Dada huyu mtangazaji nimempenda na kumkubali, anajua kuhoji maswali na kumwongoza msemaji. Kwanza yeye ana ramani ya anachotaka msemaji aseme, anahoji maswali key. Mch Katekela ameongea sana mambo haya hasa PROMOVER TV si rahisi kusimulia story ndefu kama kwa kurudiarudia, anajitahidi sana. Mungu awabariki sana, mnawasaidia sana watu kutafakari ukweli kuhusu Mungu na shetani. Jina la Bwana Yesu lizidi kuinuliwa
@catherinekitonde2745
Күн бұрын
Wewe mtumishi, haukua mbaya, mbali ni roho chafu walikuweka. Nashukuru Yesu Christo Mnasareti alikuona kama mtoto wake na mtumishi wake na akakuokoa kupitia maombi na mafunzo ya neno la Mungu. Mungu akulinde Kwa kiwango ambacho sisi binadamu hatuwezi kuelewa. Bwana Yesu Christo atembee na wewe siku zote na akirudi kuchukuwa kanisa lake asikuwache. Nina kuombea Kila siku Kwa maombi yangu. Much love in Jesus Christ. Watching from Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rerisamba
2 ай бұрын
Tunao tokea promover TV hey👋👋👋
@MariaKunoga
29 күн бұрын
Hi
@user-eq9hl9vg2x
2 ай бұрын
Mungu akutunze jmn mtumishi wa mungu Amieli katekela tunajivunia wew mm nakufatilia sanaa na mambo mengi navuka na kujipa guvu kupitia mahubiri yako binafs Nakupenda sanaa sanaa na ninakuombea sanaa maan nabarikiwa sanaa na huduma yako❤❤
@user-ii7yw9ng5d
16 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe,kwa kutuletea mtumishi huyu!,amiel ubarikiwe,Amina.
@desderykarugaba1826
2 ай бұрын
Mungu amekutoa mbali sana Mchungaji endelea kumtumika bila kuchoka, kuwa tayari wakati wote unaofaa na usiofaa.
@charleskuyeko1660
2 ай бұрын
Hongera sana Mchungaji kwa kazi nzuri ya Mungu. Ushuhuda wako umenibariki sana. Namtukuza Mungu kwa ajili yako.
@VeronicaNyambu
2 ай бұрын
Hongera kwa ushindi karibu Kenya ,ueneze neno la Mungu
@tabithajeremiah4589
2 ай бұрын
Amen mtumishi,umekuwa wa Baraka kwangu na Huwa sichoki kukusikiliza Ubarikiwe na MUNGU akutunze ulitimize kusudi la Bwana kwenye kizazi hiki
@USHINDIMANENO
2 ай бұрын
Amen baba namshukuru YESU Kwaajili yako sasa vita kwaasilimia kubwa kupitia wewe naifahamu
@JaneKuyokwa-ng2qf
2 ай бұрын
Mungu yesu roho mutakatifu wakulinde tenanatena
@yalalaambobe9528
2 ай бұрын
Amen amen Mtumishi wa Mungu mimi mwenyewe napendelee sana maombi na neno la Mungu lidumu milele
@mazulacelestine3038
2 ай бұрын
Mungu ana michoro mingi sana,hata hiyo huyo mchungaji kukukataa ilikuwa ni mipango ya Mungu ili watu wengi waokolewe,ndio maana mtoto akafufuka
@gracekaniki6954
2 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni atukuzwe Sana Sana mtumishi endelea mbele kumtumikia Mungu aliye hai usichoke simama imara umhubiri Kristo Yesu ili watu waokolewe Mungu akulinde akupe nguvun Roho mtakatifu aendelee kujaa ndani yako ili kila utakapohubiri watu waokolewe, waponywe na kueekwa huru.Furaha yangu ni kubwa Sana Sana barikiwa Sana mtumishi wa Mungu aliye Amen
@bennygwasa4563
2 ай бұрын
Gloreeeeeeeeey to God, Mungu azidi kumtia nguvu Pastor Katekela azidi kuhuburi inji kwa usajili ❤
@user-hg7np4ig9o
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana uwe na mwisho mwema
@user-kk9zw5lc1g
2 ай бұрын
Amen mi pia ni kama wewe mi pia nlipitia stor ka yko ijapo sikufika kama kwako,lakn tusife moyo tuendelee mbele na yesu kristo,mbele mbele na yesu daima milele
@neemakamgisha2951
14 күн бұрын
Unanibariki sana
@musakasingo594
2 ай бұрын
Barikiwa kwa Ushuhudaaa
@myself4128
Ай бұрын
Mungu amemuheshimisha Mtumishi wake,Walikukataa bila kujua kuwa Wanatimiza unabii wa utukufu wa Mungu kuonekana katika maisha ya wengi,Hakika Mungu ni Mwema! ulidhalilika mwanzoni lakini Mungu akakuinua ukaheshimiwa na Mungu akatukuzwa zaidi
@MatildaMakawia
2 ай бұрын
Asante sama kwa ushuhuda wako mchungaji barikiwa sana umenitia moyo
@naomicharles5444
2 ай бұрын
Imani ya kiwango cha juu kabisa
@bennygwasa4563
2 ай бұрын
Woow Asante sana Asante sana mtumishi na Ny tv I'm so blessed nimejifunza mbinu za kiroho
@MatildaMakawia
2 ай бұрын
Hakika Yesu anaweza
@rosterfarijala2979
28 күн бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
@SelestinaHamis-dw1gs
15 күн бұрын
Nimecheka Sana Kama mazuri
@user-fu6fx8if6w
2 ай бұрын
God bless you mtumishi,umekuwa wa baraka kwetu kweli, Mwenyezi Mungu Azidi kukulinda na familia yako.🙏
@skeetergodwins2576
2 ай бұрын
Ninafurahi kumuona Mchungaji akiwa na afya nzuri. Mungu aendelee kukutunza
@faithe4063
2 ай бұрын
Amen and Amen huyu mtumishi ni mtumishi wa Mungu aliye hai maubiri yake inaniinua kiwango kingine abarikiwe kweli
@user-iw1yq3op8f
2 ай бұрын
Amina mtumishi mungu aliye mbinguni akubariki sana
@HannahNjoroge-dd8fg
2 ай бұрын
Halleluya Yesu Kristo ni Bwana wa mabwana
@user-pq6kr5gg3f
2 ай бұрын
Hongera mtumishi Bwana akutetee
@aminakyungu8414
2 ай бұрын
MUNGU akubaliki mtumishi wa Mungu
@jillianyohana2166
2 ай бұрын
Hongera sana kwa ushindi
@jovinmwesige8520
2 ай бұрын
Very powerful testimony
@BahatiMadata-vk6tg
2 ай бұрын
Bwana Yesu akutunze mtumishi.
