I see wataondoka wengi sana, mtu anaweza kuvumilia njaa ya siku moja tu ila sio njaa ya zaidi ya hapo. Naona wanajaribu kutafuta green pasture kwa udi na uvumba na CCM wanalijua hilo, na lazima watampa nafasi ya kugombea ubunge Iringa Mjini.. Mark my word
@abubakarimussa9131
6 күн бұрын
Hata ccm wataondoka sana wewe subiri
@manish-fp1fb
6 күн бұрын
@@abubakarimussa9131 mpaka pakiwa na njaa mzee, hivi hivi watatoka na kurudi.. hakuna ccm mpinzan
@clemencemkondya8561
6 күн бұрын
Mbichi hizi hamzitaki viongozi wote mmeisha changanyikiwa uwezo wa kuishinda CCM hamna kabisa kwa Sera za matusi .
@user-bx3ko9ft5t
6 күн бұрын
Wew huna lolote leteni katiba tujue uwezo wenu kazi kusifia tuuuu huna lolote mchumia tumbo
Пікірлер: 18