia dini na kuiabudu ambayo mwisho wake hauna maisha ya milele
@peterluppy8843
3 ай бұрын
Kwendraaaa😂😂😂😂
@KelvinMwakilasa-ll3kz
Ай бұрын
Awa wametoka na akili za kuzimu , kumbuka shetani ni baba wa uwongo
@mamawamoya3344
7 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@HalimaRashidi-sd4fqm
3 ай бұрын
Allah akulind inshaallah ❤😊
@juliusmsangi6849
6 ай бұрын
Wewe Sulle+Mazinge pamoja na vizazu vyenu hamumuwezi Ndacha!
@OmyGizo
4 ай бұрын
Km kiswaili unajua bs ushabiki utakuponza kupnda dini za urisii maana unaskia vzr lkn unalazmishaa sasa unamsifia kujibu Nini au ndo umependa kuswali skumoja ya wiki
@barackamosi4116
3 ай бұрын
Yaaani waisilamu MUNGU awasaidie 2 maana hata biblia hawaielewi kwasababu wote ni wapumbavu
@RobaaJattan
2 ай бұрын
Takibbirt
@user-eb3sr5wi5v
6 ай бұрын
Islaam❤❤
@Grety_etungano
6 ай бұрын
Sasa ndacha ameshindwa wapi na amejibu wapi
@aboujanomarion6121
6 ай бұрын
Sasa wewe hukuskiza hiyo Vizuri hukuskia kunamahali ana rekebishwa anapo tajwa jina lake kuna makaribisho bibilia inasema kristo ni mpumbavu unakubali hiyo sasa wataka nni zaidi hapo .??
@Fatumarukasmlima-te1og
3 ай бұрын
Wanajuwa ukweli ila wanachokifanya nikupoteza wenzake
@MbarokuMohammed
25 күн бұрын
Wape vidonge vyao
@user-ns2jd9in1x
7 ай бұрын
Ndacha kashindwa hata mjinga anaona Hapa asilimu tuuu
@rodgersmae-rc2pn
6 ай бұрын
Mimi nilifutilia mjadala wote hakuna swali Sule aliuliza lika mshinda Ndacha na mbali na Sule hakuna Swali lolote muislam anaeza uliza mkristo wa kweli akashindwa labda wale makristo wa uongo wanaokula krismas
@Tuyizererukuman
3 ай бұрын
Wataishiya kwenye upotovu waachie huko huko
@saudaumar3354
7 ай бұрын
mdahalo hauyaanza ameshindwa vipi wata umbeya
@kisosekatere6282
7 ай бұрын
Ninyi waisalqm waongo sana Liko wazi mbona Sule Kashindwa na Hoja zote la sivyo wekeni mdaalo wote sio Ku Ed
@hamissima
6 ай бұрын
😂😂😂😂
@juliusmsangi6849
6 ай бұрын
Dini ya kiislamu ilianzishwa miaka 630 baada ya dini ya kikristo! Ni maajabu walioibuka miska 630 baadaye ndio wanajifanya wanaujua vizuri ukristo😅😢😅😊
@user-sv3em3hm8u
5 ай бұрын
Wewe ndoa hujui kaka usilamiu ulikuwepo tangu mwanzo waduniaa ila usilamiu zama za muhamadi wapaulo walitunga ukriso ndoa man
@WiklifAloyce-oe9hf
6 ай бұрын
Alafu mbona vipande wa ndacha hazionekani?au hazionekani kwangu tu
@tomborathomas2124
6 ай бұрын
Wamechukya upande mmoja tuu wajanja hawana lolote
@user-yu7oi8ne8r
6 ай бұрын
Na bona kwa hii mdaalo mliondoa majibu ya mwalimu dacha kwanini mnaongopa manjibu rahiiisi ya watoto WA Sunday school sisi atutaki kutoka waislamu kwa misikiti Yao Hila kuwaangazia ukweli hili siku ya kihama ikifika wawe wanajua ukweli
Shida ilio kuepo ni hii. Utawala wa mtume YESU (ISSA) umeisha kwa kufatia mtume wa mwisho nae ni MUHAMMAD (swala llahu alayhi wassalam) Kama ulivyo maliza ummati wa mtume ADAM NUHU HUUD...........IBRAHIIIM.....MUSSA.....ISSA (YESU) na sasa hivi ni ummati wa MUHAMMAD (swalla llahu alayhi wasalam) Tatizo ndio hilo kwamba bado baadhi ya wanaadamu wanaendeleza utawa huo na kuukosea kwa kusema YESU (issa) ni mungu au mtoto wa mungu
@barackamosi4116
3 ай бұрын
Acha ujinga umfate muamadi muhuni mmoja 2 Alie kuwa anapenda mademu malaya 2 yeye mwenyewe anasema sijuwi niendako hata wanao nifata sijuwi watafanywa nini unamfataje kipofu akuongoze na yeye mwenyewe hajuwi aendako
@josephsevelinibeho1223
6 ай бұрын
Uifuate iliukifa uzikwe kama mzoga
@jumarobertonyancha8605
7 ай бұрын
Kwanza wew wajitetea na kitabu ja pastor mkorofi eti hiyo ndiyo elimu ya dr sulle😅😅😅😅nami nitakuja na mwisilamumkorofi
@abasingaruka1872
6 ай бұрын
Mimi namkubali Ndacha anao uwezo kumuelimasha mtu ukaelewa, kipi unaweza muelewa, wengine Ni ubabaishaji tu,
@user-nw9ds9qe5i
6 ай бұрын
Dr sule hujui kusoma biblia ujui sana vizuri.
