APOSTLE Adam haji continue to pray for last church preparation be strong and courageous God bless you
@mchungajigumbo3699
Жыл бұрын
Ameen Yesu akupe taji mzuri, kwa kazi njema tuna tiwa moyo
@Aminaamina-us5yj
Adam haji the true man thats worshipping true God may God protect and cover you with the blood of Jesus Amen 🙏 and i wish one day nikuone nitashukuru Mungu wangu sana sorry for what happened to you God knows the best you choosing the right way may Lord our God guide you ❤
@dorcusamisi2926
Жыл бұрын
Asante bwana yesu kwa usuhuda huu hallelujah utukuvu kwa yesu
@sianagodson3690
Yesu Kristo azid kukutumia kwa ajili ya wengi
@Veronica-hv8xt
Жыл бұрын
Tanzania tuna uhuru wa kumuabudu huyu yesu wakati wowte na popote siku ya mwisho tutamwambia nini huyu Mungu ikiwa watu wanapitia hayo yote na bado hawamuachi Yesu
@profs.a5412
Жыл бұрын
Ukiingia uislam sawa na kuingia freemason...ukiingia ukitoka wanakutafuta wakuue . Uislamu basi tu lkn
@nurusaidi3642
Жыл бұрын
Yesu ndio njia ya kweli na uzima
@amonboniphace735
Mungu awatie nguvu WAKRISTO WA KISOMALI. Na awafungue macho Wasomali wengi warpath wokovu na mateso yaishe kwa WAKRISTO.
@NeemaMeshaki-qm4ew
14 күн бұрын
Mungu wa MBINGUNI atupe Neema ya kumjua Zaid Ili tuweze kushinda
@mamakofi6178
Жыл бұрын
Yooo Mungu wangu Munguuu umupe Mbingu mutumishi wako
@user-mk9ii7nf5u
Жыл бұрын
Surely your testimony inanifanya nijikaze kumtafuta mungu siku sote🎉❤
@KelvinMwandemelela
Kweli wa kwanza atakuwa wa mwisho, wakristo tumelala sana
@dorcusamisi2926
Жыл бұрын
WAKRISTO tuko na neema saaaaaan ya kuokoka YESU NI BWANA
@emmanuelthomas4967
MUNGU akuzidishie Nguvu za kiroho.kwa jina la YESU.
@JohnKingondu-yn4zf
Katika maisha yangu huyu pastor ndiye aliye niguza moyo wangu kwa sababu siyo laisi waislamu kuacha dini yao asa wasomali na kuwa mtumishi wa Mungu hili ni jambo la kutia moyo zaidi kwanza ushuhuda wake jameni!!!! Mungu wetu amtie nguvu na ujasiri zaidi na zaidi
@twalibuiddy3743
Жыл бұрын
Mwenyenzimngu aliye tuma yesu kristu akupe mwisho mwema, maana unaweza ridhisha waana waadam kwa kuwadanganya ukitumiwa na makafiri, ila kesho kuna kifo na mbele ya Mwenyenzimngu utaulizwa
@eliasjoseph5742
Жыл бұрын
Hivi kwanini waislamu wakibatizwa wenzao wanakasirika? Mbona wakristo wakijiunga na uislamu hakuna usumbufu wanaoupata? Mungu tunayemwabudu ndo huyo ambaye nanyi mnamwabudu
@johnmkama8902
Жыл бұрын
Kusema ukweli wewe ni mtumishi wa MUNGU ubarikiwe Sana Adam Haji
Пікірлер: 130