aloo watu wa viwandani kwa africa ni mateso Mungu awasimamie
@EagerFriendlyRobot-qx2ui
22 күн бұрын
Hmeshimiwa anajua kudai
@saidalhinai1131
22 күн бұрын
Chai yetu ya Tz ni bora kuliko kenya na nchi nyingi duniani
@DesertTears
22 күн бұрын
Kasema nani???😂😂😂 Ujinga ni kuamini vya kwenu ni Bora ila hamna chochote umasikini tu
@DesertTears
22 күн бұрын
😂😂😂 wanajigaragaza chini sab ya kumuina RC😂😂😂 kumbe miezi minne hawana mishahara
@user-wj6zj1ly4e
23 күн бұрын
Wakpata tenda ya chai kuagiza wanapewa kampuni ya simu, lkn mxhahara ukichelewa srkl iko macho
@REUBENIMWAMBUJULE
23 күн бұрын
Kwanini hawa wakenya wanatusumbua sana nchini kwetu? Na serikali inaangalia tuh Wala ata hawana hofu
@mariamcrispo8296
22 күн бұрын
Watu wanasomesha hawa familia zinawategemea inauma hili limeniumiza na mimi hakuna tofauti na mtu mmoja hivi mwenye kampuni halipi mshahara wala NSSF.
@IddiHasani-vq4rd
23 күн бұрын
Majina ya mway popp ni Cheng
@nsiamasawe4578
23 күн бұрын
Lakini mhe. Mkuu wa Mkoa makampuni mengi wanalipa hela ndogo sana hasa wachina. Wananchi hawakui kiuchumi. Wawekeeni wawekezaji viwango vya kuwalipa wafanyakazi. Wanakuja huku wanarudi kwao wametajirika wanaacha wananchi huku wamedhoofika na umaskini wa kutosha. Afrika iamke Viongozi teteeni watu wenu.
@nsiamasawe4578
23 күн бұрын
Chai imeanguka ndiyo nini, kwani mnapopataga faida kubwa huwa mnawagawia? Wapemi hela zao haraka.
@alanusrespicius1796
23 күн бұрын
Nilichogundua jina MTUMWA walilibadilisha na kuwa MFANYAKAZI, mtumwa na mfanyakazi hakuna tofauti yoyote.
@caesar7745
23 күн бұрын
Wanalipwa na Reba au. This so sad. Hivi viongozi nao mishahara inachelewa
@ScopionScopion-zj9cd
22 күн бұрын
jamani Mimi mshamba hebu Niambieni chai Ndio Nini
@REUBENIMWAMBUJULE
23 күн бұрын
Asisikilizwe huyo kuma alafu hapo wanatabia ya kuwafukuza watu ambao wamehamasisha mgomo
@avitusmichael5
23 күн бұрын
Nilidhani wameanza mkesha wa mwamposa😅😅
@nsiamasawe4578
23 күн бұрын
😂😂😂
@sebastiansalamba313
23 күн бұрын
Wakati wa jpm!!!!!!
@himanmwalwala7569
23 күн бұрын
Mbona hao viongozi wanaonekana wanalipwa
@mariamcrispo8296
22 күн бұрын
Waajiri wengi wanadaiwa sana.
@simongwandu7392
23 күн бұрын
Wafukuzwe siyo wawekezaji ni wanyonyaji
@user-wk8yl6jp9i
23 күн бұрын
Jamani Yaani hata mshahara wananchi wanakosa? Hii ni kitu gani????
@objstv6976
23 күн бұрын
Sio kosa lao hao hiyo ni kosa la sukari kupanda bei na ndio maan watu hawanywi chai 😂😂😂
@mugishamajeba9628
23 күн бұрын
😂😂😂😂
@mtotowamanka
23 күн бұрын
Ss unatupa statistics Kwan mkataba unasemaadje? Nifany kaZ.nilipe kwishaaa
@simongwandu7392
23 күн бұрын
Huyu mkenya ni vipi mbona ananyanyasa watanzania
@masalakulwa7601
23 күн бұрын
Namuona Mr Kasira hapo
@caesar7745
23 күн бұрын
Movie linaanza meneja mkenya. Miaka mbili😂
@vom84
23 күн бұрын
Wakenya wanachukua sana ajira , na sielewi ni kwann
@jasonwatz7457
23 күн бұрын
Elimu yenu haitwngwnezi competitive individuals
@omarybakunda2554
23 күн бұрын
Walipwe
@faharikhamisi3091
22 күн бұрын
RC naomba ondoa huyo mkenya Wana roho mbaya sana hawa kila mahali walipo,hawa jamaa ni tatizo mbona wao wanalipwa vizuri bila shida
@emanuelnisetas7510
22 күн бұрын
Usilaum mkenya bali tatizo latu ni viongozi watu hawajielew na maana unakuta kenye wanafuata sheria bongo kujuana hilondilotatizo
Пікірлер: 34