Mungu saidia icho kiongereo kiwe salama. Twakupenda sugu.
@hussenimlimati9592
5 жыл бұрын
Mhe sugu Huo ndio u Tanzania wadamu
@jocenocha8846
5 жыл бұрын
Leo Sugu umetisha sana hizo ndio siasa nzuri duniani kote
@mwittaminoja4686
4 жыл бұрын
Tulie. Enda. Shule. Tunamunga. Mkono
@ammymhagama5483
5 жыл бұрын
Safii sana kamanda sugu ujumbe umefika wezetu wanaona kama upinzani niuadui kumbe ndio kioo chawatawala kujua wapi wanakosea wajisahihishe
@hdmtanzania2617
5 жыл бұрын
Sugu hizo ndo siasa nzuri, sio siasa za chuki na kupinga kila jambo kwa wenye akili umefanya jambo zuri kuheshimu mkuu wa nchi jeurijeuri kama za Heche ni utovu wa nidhamu, hata vitabu vya dini vinatuasa tuziheshimu mamlaka zilizowekwa maana mamlaka hizo zatoka kwa Mungu, kuanzia leo nakuheshimu Mh sugu kwa nidhamu uliyoionyesha mbele ya mkuu wa Nchi, safisaaaana
@maskinijeuri5943
5 жыл бұрын
HDM Innovation sawa kabisa mzee sugu
@mwaminifungo4665
5 жыл бұрын
huo ndo ustaarabu kaka sugu au Rais wa mbeya unastaili kua kua kiongozi wewe ni jasiri mungu atutunzie amani hii
@kwamemchauru4141
5 жыл бұрын
Asante sana kaka.. God Bless you always.
@khalidgugu4964
5 жыл бұрын
Sugu Sugu, amehakikisha ubunge wake kuwa endelevu pale Mbeya #MVMP
@wilsonjohn1919
5 жыл бұрын
Sugu /magufuli hapa kaz tu maendeleo hayana chama
@khadeejaabdullah7083
5 жыл бұрын
Hongera sana sugu
@christophermlaponi534
5 жыл бұрын
Ndiyo faida ya ujasiri! Ameongea vema, kwa heshima bila jazba !!
@shedyjr3227
5 жыл бұрын
Huyoo jama mwenye suti nyeusi alivyokimbia yani angeanguka ndoo angekomaa na kihere here chake
@djkaka5580
5 жыл бұрын
safi sana mh sugu hiyo ndo siasa hakika nimefu rahi sana mh rais atakuruhusu kuondoa mafindofindo ya kisiasa big up bro bravo!!!!!!!!!!
@jaffarmguwa5566
5 жыл бұрын
Leo kaongea vizuri
@joshuamlingwa4735
5 жыл бұрын
kama amefundishwa adabu kwanini asiwe na adabu
@tolutolu2970
5 жыл бұрын
Ajaomba kazi. Ayo siasa inaaza kukupoteza bro. Juzi boni kakulalamikia Leo tena
@sekakigala3613
5 жыл бұрын
Kawa fala sana uyu
@rosezumba6318
5 жыл бұрын
Safi sana mbunge
@ireneemanuel9501
5 жыл бұрын
Sugu upo vizuri Sana umeongea point Sana Mimi ni mwana ccm ila umetisha wangu bigp san
@kaspunerick5696
5 жыл бұрын
RAIS MaGUfuli uzinduzi wa barabara ya chunya
@yasinmuona7335
5 жыл бұрын
Howo ndio uzalendo na adabu kwa mkuu wa nchi yeko
@kusekwasita1576
5 жыл бұрын
Chadema wabunge bunge lijaro, sugu, jay haule lazima
@fredreckmwakalinga3475
5 жыл бұрын
Mbunge gani wa ccm anaweza kuwa jasiri kama sugu kutoa hoja ?
