Mungu akuepushie hayo mawazo mabaya aisee na wote waliokosa majibu na utatuzi wa matatizo yao😢
@hildajoel5
Ай бұрын
Kuna nyakati unaweza kupita kama huna mtu sahihi wa kuongea nae haki unaweza kufanya maamuzi ya ajabu. Huyu kaka alifika mwisho wa akili yake ya kawaida ni nadra sana kumuona mwanaume analia hivyo mbele za watu.Uchungu aliobeba ni mzito.Mwenyez Mungu tujalie kila mwenye changamoto iliyomzidi uwezo amuonyeshe neema na njia ya kupita iliyo sahihi.Haya maisha yana mambo mengi sana😢Nyumba amejenga zaidi ya miaka 19 inavunjwa kimakosa na watu hawana habar aiseee😢😢😢
@joycekisamo4896
Ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa kwa kufanya kazi zako kwa moyo wako wote, kutumia taalama, na kwa kufuata haki. Umejaliwa usikivu, na hiyo inakusaidia sana. Kila la kheri 🙏🏽
@johasaeed391
Ай бұрын
Aisee kwakweli nimelia
@augustinesombi6285
Ай бұрын
Utendaji kazi wa Mh. Jerry na Rc Makonda, naomba watumishi muige,, tuache kujijali wenyewe kwa mamlaka tuliyopewa, kuna kifo na hukumu, tusisahau.
@audaxbizimana8084
Ай бұрын
Duuuh huyu waziri mbona naona huruma😢😢😢😢😢 Mungu Baba wa Mbinguni Akutunze MHESHIMIWA❤❤❤❤
@kulwankuba2785
Ай бұрын
Makonda na huyu mkuu silaa mungu awasimamie katika maisha yenu.
@susanwambui6361
Ай бұрын
Kazi nzurii mhesimiwa👏👏
@ireneimbuhira7759
Ай бұрын
Feel his pain 💔 😢👏 pole sana kaka
@jumapiliissa4835
Ай бұрын
Muheshimiwa M/MUNGU akulinde sana na aendelee kukupa hekima uliyonayo kazi njema
@mr.yahzadochuno7914
Ай бұрын
I love this man
@neemanziku5403
Ай бұрын
Hongera Sana jerr silaa tunakupenda mno Mungu akutunze
@mwanakombopopo5117
Ай бұрын
Duh paka machozi yanitoka 😭😭😭 ya Allah tuhurumie waja wako hasa ss wanyonge na atujalie kupata tutakacho weza kunitumia kwa njia ya haki sio chakudhumu watu wasio na atia
@rehemaadam4102
Ай бұрын
Mdogo wangu Silaa Mungu akubariki kwa upendo wako mimi nilizurumiwa eneo langu la biashara Mikumi na mama mmoja wa kichaga na nilimshinda kesi Mahakama ya Rufaa Kilosa kwa pesa yake nikanyinwa haki yangu😭
@christainc.5217
Ай бұрын
Mutafute makonda kaka atakusaidiy
@user-sx1xi4yb2z
Ай бұрын
Waziri hongera na mungu akubariki,,, Naomba uje na kwetu kibaha,,,kata ya kidimu, Tumezuiwa kujenga ili kupisha ujenzi wa bara bara nane,,miaka Sasa imepita,,Hadi tuna zeeka,Kila siku tunapigwa tarehe tuu ya kulipwa pesa zetu za fidia,, Baba tunaomba uje kibaha jamani,,
@muniraahmed624
Ай бұрын
Asee imeniumaaaa Sanaa nimeliaaa ma mm 😢😢😢 huyu jamaa namfaham anauza cheni pale stendi
@mahmoudhamisi673
Ай бұрын
Dah jamaa kanifanya mpaka na mm nalia
@ashuramuhammed3257
Ай бұрын
Huku Zanzibar hakuna viongozi kama Hawa why kwel zenji si nchi zuluma tupu huku #
