Miraji chagamba hongereni Leo nimefurahi sana mpo kwenye muonekano mzuri sana safiiii🔥🔥🔥
@user-wk2bg8zf3l
4 күн бұрын
miraji Leo mmetisha Kama crown media, kama mpo ofisini 😂😂😂😂SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOOO
@EmmaPallanjo
4 күн бұрын
Bega la chagamba Leo limepumua
@jumamakame3978
4 күн бұрын
Hii sasa safi chagamba utasalimika na makofi ya mabega😂
@HamicKauno255
4 күн бұрын
Mbona kama mwendo ni ule ule 😂
@IllhaamIbrahim
4 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@FranksonMkumbwa-mb3pp
4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😅
@southernkid6932
4 күн бұрын
😂😂😂
@FahadBurhan-dl9ik
3 күн бұрын
Chagamba mabega yangekua meusi kwa makofi ya miraji.. 😂
@victorlyimo896
4 күн бұрын
Hapo sasa unyama sana kama studio yaan...mmeendelea snaa wakuu hongereneiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@charlesmelkiory4742
4 күн бұрын
Mabega ya chagamba leo yapo salamaa...hongereni sana MGen insurance
@B.M-ix4rz
4 күн бұрын
Hatima mungu kasikia kilio chetu mabega ya chagamba yako salama kwa siku ya leo yamepumzika kipigo
@hamissima
4 күн бұрын
😂😂🎉
@user-ff1it9og8y
4 күн бұрын
Simba kocha yupo vizuri je mnataka akaanzie wapi kifundisha ili mjue ni kocha mzoefu acha aanze na Simba ili atengeneze cv simba itapaaa na haitakua na mpinzani
@amanikwiyima9054
4 күн бұрын
Hapo kwenye dua bado Miraji uko nyuma sana,unaanza kujipanga pa kujifichia
@sabinaechasa2925
4 күн бұрын
Chagamba Leo begalimepumzika muwemnakaa hivyo kwakujinusuru siyokwamikofi yale😂😂😂😂😂😂
@mwlhalimoja.ekingunza1819
4 күн бұрын
😂😂😂😂 ila Leo haitanoga aisee. Yaani Miraji na Chagamba lazima mabega yapate moto😂😂😂
@zamdajumbe7742
4 күн бұрын
Miraji leo mmekaa yaani leo kama mpo ofisini ila safi lazima siku Moja Moja mubadilishe muonekano
@deogratiusvalentino6248
3 күн бұрын
Leo bega la chagamba litapumzika😂
@user-fg8hg9fe1w
4 күн бұрын
Chagamba huyo miraji inatakiwa ukae naye mbali asikuguse mikofi ya mabegani atakupinda mgongo😂😂😂
@LearnBenjamin
4 күн бұрын
Kama namuona miraji 😅😅😅alivyo miss kupiga mabega ya chagmb 😂
Subiri ianze ligi muda si mlefu utasikia sababu. Mara yanga wanatuloga, mara GSM anaharibu ligi ila sasa hivi hawatasema. Tukumbuke wakati huo Young kikosi chao kiko palepale na wanazidi kuboresha. Ni tahadhar tu...
@amaniomar1755
4 күн бұрын
Simba ijayo ni hatari sana yenye vijana wenye nguvu
@fettiemaganza1484
4 күн бұрын
Vijana ndo mpira ombeni tu waende na matarajio yenu hatutaki malalamiko
@amaniomar1755
4 күн бұрын
Hakuna atakayelalamika mpira ni dakika 90' na atakayecheza vizuri kimkakati atashinda. Kila mtu atengeneze team yake halafu dakika 90' ziongee@@fettiemaganza1484
@mnabukulakasaka
4 күн бұрын
Miraji wachezaji wako 2 bado
@mwanangusana
4 күн бұрын
@@amaniomar1755kwani jobe ni mzee ? Fred mzee ? Hussein kazi je ?? Nyie pigenii kalele halaf mlete wanafunzi wa secondary tukifumua nyingi msije mkaanza kulia 😂😂
@AbassiBaro-jc3il
4 күн бұрын
Duuh tumeshapata office good 👍
@BubuallyMwakipesile-br8dc
4 күн бұрын
Simba nguvu moja miraji Mimi nakukubali sana
@odilomwakamela4889
4 күн бұрын
Ligi ikianza Mangungu tuachie timu yetu
@user-cw8yt9pr8j
4 күн бұрын
Leo sehem salama
@mwasunga
4 күн бұрын
Milaji baba ulikua wapi baba wanasimba tukikusikiliza mwoyo yetu inainjoy omemuona okojephe baba tunakuitaji kesho umzunguzie mungu azidi kukuzidishia afya njema ww pamoja nafamilia yako mzazi
@user-sz9om9ly4y
4 күн бұрын
Leo chagamba mabega yamepumzika kupigwa,utanenepa chagamba mmekaa vizuri mmependeza sana hongereni sana.
