Asalaam alykum waramatulahi aniatu Nikka rabana takabal dua amin
@oyay2821
Жыл бұрын
Tunu uko sawa kama mwanadada. Much love from 254.
@edinamgulila8827
Жыл бұрын
Kipindi hiki kizuri mno ....Juma Ayo fanya mchakato siku moja utuletee Shaffih Dauda hapo Digala ......tulijua mengi sana had ya chini ya kapeti mfano ali kamwe , tunu , jemedari ....halafu taratibuu uje uanze kuleta wachezaji hasa mastaa mfano , chama , mayele nk
Kama watafuta mke kwa.mitandao hautapata tafuta wenzio wa mitandao
@iddybakar1946
Жыл бұрын
Tunu namlav sana anajua nilifikiria maulid atahama na uyuu dadaa kwenda wasafi ila mwanaid pia sio mbaya
@dishonlinus6514
Жыл бұрын
sema juma apo kwenye nipe tano 😁😁umenikosha
@flavianchuwa4370
Жыл бұрын
Kweli Jamani mkumba,na mhando dahhh
@amirisaid6341
Жыл бұрын
Keep up bro unajua kufanya interview 🙌
@abuumitema548
Жыл бұрын
Umepatia J ni ukweli sana uo.
@angellomarcel5677
Жыл бұрын
Duh..! Umenikumbusha Mkumba na Mhando asee
@abuyunusmohamed6961
Жыл бұрын
Yote tisa kumi vipi mahusiano yako ya kimapenzi na kitenge tuweke wazi😄
@hijazhija316
Жыл бұрын
0:08
@lungusii
Жыл бұрын
Mimi huja nipa namba
@samsonphilemonmgina7286
Жыл бұрын
Fransis mhando na mkumba wako wapi cku hiz
@christophergeorge5490
Жыл бұрын
Mhando yupo E sports ile ya j mos na j pili saa mojaila mkumba ndo hayupo
@selemankaduma1186
Жыл бұрын
Samahani Niulizie Jimbo Liko Wazi
@edinamgulila8827
Жыл бұрын
Huyo fatuma chikawe ni nan na anafanya kaz wap ?
@abbyadams8691
Жыл бұрын
Azam
@motamohele3015
Жыл бұрын
EFM
@angellomarcel5677
Жыл бұрын
Alikuwa Azam nadhani sasa hivi ni mteule ni DC
@gaudinamosnchobe4909
Жыл бұрын
@@angellomarcel5677 usichanganye Fatuma Chikawe alikuwa anasoma habari za michezo aliteuliwa na rais ambaye ni mkuu wa miraya ya kigamboni ni Fatuma Almas Nyangasa uyo alianziaga ITV akaja Azam uyo alikuwa anausika na habari na akina Ivon Kamuntu
@murjijamal7994
Жыл бұрын
Mchambuz wa michezo @Azam Media
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
Hii ndio tabu ya sehemu za kazi , Asilimia kubwa sehemu za kazi wana wapenzi, Tena wengine wana wake zao na wana waume zao lkn wana mahusiano makazini...! Mimi kama mwanaume nawaambia wanaume wenzangu, Kama una mke anafanya kazi ujue hayuko Mikono salama JIPANGE...!
@TradersEasyWay
Жыл бұрын
hahaa! huko sahii kabisa tena kama anafanya kazi zile ambazo anakua na vikao vingi mpaka usiku na kusafiri safiri sana!
@haidhabushiri9558
Жыл бұрын
Kazi za shift ndo balaa nursing, police, jeshi ,uandishi
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
@@haidhabushiri9558 ...Yaani kiufupi hivi viumbe viwili vikichangamana ni Mtihani sana....angalia mashirika ya uma , Maji, Umeme,posta, sehemu mbalimbali ni hatari, ukiwa hujafanya kazi za kuajiriwa huwezi kujua, lkn ni AIBU...!
@kilapilo.kilapilo5292
Жыл бұрын
Ndugu yangu Ismail Masoud, siyo kweli ya kwamba kila mwanamke ambaye ana mume wake na anafanya kazi/shughuli mahali fl'ani, basi atakuwa na mahusiano huko kazini/ofisini.{Wapo wanawake ambao ni waaminifu sana kwenye ndoa zao/ mahusiano na wenza wao & wapo wengine ambao pia siyo waaminifu kwenye mahusiano yao}. 👉Kikubwa ni kuzidi kuwajengea wanawake hao uwezo wa kujiamini & kuwapa nafasi pale inapostahili.
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
@@kilapilo.kilapilo5292 ....ungesoma usingejibu hivyo, ni asilimia kubwa sio wote, na usiwaweke wanawake tu' ni wote na wanaume...!...ukweli uko hivyo
Пікірлер: 35