@Natashawaziri-bv2xl
Ай бұрын
Wallah tunaumizwa sana ktk hili
@ElihurumaThomas-kz8nq
Ай бұрын
JERRY SLAA NI KIONGOZI MZURI MUNGU AMPE NAFASI KUBWA ZAIDI KATIKA NCHI YETU
@janetchinga695
Ай бұрын
Nakombea waziri Stra mungu akulinde baba uishi myaka mingi usizeke akaraka ufanyekazi apaduniani ❤❤❤❤ from Capetown South Africa
@StellaWaillu
Ай бұрын
Mungu akulinde mh Jerry
@fatmamati5246
Ай бұрын
Allah akubarik muheshimiwa na akulinde na kila hatua unayo piga amiin
@malietamalieta9658
Ай бұрын
Nyie nimejikuta nalia jmn 😢bduuh hii Dunia mwenyezi Mungu atusaidie aki pole kaka etu baba etu alifariki 2003 akatuacha na mama pekee ndugu zake wakachukua Kila kitu mashamba alikua na maboti wakachukua ila adi sai Mwenyezi Mungu kamsaidia mama angu adi kutufikisha apa azid kumpa maisha marefu mama angu mzazi 🤲🙏 amen 🙏
@boniventurehussein7276
Ай бұрын
Makonda kuja Arusha tunashukuru jer slaa pia Mungu akulinde tunanyanyasika
@naigeorge7765
Ай бұрын
MUNGU akutunze Mh.waziri.Tunakuombea
@RASHIDMOHAMMEDI
Ай бұрын
Mwenye kujua njia ya kumpata muheshimiwa naomba connection yake please sababu hata sisi na familia yetu tumezurumiwa vya kutosha na tunatamani tupate haki zetu
@njuka3515
Ай бұрын
Huo ndio uongozi sio ule wa kukaa kwenye viti ofisini
@THOMASMAYOGU-vu5ny
Ай бұрын
Hongera sillaa❤❤❤❤❤
@JescaMuyabi-ix8ly
Ай бұрын
Pole Sana
@paulinakiria7918
Ай бұрын
Huyu kaka ameongea Kwa uchungu
@OllerDesononline6333
Ай бұрын
Kaka Allah akulinde n wakuache ktk kitengo hicho hicho. Naimba serikali kwahlo. Insha'Allah
@ruthleonard2958
24 күн бұрын
Nimelia jaman.. Dah katika yote Mungu yupo
@rewardyesse7314
Ай бұрын
Hata ningekuwa mm slaa ningelia,,ni machozi flani hivi yanakutoka baada kugundua ulifanya jambo lililobadilisha maisha ya mtu bila ww kujua,,,hotuba imeleta tumaini
@karolikisaka8991
Ай бұрын
Ccm hutengeneza tatizo halafu waje walitatue kupata kick. Hili eneo kesi imechukua miaka zaidi ya 30 je serikali ilishindwa kutumia busara. Kwa tulioona hili eneo kiukweli inauma sana
@joycekisamo4896
Ай бұрын
Masuala ya Ardhi kuchukua miaka si ajabu. Lakini usisema tatizo limetengenezwa litatuliwe! Mheshimiwa Waziri anafanya kazi zake kwa moyo na haki. Acha kumtuhumu kwani hujui ufanyaji wake wa kazi. Jiongeze zaidi.
@nassercurtis9579
Ай бұрын
Huna akili wewe mpumbavu, kila kitu ccm, huyu jamaa ni kijana na muadilifu hana njaa na hatokei kwenye njaa na kwao yeye peke yake ndio mwanasiasa, malezi na maadili mema na hofu ya Mungu ndio humpelekea kuwa hivi, ila hata makonda nae si kijana? Na kazi yake si inaonekana? Tuliwaamini wazee ndio walitufikisha hapo na wala si maswala ya chama.
