Msiogope hii mimea usipoigusa haudhuriki. Tunaishi na baadhi ya hyo mimea mikoani. Kama hyo hapo palipoandikwa 'do not touch". Ukiligusa tu unavimba mwili mzima na kuwashwa vibaya. Kama huna kinga ya kutosha unatoka mapele. Baadae unakaa vizuri la cha moto umekipata. Linawasha zaidi ya mnaoita upupu hko Dar.
@Mwamba67
23 күн бұрын
😂
@laxmikhairah1503
22 күн бұрын
😂😂😂😂 kwan umekula nini
@riosingingandmore8224
21 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Asante kwa kutujuza
@riosingingandmore8224
21 күн бұрын
@@laxmikhairah1503 hajala kitu huyu njaa inamsumbua 😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@husseinmassawa7186
21 күн бұрын
Inaweza ikawa anachomaanisha kikawa ni kweli pia, kwani ni mimea gani hiyo ambayo africa aipo? 😅
@Brunotarimo10
23 күн бұрын
Sky karibu crown media fredric bundala
@zclassicfashionz1573
22 күн бұрын
360
@ibrahimaziz7158
19 күн бұрын
Hapa lazima nifike nikija ulaya patanisaidia sana
@theprince5253
23 күн бұрын
Malaysia Airasia Kaka twende na hiyo ndefe iliyopotea boing 377
@sinatatizonamtu
23 күн бұрын
Mimi Sio Mtu Wa Ku Coment Sana Ila Ningeomba Utuletee MAKALA YA MALAYSIA AIRLINES FLIGHT 370
@thabitngangila8562
22 күн бұрын
Tena aelezee djsmaa
@allykwaya
22 күн бұрын
@@thabitngangila8562Haswa awe yeye Djsma
@aftapat5365
19 күн бұрын
hio mbona ishazungumziwa
@sinatatizonamtu
19 күн бұрын
@@aftapat5365 Zipo Sana Hata Za English Ila Tunaitaji Atakae Izungumzia Mpaka Uelewe.
@Officialjidaa-sn9cs
23 күн бұрын
Duuuh
@bensonscott3491
23 күн бұрын
Muda sana hatuja sikia hiii kitu
@user-rp1ly4xc8k
23 күн бұрын
Ile mimea sio hatari but Huyo mama ndio hatari zaidi ni nusu mtu nusu shetani 😈😈 akikuamulia hushindi ata ukivaa nguo za kushindia
Пікірлер: 54