@GeraldMswazi-bp2kw
6 ай бұрын
Kulingana na koran wafuasi wa issah ni watu wa injili yaani wakristo.waislam mlimuasi issah na kufata uongo wa muhamad aliemsilisha shetani alielaaniwa na mwenyezi mungu,hiyo ni dini ya majini itakuaje dini ya haki.
@mahmoudmussa2800
6 ай бұрын
Hapana Yesu(issa) tunamuamini ni mtume wa mwenye enzi mungu. Alimtuma kama alivyo watuma mitume na manabii wengine kuja kuwafundisha watu na majini neno. Kuwa mungu ni mmoja tu, hana mshirika na yeye nabii yoyote ni mtume wa mungu. Sio mungu wala sio mtoto wa mungu
@nakundwamkubwe7823
7 ай бұрын
Ndacha hasomi maandiko yeye kazoea kufukia viraka na kupotosha watu 😅😅😅. Kwa hakika Ndacha anatia watu motoni. Laana tulwai .
@jumarobertonyancha8605
6 ай бұрын
Wazee wa viraka wako hapo wakina masinge,mbogo,sulle na shafi hawana hoja za kimzingi kabisa,eti hiki ndicho kitabu kizijokuwa na saka ndaniyake na kumbe in kitabu cha MTU na mkewe wako kaburini mecca ndicho mwatuambia ni ja mungu
@anwarambar6141
6 ай бұрын
Ndacha ni hodari wa kupoteza watu katika njia ya haki, na kuwapeleka jahannam
@anwarambar6141
6 ай бұрын
@@jumarobertonyancha8605ngia ndani ya uislamu wewe, uwepukane na jahannam, usidanganywe na Ndacha
@mahmoudmussa2800
6 ай бұрын
Sio kwamba hasomi, anasoma na pia naamini ukweli anaujua. ila sio rahisi waislamu tujue. Mtu kama ndacha kukubali ukweli. Maana ni mtu maarufu na huenda akawa anaogopa juu ya umaarufu wake. Tangia hapo zamani makafiri walikuwa wakiujua ukweli ila shida kuuamini kwa kuhofia vyeo vyao.
@arnoldmtaita7936
6 ай бұрын
Cc waislam mwamba😂😂😂😂 ukweli n huo usiposlim n ww mwenyewe tu
@EmanuelNicholaus-vn9gl
6 ай бұрын
Biblia ni kitabu chenye pumzi ya Mungu na yeyote aiminiye anapata Wokovu
@GeraldMswazi-bp2kw
6 ай бұрын
Sulle alishindwa kuthibisha makosa ya biblia akaona atumie propaganda ya kitabu cha yehova matatani,huku mwalim wake ndacha akiichambua koran utadhani yeye ndo muislam.
@GeraldMswazi-bp2kw
6 ай бұрын
Uislam ni dini yenye uongo unao fanana na ukweli jamani fungukeni vichwa vyenu muhamad aliwatia motoni nyote.
@hamissima
6 ай бұрын
😂😂😂
@peterluppy8843
3 ай бұрын
Wewe ndo muongo wa kwanza😂😂😂
@davooman
6 ай бұрын
Quran inajitetea yenyewe lkn biblia imeshindwa kujitetea bali watu ndo wanaitetea
@EmanuelNicholaus-vn9gl
6 ай бұрын
Uongo mtupu nyinyi watu
@user-sv3em3hm8u
5 ай бұрын
Unatakiwa usome mwenyewe ujuee usiamin tu unacho uamin
Пікірлер: 129