@KS-iw7qv
Ай бұрын
Akili za kufikiri ujinga 😢😢
@user-cb5zb3fy8y
Ай бұрын
MAMA etu SAMIA Hawa ndo mawaziri wakuwakumbatia na watakao kuvusha. Achana na mawaziri wale wenye swager nyiingi mdomoni lkn hawana uchungu na mateso wanayo pitia wa TZ
@vickyshayo7880
Ай бұрын
Jerry kaletwa Na Mungu tuendelee kumuomba jamani pole Sana mwanangu kwa kweli umeumia
@ahmesaofficial9611
29 күн бұрын
Mitaaa ya kibaha (kidimu) piaa wananchi wanateseka na masuala ya Ardhi
@eddietaxidriverzanzibar4395
Ай бұрын
Hii Safyy MuheshmiW 🔥🔥🔥👏👏
@user-gr6wb9oq1n
Ай бұрын
Uyu ndo magufuli wapili nazani watu sahi Bado wapo
@user-vf5gs7ik7w
Ай бұрын
Kbs
@judyngowi391
Ай бұрын
Tuwaombee sasa hawachelewi kuwaondoa
@ramadhanisalum3898
Ай бұрын
Hapa paul makonda pale jerry silaa wee spana watakula wale wezi na wapenda rushwa
@christaoman8890
Ай бұрын
Kwa kweli muheshimiwa Silaa kwapamoja muendelee kuungana na Makonda ili muwanyooshe mabepari na makabaila yanayodhulumu mali za watu
@johasaeed391
Ай бұрын
Jamani 😢😢😢😢😢😢😢 uwiiiii nakufa kwa uchungu nilivyo hapa nataabika kutfuta pesa nimalize nyumba yangu alafu nizulumiwe jamani inauma sana
@MrishoHussein-oz9nr
Ай бұрын
Mh mmungu akulinde maana kupambana na manyangau kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mmungu utashinda vita hivi
@safiaothman5175
Ай бұрын
Pole kaka Mwenyezi Mungu yupo nawe.
@suleymanimixkatafighter2669
Ай бұрын
Mh silaa nafanya kazi nje,ma sanaa ameokoa uhai wa kijana
@ajaykilawah2622
Ай бұрын
Imargin slaaa waziri mkuu na makonda raisi wanchi😅😅
@LudovickTibakyenda-gs2wh
Ай бұрын
Makonda waziri Mkuu, Jerry Rais
@neemaneychricious6493
Ай бұрын
daaah mwanaume mpka alie ameumiaa kwel mwenyew mpka nimelia daaah pole sana broo na mweshimiw hii ndio talantaa umepew na Mungj na Mungu akutetee piah
@PASCHAL-kh8qp
Ай бұрын
Kazi nzurii mheshimiwa wazir
@Josephineexsuper
Ай бұрын
Pole sana kaka...Arusha Kuna maumivu sana...mh.waziri Rudi umalizie kiporo Cha clinic. KUMBUKA ulituahidi...tuna maumivu makubwa sana
@MonicaDamsoniMonikaDamsoni
Ай бұрын
Mungu akubari sana kaka
@SaadiyaMohammad-og5bg
Ай бұрын
Goog wazire hakee huyo bro amitowa machozia apatea hakee yake naww wazire mungu takulipa
@LovelyOmbreSky-pu4jt
Ай бұрын
Hii ndiyoo tanzania ya sasa mwenye pesa anakuwa na mamlaka ya kufanya lolote lakini Kuna baaziya viongozi wachache wanajaribu lakini mmmm itakuwa ngumu sana coz wapo wachache kuokoawanyonge
@mswadikinamambo2276
Ай бұрын
Mkuu, habari tunachangamoto ya mgogoro wa ardhi nyumba zetu zinavunjwa bila utaratibu elekezi tunamuomba mheshimiwa silaa namba zake nasisi tutoe kero zetu, matatizo ni mengi sana yanatuandama wananchi
@MagdalenaMatiko
Ай бұрын
Mungu hajaruhusu kifo chako
@mwantumuhassani5086
Ай бұрын
❤ mwenyezi mungu akulinde silaha
@abedysteven4930
Ай бұрын
Aisee ila haya maisha bana Kama Huna pesa 2tateseka xana dah😭😭😭
@user-yp8vt8ni8e
Ай бұрын
Najiuliza maswali mengi sana Ivo chain ile inafanana nini hawajui wajibu wapi au
@fifo262
Ай бұрын
Mungu tusaidie na ugumu huu wa maisha tunaopitia
@user-kt1vy1wf7d
Ай бұрын
Ooh lord, it's so painful, but God is good
@frankazalia5985
Ай бұрын
Polèe sanaaa aseeee
@giftyjohn3852
Ай бұрын
Haya mambo ya kisenge kisenge tutakuja kuuana siku moja😭
@eddytheophil7626
Ай бұрын
Pole sana brother..