@idrisahamimuhasani5717
4 күн бұрын
Maramoja leo umeongea kishabiki Zaid
@amaniomar1755
4 күн бұрын
Amejitahidi lakini
@SuleimanJuma-dv8gt
4 күн бұрын
Setup ya leo amazing👍
@WestonMbuba-ff4jk
4 күн бұрын
Chagamba ninaomba T shirt ya MG. Mwili wangu ni kama wa Miraji
@SospeterMasanja-r6b
4 күн бұрын
Chagamba kaona isiwe shida. Kakaa mbali na makofi ya miraji
@abelimaganga417
4 күн бұрын
Leo mmeupiga mwingi mnoo mpaka una mwagika nataman hata mmengeongeza hata mda nimeipenda hyo leo❤❤❤
@shebbylove9463
Күн бұрын
😂😂😂😂😂 nilitaka nishangae chagamba asipate hata kofi moja kwel nisingeangalia tena sema leo makofi yamepungua 😁🤸🤸
@Charlesmagita
Күн бұрын
chagamba leo.kachukuwa kitu maana Yale makofi ya miraji ni hatari
@abduldihomba1632
4 күн бұрын
Huyu miraji sometimes maneno yake anayatafuna mwenyewe tusubiri tuone..
@SamsonSaruni-s3g
4 күн бұрын
🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️
@kihilenahimana8821
4 күн бұрын
Miraji tunza maneno ya akiba, leo unatupanga kiushabiki.
@mwlhalimoja.ekingunza1819
4 күн бұрын
Aaah Leo mmekaa chagamba leo hutapigwa mabega😂😂. Ila sijapenda yaani muongee bila kupigwa mabega na miraji!!?
@BahatiomaryMwambela
4 күн бұрын
Kikubwa tusiwape plesha wachezaji na walindwe
@monifrank347
4 күн бұрын
Okojepha tayari tushamsajiri
@AliAliahmada-ht4ri
4 күн бұрын
Mlipokuwa mnafungwa mlikuwa mnajifichia kichaka cha Yanga ananunua mechi, GSM a Hiaer amefadhili timu nyingi ligi kuu, kumbe sasa mnaaibishwa kwa kosa la kwenu wenyewe.
@fettiemaganza1484
4 күн бұрын
Kwa leo chagamba mikofi inamkosa
@mhehejrtv9637
4 күн бұрын
Nimekusubiri Sana mirajii unajua afu unajua Tena familia
@AbbasyMdabwa
4 күн бұрын
Miraji mara moja Simba wachezaji wasimba walindeni
@dicksonmapunda7836
4 күн бұрын
Miraji🎉
@user-qo6qv6mc5p
4 күн бұрын
Aaaa gambaaaa
@sittandaki2135
3 күн бұрын
Naona chagamba mabega yako yamepumzika hongera sana 😂😂😂😂😂😂😂 but nawakubari sana wote wawili
@kibwanakizulege4632
4 күн бұрын
Kwa staili ya Leo tunakosa radha Ile ya Miraji KUMPIGA Chagamba BEGA. BEGA la Chagamba lipo salama leo😂😂😂
@mimiraia2531
4 күн бұрын
Benchika kashinda CAF confederation dhidi ya Yanga Tena kwa SHERIA ya goli la ugenini. Anakuwaje bora namba moja kwa vilabu ashinde CV ya Pitso Mosimame mwenye makombe ya CAF Champions League matatu?! Hata kama ni kwa muni bus wa CAF bado hainishawishiiiiiiiiiimamaeeeeee
@killingmleke1810
4 күн бұрын
Mmesahau kama yanga anaandaa ligi kuchukua ninyi mnaongea sana na sasa mnasema mmesajili vizuri ila mkishaanza ligi yanga akishinda mnaongea
@JANE-jv4eq
4 күн бұрын
Milaji wewe fundi 💪💪
@chng1990
4 күн бұрын
Josee morinho anakuja na falsafa zake na anakupatia matokeo
@AidaniKungi
3 күн бұрын
Miraji jaribu kuacha kuongea kwa kumpigapiga mwanahabari tabia hii unakosa mashaki wa mahojiano yako, hutakiwi kupigapiga mtu wa habari acha mbwembwe, acha ligi ianze utalia miraji tupo hapa.
