Kweli sheikh viwanda vipo vya kutengeneza mayai ... wallah tumuombe Allah atuhifadhi na atulinde na vizazi vyetu amiiiiiin.... Hali nibaya sannaa
@ismailsoud3634
Ай бұрын
Nimempenda sana huyu mtaalamu, ni muhimu Kwa afya katika kujikinga na magonjwa. Wanao tusabishia magonjwa wao wanajenga UCHUMI WAO KWA KUUZA MADAWA. Napenda nipate nafasi ya kuonana naye.
@SalimKombo-xo4pq
16 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@user-gu1xf3zc7z
24 күн бұрын
Sahihi kabisa ustadh
@user-ze6lx9ng6s
Ай бұрын
UKo sawa sheikh,hawa viongozi wanatumaliza
@RauhiaJuma-m8n
Ай бұрын
Hongera dk ABUU KHALID kwa kutufumbua macho tunaumia kwa kweli
@user-pw8ml6ts8r
Ай бұрын
Shukrani sana!
@baizobaizo6638
Ай бұрын
Akuna Kitu Kizur Kama Kupata Darasa Nakushukuru Sana Dr Kuanzia Leo Itakuwa Mwisho Kula Vitu Visivyo Vya Asili.....
@martinisadru9899
29 күн бұрын
Hakuna vyakula asili kwa dunia ya leo, kilicho baki asili, ni ubuyu,mrenda poli, ukwaju basi!! Vyote vilivobaki ni hatari kubwa sana,, na tuki ishi miaka 45-50, inatosha sana.
@maryamsuleiman6340
Ай бұрын
Ama kwa hakika ndongaliishi kw usafi wa nafsi na Imani za kiroho ,maneno yetu na maisha yetu yasingalitupotosha tukaenda sivo ,tumfuate Mtume kiukweli sio kumtajatu
@SadikKhamis
Ай бұрын
Masha allah beautiful speech
@user-fq1gg8rj9i
Ай бұрын
Tupooooo tupooo kwa kweli mtihan... Yarrab atupe mwisho mwema
@user-bg2yc4kw9k
Ай бұрын
Umesema kweli
@user-fq1gg8rj9i
Ай бұрын
Subhana Allah Laa illa Haillallah 😭😭😭😭
@SapaJrsine-rf3qe
Ай бұрын
Mashaallah
@MrKhatibu
Ай бұрын
Na kwanini mpaka inafikia nchi I aruhusu kuingiza vibudu kutoka ulaya. Utasikia kutoka Poland ambapo kuchinja mfungo kwao ni kosa la jinai
@OmanOma-xi3hm
Ай бұрын
Upo sa hh tuna kala kk hawaja chinjwa kisheria mtihan
@user-wc9vd7dg9o
Ай бұрын
Wee wazanzibari tupo na nguvu CNA mbona musiseme hatuna nguvu wewe 😊
@user-fq1gg8rj9i
Ай бұрын
Inna lillah wainna illaih Rajiuun eeee.... Viongoz mtaulizwa yaumu l-kiyama ....tunaingiziwa vitu chemical tupu na nyie mpooo kimpya .... mtaulizwa
@fatmaabdi7192
Ай бұрын
Alokwenda kwa mtume ni julaybib
@izamahmasaki4795
Ай бұрын
AmBAR anapinga ni kati ya hao wafanya biasha na vibaraka wa wazungu mashoga na watumwa wa marekani
@SuleimanRajab-fc6xh
Ай бұрын
Elimu nzur
@rosemary3816
29 күн бұрын
Sasa izo kuku mbona ndo zimejaa Omani
@feiz3180
Ай бұрын
kwani hawa viongozi wetu sio waislamu?.. Hivo ni kweli watu wanalishwa mizoga na serikali hii?. Hee hili balaa.
@MkambaSaleh-kr7pi
Ай бұрын
Sadakta shekhe umepatia lakini na Mafuta ya madumuni hayo oki na samli za praide vyote hiyo bandia
@user-zn7vw3pj6p
21 күн бұрын
Waafrica tujitambue.tumekuwa majaa kwamamboyote.
@abdillahmchia8557
Ай бұрын
Mnaocoment ujinga m naona ni walevi
@user-tu2ne7so3b
Ай бұрын
Acha utapeli
@Ayuminchasi
Ай бұрын
Kabisa dokta mchele kma kitumbo wallah nimeula ni mtam sana ukipata mafuta ya kutosha bila mboga unakula tu
@fatmaahmed8637
27 күн бұрын
Kumbe tunajiuwa wenyewe.hawa KUKU kawaida yake ni miezi 6..leo ni siku 22😂 na sio miezi 3? Badi n8 sumu kubwa
@edsonnelson4464
Ай бұрын
Nauliza kuku wa peduu ni nini? Mtufafanulie
@HamzaMakame-vm2tm
Ай бұрын
Kweli mm nafuga hao kuku siku22 tu kashakuwa wakuwa tena kuku wengj kweli wanafika hata kuku milion 5 kwa mwezi twazalisha
@AbdalaRamadhani-by6bt
Ай бұрын
Unapatikana wapi
@seifhabib5987
Ай бұрын
Bububu kijichi Zanzibar kituo kinaitwa Mnarani
@user-wc9vd7dg9o
Ай бұрын
Tunanguvu Kam myama
@maryamsuleiman6340
Ай бұрын
Maneno yake niukweli wakutosha mno ,fata maneno yake
Ndomaana wa Zanzibar hawana nguv za kiume wengine wao
@user-qr7et3vl5z
Ай бұрын
Unajuaa mm Niko Tanzania baraa sijawahi kumsikia mtanganyika hata mmoja akawahi kumsifu mzanzibari hata amfanyie jemaa yaani mtanganyika sijui anaugomvi gani na mzanzibari unajuaa sielewi kosa la wazanzibari kwa watanganyika
@OmanOma-xi3hm
Ай бұрын
@@user-qr7et3vl5z natangu lini m Zanzibar akamsifia tz kl siku wabongo hawana madili Wana eaharibia nchi yawazenj na wazungu Hawa julikani nakumbeliwat ni zambi kubwawameianzisha wazenj
@OmanOma-xi3hm
Ай бұрын
Na mm nime ka zanj wa bong wanasemwavibaya San baaz ya wazenj hawajui km tz wanawpend nakuwakaribishabilakinyong wanaubaguzi uli pinfulia
@OmanOma-xi3hm
Ай бұрын
Kwani kusema wazenj hawan ngu nikuwasemavibaya? Huo ndooukweli wapunguzenakulaurojo unawamaliza kbs uto tungu tudg😀
@mataypanga5262
Ай бұрын
😂
@muhammadkifakara2573
Ай бұрын
We siyo mganga wala nini hata ukweli pia umekushinda itoshe tu nikikuambia we muhuni muongo, na ukimwi kutuchafulia lugha yetu ya kiarabu.
@khadejakhadeja9713
Ай бұрын
M
@alzawahirabdallah2299
Ай бұрын
We utakuwa kafiri huwezi kumdhalilisha kuongozi wako wa dini
@salmamohd3913
Ай бұрын
Hata km yy sio mganga lkn alichokiongea km unaakili timamu unaelewa alichokiongea.
Пікірлер: 72