@user-pd1kt3xr3s
Ай бұрын
Yaani inauma sn uje na dar es salaam mkoa wa pwani kibaha uku niatari mh
@zabibubashiri3034
Ай бұрын
Daah nnamwelewa huyu kaka tunatafuta kwa shida sana mtu kujakukupora ulichokipambania mhm
@honoratusmodest285
Ай бұрын
Mimi nimezulumiwa eneo langu lindi jelii njoo lindi
@user-cz5oy1od5d
Ай бұрын
Nchi ya mateso tupu, Jumatatu hadi Jumapili. January mpaka December.
@babazungu3180
Ай бұрын
Tatizo letu sis watanzania hatupendan kabisa roho mbaya ndiyo inatumiuumiza sn
@LeonardChacha-it2pb
Ай бұрын
Jaman viongozi mjitathimin dhambi mbaya sana hiz,
@reginamtitu5592
Ай бұрын
Ayo TV nawapenda sana naomba na mimi mnisaidie mimi na mme wangu tunateseka tunaishi kwashida naomba mnisaidie
@thomastemu3332
Ай бұрын
Inauma 😢jamani mungu akutie nguvu waziri wangu
@denisrukangula2227
Ай бұрын
Ukiona mwanamume analia ujue kaumia sana
@chany9950
Ай бұрын
Nimejikuta naria 😭😭 pore baba🙏🏾
@SKY-fk3fz
Ай бұрын
Arusha kumezidi kwa dhulma
@MariaChiwaligo
Ай бұрын
Hata cc shamba letu limeuzwa kitapeli .. cijui nampataje
@Allybinamour
Ай бұрын
nataman huyu wazir angekua mzanzibar akafanya kazi huku
@ChemworldTV
Ай бұрын
Nyi wazanzibar mbona naona mambo yenu yanaenda vizuri tu... huku kwetu ndo hatari sana
@KassianChengo
Ай бұрын
Mheshimiwa kuna Eneo la Kimele kule Bagamoyo karibu na Shule ya BAOBAB kuna ukatili watu wanadhurumiwa viwanja na pesa na watu wanaojiita Kamati ya Ugawaji wanauza viwanja mara tatu,nne mpaka hata mara saba msaada wako Mheshiwiwa.
@EsterMbise-pj4vd
Ай бұрын
Jamani huu ni wakati wa mungu kuwasaidia watu mungu aendelee kuwalinda jamanimsaidie watu
@NixonJohnson-zn8nk
Ай бұрын
Mimi sijiui nitaua... Weeee mtu asiniletee umwamba nitampotesa ili na Mimi nipotee sio nipotee ni la wao
@ismailchibonda5005
Ай бұрын
Aise dah! Inauma sana
@imanimussa6256
Ай бұрын
Watu km huyu wazir hawakushuka tu bali ni malezi mazur na utu wa wazee wake Mungu atuekee kizazi hichi chema
@teddyndungurusabnu4792
Ай бұрын
hapa Paul makonda,, pale jerry siraha we huogopii😅
@jabirpombe1333
Ай бұрын
Sema mheshimiwa huku kwetu majoe dar mnatusahau kuhusu barabara hebu tusaidie kiongozi wewe unaweza
@fifo262
Ай бұрын
Da ! Mambo magumu
@kamrudinelias3922
29 күн бұрын
2025 nje nje au!!!!!