@user-zk6sy4rn9n
4 күн бұрын
Miraji bora usiname,ukikaa hainogi.unakuwa hauna ma points kama Ungekuwa umeaimama
@marthageorge5043
4 күн бұрын
💥💥💥💥
@FredyPeter-rq8hj
4 күн бұрын
hapo sawa umemkalisha milaji kwenye sofa maana unge msimamisha mabega ugesoma namba acha apige pige sofa❤❤❤
@kihilenahimana8821
4 күн бұрын
Umeona eeeh.
@muhsinkimaro4283
4 күн бұрын
Chagamba siku unafany kipind na mzee said mlete naye akae hapo apigwe na uyoyozi, ila angalizo anaweza akakataa kuondoka
@user-me3dy9zk7e
4 күн бұрын
Daah! Kwahy Miraji 7bu ya kuvurunda sio tena mangungu na jaribu tena?
@user-bt6ep3yb2h
3 күн бұрын
Mkiendekeza fikra potofu kuwa mnalowa mjue mtapigwa sana na akina mbangula na wengine wa aina yake. Mara mnalogwa, mara bahasha, mara mangungu, mara manula, mara kocha mbovu, mara wamesajiri akina jobe, eehh huo ni mpira au mazingaombwe.Tulieni, wapeni moyo vijana wenu na msiwasikilize sana machawa malioenea kwenye vilabu vya simba na yanga, wapeni mda wachezaji waingie kwenye mifumo.
@KaujuMwakajumba
4 күн бұрын
Asante kwa kupata pa kukaa.... maana Miraji alikuwa alikuwa anakuumiza sana mabega chagamba,😂😂😂
@tumainimano9953
4 күн бұрын
Ila sauti ya Leo ipo chin Bora uendelee kutumia mike kubwa
@abasikusaga6132
3 күн бұрын
Watoto hao2 mtawakataa tu mpila Sasa hivi ni bishara chukua bidha kwa faida ya Leo sio kesho hakuna anaejua kesho yake
@FabianiNguvumali
3 күн бұрын
Leo umeongelea kiushabik zaid ukwel miaka mitatu ujao sio leo
@LwessoKisekaJuma-wb1zu
4 күн бұрын
Umesubili hadi mabega yakalibie kutobolewa ndio ukatfta viti
@Elias13083
4 күн бұрын
❤
@user-er9xv9yz7b
4 күн бұрын
Chagamba ameona mabega yatang'oka katengeneza sehemu ya kukaa
@user-qi3wv8sf5j
4 күн бұрын
Chagamba,hao ndio WATU wa kukufikisha mbali yaani wanamadini ya boli na MZEE Said a Sio MASATU
@derimkongwa5965
4 күн бұрын
Hakuna timu inayojengwa duniani bila kuwa na wazoefu
@chandeyusufu9570
3 күн бұрын
Chagamba unachekesha unasema mtu anafinywa giza kimya kimya nawakubali nawafatilia kutoka dubai
@RajabuSelemani-rj9hy
4 күн бұрын
Chagamba anaogopa makofi amekaa mbali leo 😂😂😂😂
@brunomtweve8073
4 күн бұрын
Chagamba leo bega umepoa mana maramoja anahatari
@frankmisana1133
4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@omarkipotwile9052
4 күн бұрын
Chagamba leo mabega yatawasha hayo 😂😂
@mwafyelatv1436
4 күн бұрын
Chagamba Leo umekaa mbali na milaji unaepusha mabega
@DullaBallack-mw9zd
4 күн бұрын
Bora leo chagamba ulivo kaa mbali maana miraji atakutoa mabega kwa makofi
@EmmanuelZenda-ji5gc
4 күн бұрын
Jamaa ana akili sana
@user-vc8yc5oj6y
4 күн бұрын
Chagamba leo bega halitauma!!!
