Inavyoonekana Pck kampiga huyo jamaa na wasanii hawajui chochote,ndio maana mziki wa east Africa hauendi kimataifa,
@joycekisamo4896
16 күн бұрын
Sky; Festival haikua ya Alikiba. Kila mwaka Toronto kuna Festival kubwa sana ya Waafrika wite inaitwa AFRO-FEST na wasanii mbalimbali toka Afrika wabakwebda kutumbuiza BURE. Watu wanaenda kwenye hivyo viwanja BURE, hakuna malipo wala gates za kuingilia. Hivyo ule mkusanyiko sio wa Alikiba. Kulikuwepo na wasanii tola Afrika zaidi ya 10.
@imanimhagama4647
9 күн бұрын
Pck ni noma alimtapeli wema sepetu penz na pesa juu itakuwa huyo elly tena ashukuru hata hajagongewa yai
@@hashimuuhehwa4252Pck kapokea pesa nakuwapeleka pale kina Mbosso ili watu wajue km wataparfom lkn kumbe Pck hakuwaambia kina Mbosso km kala hela sijui mmeelewa ugomvi wao maana km hawaendi kuparfom hapo kwenye show walifata nn jamaa tapeli yule sasa wote wamekutana matapeli watupu hapo
@pendo8082
16 күн бұрын
@@hashimuuhehwa4252 kwani akiishi Toronto ndio anajua kila kitu
@joycekisamo4896
16 күн бұрын
Sky; Festival haikua ya Alikiba. Kila mwaka Toronto kuna Festival kubwa sana ya Waafrika wote inaitwa AFRO-FEST na wasanii mbalimbali toka Afrika wanakwenda kutumbuiza BURE. Watu wanaenda kwenye hivyo viwanja BURE, hakuna malipo wala gates za kuingilia. Hivyo ule mkusanyiko sio wa Alikiba. Kulikuwepo na wasanii tola Afrika zaidi ya 10.
@latifahali8228
16 күн бұрын
Kwanza Huyu mtu limbukeni tuko Uko lkn hajastarabika Ety awe mtu mkubwaaaaa
@ruqaiamohammed345
16 күн бұрын
Mungu kalipa maana ht ww ni tapeli ulitapeli watu kuwapeleka canada wakatuma pesa zao mwisho wa ck hakuna safar mpk leo malipo ni hap dunian
@karirekinyana9759
15 күн бұрын
Mbosso mukweli sana nampenda yulekaka jamani kalibu Danmark ❤❤❤❤❤
@Zenny89
17 күн бұрын
Hiko kijamaa ninapenda penda kujulikana sana.. Na hakuna mtu anaweza kuzuia mtu mwingine kutofanya show Nchi yeyote
@esthermakelemo2864
16 күн бұрын
Huyu Eli,anaonekana hayuko sawa anamakasiriko ,hayuko sawa hata kwakumuangalia sura,tumsamehe Bure,maisha magumu yanamsumbua,Watanzania wazarendo tumsamehe bure
@strong8534
17 күн бұрын
Sky, u dont sleep😮😮😮😮
@joycekisamo4896
16 күн бұрын
Sky; Festival haikua ya Alikiba. Kila mwaka Toronto kuna Festival kubwa sana ya Waafrika wote inaitwa AFRO-FEST na wasanii mbalimbali toka Afrika wanakwenda kutumbuiza BURE. Watu wanaenda kwenye hivyo viwanja BURE, hakuna malipo wala gates za kuingilia. Hivyo ule mkusanyiko sio wa Alikiba. Kulikuwepo na wasanii tola Afrika zaidi ya 10.
@pendonoor8869
16 күн бұрын
Ok. Nakwelewa lakini mbona ukatumia lugha mbaya kumjibu? Si ungesema hivi tu...pole jamani mwenzangu MuTZ!
