Godfrey Deogratias Rugarabam (MC Gara B) utakua umemuona sana kwenye harusi nyingi akisherehesha kama MC nchini Tanzania, vilevile ni mmoja wa Vijana wa Tanzania pia waliotumia mitandao ya kijamii vizuri kutengeneza majina yao (kuji-brand) na kuonesha kazi zao, leo ameongea na AyoTV na kutueleza mengi tusiyoyafahamu kuhusu yeye ikiwemo kazi ya ualimu kwenye shule ya Sekondari ya Kata.
- 2 жыл бұрын
NYUMBANI KWA MC GARA B, UTAJIRI WAKE, MILIONI ANAZOINGIZA "NIMEPITIA MATESO KUFIKIA NILIPO"
- Рет қаралды 557,901
Пікірлер: 569