@stevenemwakasimba-pt8er
Ай бұрын
Msihamishe huyu kijana yupo serious sana kwenye hii wizara ya ardhi
@julius_wankyo
Ай бұрын
Nimegundua Kwa miaka ya hivi karibuni Kumekuwa na wimbi la viongozi wa tanzania kumwaga machozi, hii ina ishara gani?
@Rahima-kv6mn
Ай бұрын
Akuna ishara yeyote Bali Mungu tu amewabariki kuwa na nyoyo za. Huruma maana nawao binadam km sisi tofauti yetu ni vyeo tu walivyonavyo kikubwa Tuwaombee tu
@julius_wankyo
Ай бұрын
@@Rahima-kv6mn je viongozi wa miaka ya zamani hawakubarikiwa mioyo ya huruma?? Maana Kwa kumbukumbu zangu vilio vya viongozi vimeanza tu miaka ya juzi juzi hapa.
@Rahima-kv6mn
Ай бұрын
@@julius_wankyo Zamani pia walikuwepo walifanya vzr wengi tu sema media zilikuwa sio nyingi km Sasa mpk sisi walala hoi tunaona nani mzr nani mbaya Lakini akuna kizazi kisicho kuwa kizr abadani asilani kikubwa tuzidi kuwaombea na wanao jiona wanatabia sizo ndo wakati wa kubadilika huu maisha yenyewe mafupi haya unakusanya Mali unadhurumu kila kona mwisho wa siku kifo tu aina faida 😭😭😭😭
@youngtomuller-vh2pu
Ай бұрын
Sinto muito mas Allah vai ti perdoar insha-Allah 😢😢😢
@jareengeorge5478
Ай бұрын
Hao watu Mungu awalaani.wanaoumiza watu.
@frankdablacknation2057
Ай бұрын
Mungu ndio tumaini la mioyo yetu na si kitu aina chochote
@mohamedkitemwe3569
Ай бұрын
Inaumiza sana
@SayiMadaha-fq7tu
Ай бұрын
Mm napongeza wote mulio mupongozi wazir huyu
@bensonwissa5777
Ай бұрын
Kuna wananchi wanateseka Sana so sad😢
@Natashawaziri-bv2xl
Ай бұрын
Daaah
@barakadaprince3742
Ай бұрын
So painful 💔 😢
@dr.phormenykishaija6508
Ай бұрын
Da😪
@lusajomwaipopo5042
Ай бұрын
Huyu jamaa kitaifa yuko vzur kijimbo yuko hovyo kabisa namfananisha na harson mwakyembe wa kyela zamani
@Zainab-sq1tc
Ай бұрын
Yaaan nch yetu jomon dhuruma kila kona
@maryamtanzania9743
Ай бұрын
Hivi jamani saa zingine muww mnaangalia kama hivi ninavopambana hivi jasho linatoka mpaka linauka tena linatoka yani kiufupi ni mateso afu leo mtu aje anivunjie
@lvanyDaniel_pw7kk
Ай бұрын
Mimi sio nabii ila huyu alie shika maic ata kuwa shabiki wa utopolo
@hamzafishten9560
Ай бұрын
Nilijua kama kwetu ndio tunamatatizo ya ivo kumbe africa nyingi matatizo yapo sehem zote africa
@OmanOman-dd5qk
Ай бұрын
Pole sana ila kujiua sio jibu sahihi kaka kwanza unawatoto hiyo lroho yamauwaji kemea kaka
@joycekisamo4896
Ай бұрын
Inaitwa DEPRESSION. Stresss ni kitu kibaya sana.
@subrynerysegerow1323
Ай бұрын
Depression hiyo kuwa na watoto sio kigezo
@dinosiasa5600
Ай бұрын
ogopa mtu akikata tamaa liwalo na liwe, si ulimsikia kabla kunywa sumu alitaka aondoke na mtu alimfanyia apotee kwny njia
@OmanOman-dd5qk
Ай бұрын
@@dinosiasa5600niile ishu yahamza yanini yote hayo vitu tutaviachatu siku moja
Пікірлер: 153