@ukhutfatumah1154
16 күн бұрын
Haaaaaa elly kaingizwa cha kike aise pole sana kijana wangu
@antonimwamahonje
17 күн бұрын
Who going to bring back your money? Who told you to invest for the artist you didn't have any agreement with them
@FahadAbubakari
16 күн бұрын
We andika kiswahili basi English gani chafu hiyo
@sadikilumumba1370
17 күн бұрын
Tusi wahamini sana wa sanii wetu wa tanzania 🇹🇿. Wana tu danganya sana 😂😂😂😂😂😂
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s
17 күн бұрын
AFU UYO JAMAA MBONA ANAONEKANA NICHOKO UYO JAMAA WA KANADA
@mylasadick5189
17 күн бұрын
Muha ya uyo
@pendo8082
17 күн бұрын
Haeleweki😂😂
@Khalidwandhera
17 күн бұрын
Unaona mbari jamaa ni kipusa
@isunga1964
16 күн бұрын
Kama yupo Toronto basi wamekula pesa kweli wamlipe pesa kaka wa watu 😢😢😢
@imanimhagama4647
9 күн бұрын
We matako kweli sasa kwan kuwa huko ndio lazima aperform hata kama hajalipwa au hujasikiliza vizuri maelezo pande zote mbili
@homeandaway2811
17 күн бұрын
Elly unaongea sana , umechanganyikiwa na life ya ughaibuni wewe, tuliza mshono.
@ndukulusudikucho_
16 күн бұрын
Umesema kweli jamaa anapayuka
@davidshaban7375
16 күн бұрын
@@ndukulusudikucho_Aisee!! yule jamaaa nilishamblock like each and everywhere 😊
@homeandaway2811
16 күн бұрын
@@ndukulusudikucho_yani mwanaume amekaa kama mtu wa mipasho 😂 anadhani atachafua majina ya hawa wasanii
@kingbyaro6016
15 күн бұрын
Wewe uwe Toronto usumbufu wenu tuta kupoteza huku Acha maneno dodo 😊
@t.y.g.a_
15 күн бұрын
Private Jet ee😅..hangaika ivo ivo😂🙌🏻
@othinielkamyola3697
16 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@shuwehaharuna6309
16 күн бұрын
Wamekutia hasara na wamekutukana Una kipara😂
@kizdady2544
16 күн бұрын
😂😂😂
@ndukulusudikucho_
16 күн бұрын
Jamaa kichomi saaana na alazimisha umaarufu saana, mdomo wake ndio mchawi wake
Mboso kajieleza vizuri sana. Eti $4,000 .... Business class ticket yake ni zaidi ya US$5,000😂
@t.y.g.a_
15 күн бұрын
Ko nd umenuna kuambiwa una kipara ama😂😅🙌🏻
@Legends_Interviews
16 күн бұрын
Waambie ukweli
@mdachiog5211
16 күн бұрын
😂😂anaijua wasafi
@mkulimatanzania
16 күн бұрын
Elly ni shoga alishajeuzwa na wazungu muda simrefu ataikana nchi yake. Njaa imemponza kaacha maisha bongo kaenda fanywa mke daah
@davidshaban7375
16 күн бұрын
dahh yule jamaa simuelewagii kabisaa
@ngoyaboy1590
14 күн бұрын
Sema hiyoo ya kipara imemuuma sanaa😂😂😂
@richkaja3317
16 күн бұрын
Mbosso kama kweli kafanyeni show mmalize tofauti zenu
@MS.independent8934
17 күн бұрын
Ww jamaa ungelikuwa na akili timamu kama mwanaume haswa nasio shoga Kwa myaka yote upo Toronto ugaibunu uko ungelikuwa umesha funguwa hata viwanda 20 I chini ukaonekana mtu wa maana ila kwasababu utaandikwa kwenye kitabu Cha uzima Cha club apo sawa zuzu weee nenda kashtaki mahakamani kama unataka ulipwe Hela zako😂😂😂
@user-fx2fn2qs3t
16 күн бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli sio kwamba anamuchafua nyie Tanzania munajua nikuchafua jina jamaa kaingiza pesa
@yama_virginhairthequeen1065
15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Tulia ww ushapigwa watu washaelekeaaaa😂😂😂😂
@johnmwandu2116
16 күн бұрын