@abdallayunnus3475
4 күн бұрын
Nkubali chagamba na miraji
@jamesmaneno2281
4 күн бұрын
We kaka Simba tumesajili weng tunakufata wewe baada yakutupa moyo unatukatisha tamaa kweli kaka uku mm Kila siku tunakufatilia wewe kila siku unamaliza Bado kaka kweli
@user-mj3lt1ef7j
4 күн бұрын
Leo mabega yamepumuwa
@kihilenahimana8821
4 күн бұрын
Bado mnaamini ktk ushirikina.
@kasimuhamidu8467
4 күн бұрын
Malamoja wakumbushe wachezaji walindwe usisahau baba
@alexshambutu5927
4 күн бұрын
Chagamba kaona mabega yake yapumue😅
@AlfredRutaguza
3 күн бұрын
Yaani mshabiki yeyote wa simba anakuwa na asili ya uongo uongo Sana na propaganda za kutosha na vipo kwenye damu
@hawachitale
3 күн бұрын
Chagamba ana hamu ya kupigwa leo
@user-sn9nm1wu9j
4 күн бұрын
acheni ujinga muwalinde kivipi acheni imani za kichawi leo mnavaa nakupendeza lakini vichwani mwenu mweusi kwani bilaya uchawi uwezi kufanikiwa
@josephgalandu128
4 күн бұрын
Week and ya mabega leo😂😂😂
@kasimuhamidu8467
4 күн бұрын
Safi iiiiiiooooooo saa mbovu
@carrenbenson2111
4 күн бұрын
Baleke mzuri sana
@maimunaathumani9121
4 күн бұрын
Miraji leo unaumwa
@RaphaelRapha-vz2sh
4 күн бұрын
Ase uyo mchezaji umempatia kinyama
@deogratiaspmwolo1942
4 күн бұрын
Gamba tulete mzee Said Aisee.
@amaniomar1755
4 күн бұрын
Namtamani sana Mzee wangu
@josephgalandu128
4 күн бұрын
Kumbe pamoja na ofisi mapigo ya mabega yako palepale!!!!😂😂😂😂
@AbisinaRashidi-c8d
4 күн бұрын
Hatutaki makochavwakubwa Tena maana hawajatusaidia kitu
@hassanmohamed9488
4 күн бұрын
Intavew yaleo haijapendeza miraji amebanea
@mrrockboy9508
4 күн бұрын
Bado mjasema msim ujao mtasemaaa😂😂😂
@user-zx1vk9pr1w
4 күн бұрын
Ehee hapo sas chagamba mmetishaa kama hofsin yani waaaah ! Namabega yako yatapumua gamba 🤣🤣🤣
@deonatusdaud4640
4 күн бұрын
🙏🤝🤲
@jifunze0042
4 күн бұрын
wakwanza mimi leo
@BennBenn-es5fi
4 күн бұрын
Heee afadhali Leo bega halijaguswa😅😅😅
@user-gb2pl3ln9m
4 күн бұрын
Leo mko pambe sanaaaaa
@user-fs7xc2bb5d
4 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-qo6qv6mc5p
4 күн бұрын
Xavi mtupu
@PASCHALPETER-gp8ek
4 күн бұрын
Gamba leo makofi ya bega umepumzika😅😅😅
@user-lz1lj9qg8e
4 күн бұрын
Leo hakuna makofi ya mabega
@brighters4897
4 күн бұрын
habari ya mjini ni simba tu
@amaniomar1755
4 күн бұрын
Hujakosea ndugu yangu na hivyo ndio wananchi tunataka
@user-hu4el2rx2u
4 күн бұрын
Viongozi wewe Hala Hala wachezaji wote wasomewe Dua na tupige albadir muhimu sana sababu watu wa upande wapili sio watu wazuri wanatualibia wachezaji wetu tupige Dua hapa bongo nahuko misri ndio kabisa Kuna mashekh wakubwa wasomewe Dua
Пікірлер: 151