@anuaryally6177
5 жыл бұрын
Huo ujasili wake angojee kikao kikuu cha wakuu wa juu ya chadema wakushughulikia wanaomuunga mkono rais kikiongozwa na mbowe
Yani Rais yupo vizuri sana sasa waliovaa suti shida hadi kichefuchefu
@eng.danielwinani7439
5 жыл бұрын
umewazd kete akna lissu
@frankmosha5854
4 жыл бұрын
Safi sungu
@anganilemichael2283
5 жыл бұрын
Ameomba kazi gani hapo ayo au na wewe umeanza kama vimedia vingine kuongopa
@mwittaminoja4686
4 жыл бұрын
Yuko. Vizuri. Anajitambua
@mofathool4158
5 жыл бұрын
Rais wetu mpendwa nakukubari sana watanyooka wote ila zidisha tena kukaza heshima itarudi tu
@fredreckmwakalinga3475
5 жыл бұрын
Mofat Hool akili finyi kutafakari mambo
@emanuelsamkinda4228
5 жыл бұрын
Hongera kwa upumbav wako,, we box kwl,,, mwambie akukazie we
@mofathool4158
5 жыл бұрын
@@emanuelsamkinda4228 mwenzio kafyata wewe unasubiria usuguliwe km shoga mwenzio lisu
@Mngoniboytv
5 жыл бұрын
sugu unatisha mlizi wa rais kumbe unasalimia
@juvenalymnyama735
5 жыл бұрын
Ayo umeshakuwa mkuda kwa nn unakata sauti wewe au umeshakuwa kibaraka
@japhetjoseph1772
5 жыл бұрын
Hii ndio ukomavu Wa siasa
@happyfiverickaldo4662
5 жыл бұрын
Huyuuuu jamaa namkubali
@mwanaidosanga5547
5 жыл бұрын
Siasa ndivyo inavyotaka
@johnngowi8481
5 жыл бұрын
Kwa maulizo yangu ni nani anae takiwa kuongea shida Za wananchi zote ???maana raisi kaenda kuongea na wananchi na msheleshaji ana mbania mda kisa watoto kucheza nyimbo Za kusifia jamani
@alicegeorge3401
5 жыл бұрын
AIBU shuuuu kiongeleo unashida
@kaidrisa2711
5 жыл бұрын
Dah mbna mabodi wanyanyasaji sana
@alicegeorge3401
5 жыл бұрын
Kiongeleo ana Kera Sana
@calvinkitaly9376
5 жыл бұрын
Raisi wa mbea.
@hassangaudence1814
5 жыл бұрын
SUGU HAKIKA FAHARI YA MBEYA
@boazmtileghe9161
5 жыл бұрын
😂😂😂 BIG UP Sana mzee Baba umeongea vizuri
@beatriceemanuel1098
5 жыл бұрын
Yani mamboyamaana wanawapa muda mdogo sana
@gabrieldenicc4502
5 жыл бұрын
Wanalinda mshahara wao matumbo joto
@sokaupdate5545
5 жыл бұрын
First to comment
@vanyjunior1708
5 жыл бұрын
Nilikwmbia lakin sugu,kaka mkubwa uko mkweli
@kaspunerick5696
5 жыл бұрын
Rais magufuli uzinduz wa barabara ya chuny
@kassimrajabu7805
5 жыл бұрын
Kamanda
@otianasang1553
4 жыл бұрын
MUNGU aendeleee.kukutunza Mbilinyi
@aloycelosyekui9078
5 жыл бұрын
SUGU Ukosawa kabisa kwa maongezi yako
@amanimariki7631
5 жыл бұрын
alafu Ayo unatumiwa na CCM mbona unabana bana sauti bhana
@loner_wolf
3 жыл бұрын
Mc unaongea sana punguz kihelehele huyo mbna muelewa acha amalize mazur yaliyofanyika mbeya basi tuyajue
@sokaupdate5545
5 жыл бұрын
Wakwanz jamb
@izhadiabuu593
4 жыл бұрын
Mipango ya bilget
@wazirijuma7621
5 жыл бұрын
ongera muexhiwa
@grecehuyukibanishida5595
5 жыл бұрын
acheni unafiki wandishi was habari kenge nn
@sponsor7882
5 жыл бұрын
NAOGAPA ANAELEKEA CCM
@sekakigala3613
5 жыл бұрын
Kaomba wapi kazi acheni ufala nyie ayo TV, alaf mbona sugu alivyanza kuongea kuhusu wafuasi wa chadema kutengwa ulianza kukata sauti
@georgeangyelile7016
5 жыл бұрын
Mwenye sura ya uvumilivu
@ibraahmbena
5 жыл бұрын
Unazingua tittle yako mbovu.