@KellyNishimwe
2 ай бұрын
Amen amen pastor
@wilsonkombeyeri4623
2 ай бұрын
Bendera chuma, mulingoti chuma...mtumishi Mungu akubariki lakini pia usikae sana uje Mombasa tena ..karibu sana
@HannahRichard-ru3rj
2 ай бұрын
Nadhan angefanya interviews na Erica angefunguka sana
@nehemiahmguluka1996
2 ай бұрын
Powerful
@FredyMkeny
2 ай бұрын
Najifunza mengi kupitia kwako mtumishi wa Mungu
@annaombay9417
2 ай бұрын
Mchungaji Katekela wewe ni mtumishi mzuri wa Mungu embu nyoa kawaida kuepusha maswali. Unakwama wapi wewe??
@FlorenceAkinyi-rq3hx
2 ай бұрын
Alikwisha kufafanua Kwa nn Ananyoa hivo. Usikwazike.
@re.emmanuelmdoe3345
Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@barakanatus5676
Ай бұрын
Huduma ya kweli inaambatana na kujitoa
@EliasHerman-qy4gt
18 күн бұрын
Asant san
@vickysteven1172
2 ай бұрын
Ameen Ameen
@FlorenceAkinyi-rq3hx
2 ай бұрын
Nimecheka hadi machozi yakanitoka, ila huyu Mungu ananishangaza sana.hadi mtumishi apigwe fimbo nyingi ndio mtoto apone na pia watu kuokoka. Huwa nafurahia sana huyu Mtumishi wa Mungu akisimulia shuhuda zake. Siku nyingine hakuwa na chakula kwenda kibarua cha shambani, jembe likavunjika tena likapiga mbuzi akafa, kisha akatoroka hadi nyumbani, nyumbani wakala samaki bure bila sima, ndio baadaye mtu akamletea unga mwingi, huku washamaliza kula samaki bure. 😂😂😂😂
@EvelyneRwejumul
2 ай бұрын
Sababu unayo ni Yesu yy ni dhahabu ya roho
@veronicahkhaikwa4929
2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe, huyu mchungaji alifanya aokoke jamani naomba atutajie ama alisha teleza
@elbaricktv1632
2 ай бұрын
Naomba namba ya mchungaj katekela
@goodluckjoseph3540
2 ай бұрын
Nipo geita hapa nalitafuta hilo kanisa unalolichunga nije niabuduu hata Ibaada moja
@user-eu7xq1sg6b
2 ай бұрын
Kipindi icho simu kubwa kulikuwa hamn ili tuangalie ulivyo kuwa kipindi umekimbilia chooni
@user-by5dh2wx1e
2 ай бұрын
Kwakweli katekela mimi sijapendezwa na kunyoa kidunia sijui kama biblia inakubali au sisi
@saidabdalla8996
2 ай бұрын
Kwani mtu akizaliwa huwa anazaliwa na nywele Mbona hayupo jibaya mkato wa kawaida du ndugu
@SelestinaHamis-dw1gs
15 күн бұрын
Mfwatilie Saiv ananyoa vizuri
@user-pl9fp1ul2m
2 ай бұрын
Unapokuja Duniani kwenye makanisa ulikuwa unakuwa ktk hali ya mwili au?
@leonidasbzzojoyhatung3118
2 ай бұрын
Kuingia kanisani Dunia alikuwa anaingi kwa Hali ya kipepo ndani ya mtu.dark angel.
@rerisamba
2 ай бұрын
Mfatilie promover TV utamuelewa sana
@stellamwapinga6944
2 ай бұрын
Wasaidie na wengine wanaotamani kutoka huko, ila mambo ya shetani ni uchafu mtupu kula mavi
Пікірлер: 64