Waziri jafo nakukubali hats off Nimeona unavyofuatilia Muheza Moshi nduruma najua roho inakuuma kwa namna wasaidizi wako wanavyo kuangusha mungu atakusimamia na insha ALLAH utashinda na kuwa saidia wananchi wote.
@samkiria450
4 жыл бұрын
Tunahitaji viongozi Kama Kina jafo wengi. Bravo baba Aluta continua 🙌
@abeidabdullwarith8991
4 жыл бұрын
Asante waziri jafo big up kazi kazii
@mhandodanny4256
4 жыл бұрын
Jafo safi sana hapa kazi tu!. JPM JEMBE GOD bless you
@festonzaniye477
4 жыл бұрын
Jafo upo vizur, safi sana natamani rais asikutoe kwenye wizara hiyo, big up jafo
@Tango696
4 жыл бұрын
Safi mhe.kiukweli una uadilifu mkubwa,mapungufu yako yapo ila unatoa maelezo kwa uchungu.i feel to learn from u
@mtanzaniahalisimungunimwem673
4 жыл бұрын
Waambie kabisaa hii Ni awamu mpyaaaa. Barikiwa sana
@asiaasiajey5551
4 жыл бұрын
Safi kazi kazi waache uzembe ule wa hawamu ya 4
@gideonkalumbu2603
4 жыл бұрын
Kazi mkuu...
@errydeo8865
4 жыл бұрын
Timua hao!Ndo wanakwamisha,wao maofisini tu na kujisifia kwenye mabaa..oh mimi mkurugenzi..shit
@habau_jr1755
4 жыл бұрын
Kaz kaz..jafo safi
@hassanidrissa1714
4 жыл бұрын
Mh jafo yaan hii halmashaur inahitaj renovation na zaid kweny afya coz CHMT hawajielew takriban wote mkuu mfano sis tokea tuajiriwe 2018 had Leo hii hatujapewa ela yetu ya kujikimu, mh umejionea mwenyew madhaifu ya viongoz wetu hap halmshaur ya longido
@rogersdavis3058
4 жыл бұрын
Pole sn boss mim npo Ngorongoro ila tulipata
@xerxespersian1384
4 жыл бұрын
Mkiweka mifumo miepes jiandaaeni upuuzi kama huo Hivi nguvu kaz ipo vijana Jkt Jwtz wapo wananidham na hamasa ya hari ya juu wapo iyo ela si ingeongeza mavaz yao na vyakula matunda na mengineyo makambini kuliko kutupa pesa kisha leo ziandikwe barua na huo uovyo upo kila kona et mnajua leo🙌🙌🙌
@felixsilayo1824
4 жыл бұрын
Nafurahi sana napoona haya mambo yanaendelea nchini, hii technique ya kuwajibisha viongozi mheshimiwa rais ameanzisha, inasababisha uwajibikaji ngazi ya juu , na kuhamishia tabia hii chini
@samwelgabriel532
4 жыл бұрын
Safi mheshmiwa
@buremomussa791
4 жыл бұрын
Piga chini wote ao Wachapa kazi nchini tuko wengi sana
@cidewashington467
4 жыл бұрын
Waziri Jafo tumbua tumbua hao wasituhalibie utendaji wa kazi
Пікірлер: 56