I'm Muslim.. I really admire you, Hnnanja, really talk well done
@nadinemiruho4530
Жыл бұрын
Unaongeya ukweli mtupu baba Mungu akubariki sana muchungaji
@jumapiliissa4835
Жыл бұрын
HAHAHA ukosahihisana mzee wapumbavu ndohawakuelewa hongera sana
@AnneSampegete
Жыл бұрын
msema kweli mungu akubariki sana
@user-ue1wz3yx5k
9 ай бұрын
Amin nawaambia mimi ni alfa na omega mwanzo na mwisho mtu haji kwa baba ila kwa njia ya kiroho,, nakuombea kwa baba uishi paka utakavyo nibadlisha mimi kwa injili hii alafu hubiri ukijua waliokaribu nawe hawakupatii vema kama sisi tulio mbali na nimekana mwili wa uwasherati, ulevi,na unafiki,tamaa,hasira sarau kwa wakubwa kwa wadgo mpka nitakapopokea maji ya uzima
@yohanamorisi1802
Жыл бұрын
Usiogope kusema ukweli, hakumuona Yesu Mzee wa Arusha.
@FrolabathoromeoBinanyehe
Жыл бұрын
Sema Mtumishi asikar wa yesu
@mohamedally-nx8mk
Жыл бұрын
Msema kweli hananja
@mohamedally-nx8mk
Жыл бұрын
Kila mwezi fanya interview hananja
@luizerndayanse6214
Жыл бұрын
😂😂😂 amesema ndoto saa zingine ni shughuli za mchana, kuota nikuota tu siyo kila ndoto ni ukweli, hatuwez kumuona Mungu kwa nyama na chipsi
@mrsinia3064
Жыл бұрын
🤣🤣
@ramadhanisalum8702
Жыл бұрын
Hakika ananja nihazina kwa taifa.... nivema wanahabari Mtengeneze utalatibu hata malatatu kwa mwezi kumuona Huyu ananja kulingana na wakati tulio nao kwa sasa ndani ya jamii tukumbuke kwa sasa taifa limebaki na wazee wachache wenyekusema Ukweli ili wanadam watambue wakati tulio nao nahuko tuendako
@user-cq5rs5in2y
Жыл бұрын
Veronica unawazimu kidogo nafikiri
@siwemamohamedi2119
Жыл бұрын
Kwahiyo iyo uliowwka picha yake ni Mungu huyo ni muigizaji robat pooo
@roselyimo3676
Жыл бұрын
Wewe Mzee ndio hujaonana na Mungu aliyetumwa kazi ameonana nae tofauti ni hiyo Ufunuo wa Yohana 22:3 [3]Wala hapatakuwa na laana yo yote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumwa wake watamtumikia; And there shall be no more curse: but the throne of God and of the Lamb shall be in it; and his servants shall serve him:
@Mrs-sh4fx
Жыл бұрын
Jifunze maana ya ufunuo na Acha kusoma mstari mmoja mmoja kutafsiri Biblia
@Veni584
Жыл бұрын
ZUMARIDI amethubutu jaribu na wewe tuone kama utawakusanya hivyo
@luganojacob
9 ай бұрын
Mbona kafanikiwa kuliko zumaridi huyu anawafuasi wengi
@nabiimgongolwa8728
Жыл бұрын
WAJINGA NDIO WALIWAO ........MTAAMINISHWA KILA AINA YA COMEDY
@roselyimo3676
Жыл бұрын
Sasa wakati Yohana anaona.maono.aliona akiwa duniani kiroho au mbinguni? Tufafanulie hananja
@thomsanga7956
Жыл бұрын
Acha ujinga, soma biblia
@roselyimo3676
Жыл бұрын
@@thomsanga7956 hiyo niliyoweka ni andiko langu au
Пікірлер: 23