@majadotto9513
4 жыл бұрын
Sugu anachapa kazi sana sio kama mr konyagi huyu akishinda ni juhudi zake za uchapa kazi huyu ni wapili kwa professor j
@zakariampembela7100
5 жыл бұрын
Mbeya Sisi ni watu wa Amani tu. Ila hatupendi maonezi au uvunjwaji wa haki
@anuaryally6177
5 жыл бұрын
Akuna anayependa maonezi au uvunjwaji wa haki duniani kote
@dc39139
5 жыл бұрын
Hata kama sipendi tabia za watu wa CDM Sugu nimekukubali wewe una chembe za uzalendo kabisa bila unafiki
@zakariampembela7100
5 жыл бұрын
Upo sahihi Mhe. Mbunge
@anuaryally6177
5 жыл бұрын
Wale wa kushughulikia kamati kuu ya wakuu wa juu wanakusikia unampongeza rais utaitwa kikaoni siku si nyingi na mbowe ushughulikiwe
@osweggemwakajumba3390
5 жыл бұрын
Blogger acha ukuwadi wa kiboya.
@babarenee4797
5 жыл бұрын
Sugu mtu.....!!!
@hajihassan5433
5 жыл бұрын
Mimi hushituka na kuogopa sana Mbunge ambae jukumu lake kubwa Kikatiba ni kuishauri na kuisimamia Serikali nikimsikia ni mfanyabiashara, kinachonipitikia akili kwangu ni kuwa yupo kwa maslahi binafsi na kuwalinda na kuwatetea hata ikibidi kwa rushwa wafanyabiashara wenziwe. Rushwa na Ufisadi mkubwa Serikalini kama vile Richmond, Melemeta nk zilitokana na viongozi wa Serikali (Wabunge/Mawaziri) kuwa wafanyabiashara. Kama Rais na Watanzania tuko vitani na Ufisadi namuomba sana Rais aliangalie vizuri jambo hili. Azimio la Arusha lilipinga vikali jambo hili.
@lemumsesa5039
5 жыл бұрын
Unaongea nn mzee
@lemumsesa5039
5 жыл бұрын
Ww ukiwa mwl au mwanasheria serikalin huwez kufanya biashara au uyo mbunge angekuwa kaka yako ungependa awe anasubr mshahara tu
@alfaniismail529
5 жыл бұрын
Dunia ya leo siyo ya miaka ya 1960's angalia nyakati mzee
@hajihassan5433
5 жыл бұрын
@@lemumsesa5039 Ndio, ningekuwa Rais au Rais angesikia ushauri wangu nisingekubali mtumishi wa umma level fulani kama Mbunge/Waziri na maofisa wengine ningewataka wachague biashara zao au uongozi ni hatari sasa. Unategemea nini sheria inapitiswa wewe upo na inabana biashara yako utakaa kimya? Kama hujuwi Wabunge wa Tanzania wanapiga hela ndefu kwa kulinda maslahi ya wafanyabiashara wakubwa. Je, itakuwaje akiwa yeye ndio mfanyabiashara. Mimi nisingekubali Kiongozi wa umma akawa mfanyabiashara, unategemea bei ya pembejeo ishuke ikiwa wa kusema ishuke ndio mmiliki wa hiyo biashara?
@hajihassan5433
5 жыл бұрын
@@lemumsesa5039 Vyeo vya kisiasa ni vyo kujitolea zaidi.
Пікірлер: 111