Kwan Dollar 4000 si ni sawa na milion 10, sasa appearance tu unaikataa milion 10😂😂😂, daah sasa mimi hapa duniani nafanya nin
@menlandmutashobya8377
11 күн бұрын
Dollar 4000, Kuna expenses zake, Kuna percentage ya kampunj,na Kuna asilimia yake,atabaki na ngapi
@jacksonmsendo3478
16 күн бұрын
Itakuwa promota kamzunguka uyo elly
@linnerphilip4260
16 күн бұрын
Hatuwez kuamn hadi hao mapromoter waseme jambo kukutetea .... Ila wakikaa kimya ... Kitakuramba😂😂😂😂
@mudiskaina2342
16 күн бұрын
yani kama utamtizama kwa makini huyu jamaa utamjua huyu ni mlevi
@mudiskaina2342
16 күн бұрын
HUYU JAMAAA NI MLEVI HAJUI ATA ANAONGEA NIN
@itNeza
16 күн бұрын
Kijana Kaliwa pesa ndo Upara Utazidi Kuwa Mpana kichwa Kizima. 😂😎
@elijahbaraka9470
16 күн бұрын
Uyo elly anajiita professor afukaingizwa mjini . Tangu sikugani professor akawa promotor? 😂😂
@pendo8082
17 күн бұрын
Elly atulie hajui lolote😂😂😂😂😂
@alisalum2023
15 күн бұрын
Elly yeye ndio tapeli nayeye katapeliwa yeye msimuamin tapeli sna sna
@SadaDamas-jh2gt
16 күн бұрын
PCK ndio mchawi wa kila kitu hapo ndio maana mboso alipouliza hakufunguka
@imanimhagama4647
9 күн бұрын
Wamuulize wema sepetu pck alimtapelu wema penzi na pesa juu
@sonnyr1899
17 күн бұрын
😂
@chrisjack4278
15 күн бұрын
If you know and you know exactly your home is Africa. Please stop scamming people who live in Europe. The technology here in Europe is on next level. I really hope that mbossa is not involved if he is involved. It will end up sadly not just in medias. But in life time for sure
@omarzinga7046
16 күн бұрын
Huyu tapeli😂😂😂
@hamisisalim8076
15 күн бұрын
Sababu ya mbosso kuambiwa apitie Toronto ni kwasababu huyo promoter wake alikua amekula hela ya huyo dogo
@MasterVoltron-f9w
16 күн бұрын
😂😂😂😂jamaa kapigwa 😂😂😂😂 Na ujanja wooote wakuishi Canada kumbe limeibiwa😂😂😂😂
@noellahgervas90
15 күн бұрын
Shisha inanywewa cku hz na hamsemi???😂😂😂
@HansChuma
17 күн бұрын
😂😂😂😂😂 home boy mm nipo pamoja naww wasanii wakibongo mieyusho
@jimmyhabarugira4232
17 күн бұрын
@HansChuma. Kabla ya kumuunga mkono na kuanza kulaumu ebu fikiriya vipi utatowa hela yako bila kuongeya na muhusika? Thinking before to blame
@dullahabdallah-nu1py
16 күн бұрын
Mapromota ndio wametapeliana,wasani hawana makosa
@user-ib7kn6fs4x
16 күн бұрын
Huyo jamaa asikuumisheni kichwa kwa nxa hana uwexo wakupromo mtu hasa wasanii kama mbo uyo jamaa ni porojo tu na kama hamuamini mfuatiliyeni tik tok porojo tu huyo
@masoudmasoud8138
12 күн бұрын
kwahiyo huyo jamaa mwwndawazimu ?? REJESHA HELA ZAWATU WEE KENGEEE
Huyo jamaa anatafuta kiki tu , aache kuchafua majina ya watu
@Bama959
15 күн бұрын
Wasanii wa tz sio wa kweli kabisa
@imanimhagama4647
9 күн бұрын
Ufala unakusumbua unaonekana limbukeni ukiona mtu anaishi ughaibuni unaona ndio wamaana ndio mnakuaga mashoga nyie kisa kujifanya mnaakili za kimamtoni
@Bama959
9 күн бұрын
@@imanimhagama4647 hakuna mnachokijua zaidi ya uongo tu na maneno mengi pasipo kufikiria. Wewe kama haujawai kushuudia vituko vya wasani wa tz kila mara wakiwa na show nje ya Africa unatakiwa kuuliza ili uambiwe na wala usiwe kama kijifala fulani ambacho hakijielewi. Mpumbavu wewe. Tena shoga mkubwa sana wewe na ndio maana mziki wenu ni wa matusi wa na umbea tu.
Пікірлер: 95