Kenya wanajitambua sana wanamfanya Rais akumbuke anawatumikia wao sio sisi uku ata kumuuliza tu Rais io nafasi hatupati
@KhamisBeja
16 сағат бұрын
Njaa ni mbaya hakuna vita vya tonge kasaliti GZ wenziwe..
@ashaherzog4488
14 сағат бұрын
Wasaliti walimsaliti Yesu kwahiyo sio laajabu!! Gen-Z stay focused and watch out those greedy Judaz around you
@Chrisblaze-beats
16 сағат бұрын
❤❤❤❤❤endeleeeni kuwa informer 🔥🔥🔥👊Bongo wanaomba ufungiwe😅😅 ndio ujue tupo miaka gani😊
@bakariomari24omar21
16 сағат бұрын
Huyu Ruto ameshajiona anangoka ndio anafanya haya lakin tumemchoka Kenya ni inchi tajiri sana lakin pesa yote inaishia kwa mifukoni mwao mabilioni yapesa .waziri analipwa laki 9 lakini kwa mwezi mmoja anatoa mchango makanisani zaidi ya million 50. Wanatoa wapi hii pesa
@msafirisaimoni9561
14 сағат бұрын
Tanzania sisi tunaifunga X kwa sabbu inakosoa serikali unajua binadam anakosea ndio maana kuna samahan vijan wa uvisisemu njaa itakuja kuwaua😂😂😂
@shantisam-wo8wj
16 сағат бұрын
Kenyas to the top 🎉
@idrissahaji
14 сағат бұрын
Yawezekana anafanya hivyo ili kulinda usalama wake hamjui alipotekwa ametishwa na kushurutishwa kwa masharti gani
@Shehasweet-hy6xn
14 сағат бұрын
Ila Kenya nyie ni kibokoooooo....yaani mumemtoa jasho rais??????????😂😂😂😂😂😂😂 Ruto Hana hamuuuuuu😊😊😊komesha Marais wa Afrikaans wamezoeaaa kuburuza wanainch
@isabellarkageha7707
14 сағат бұрын
2027 utaona .... vile tutachagua mwenye tunataka. Corruption in kenya iko juu sana
@kevicristian2738
16 сағат бұрын
Man of the people
@Arrestgptucomedy
16 сағат бұрын
Lakini mbona rahisi wetu anatubeba aki .. imagine our mps Wana drive magari ya 5.7cc na pia bona hawa watu wanapewa hela nyingi hivi like wanakua treated like kings
@yasminmustafa2282
14 сағат бұрын
As of the sons of judas iscariot l think it was expected..more reasons we don't have leaders or tribe....and as we forge shead we woll gain some and loose some...aluta continua
@fatumamwalimu5765
16 сағат бұрын
Wasaliti lazima wangekuwepo,
@gchalijabiri3845
14 сағат бұрын
Wakenya
@Shehasweet-hy6xn
14 сағат бұрын
😂😂😂 rais halali jamaniii usiku anawaota Genziiiiiii😂😂😂....Kenya nyie kibokoooo...komesha wizi wa Afrika..
@mr.yahzadochuno7914
14 сағат бұрын
Jizi Ruto must go
@khadijauthman4802
9 сағат бұрын
Tanzania tuwacheni uchawa kutumiwa kimaslai na wanasiasa vijana wachangamke siasa ndio maisha.
@chande2k250
16 сағат бұрын
Tuclaumu jamani serikali za kiafrika ni Noma uckute jamaa alifinywa na Hiyo Ndio punishment yake
@yasminmustafa2282
14 сағат бұрын
Lakini huyu hutubeba mandazi sana yes the cancer clause was there inder the "specialised treatment tax"it never said cancer directly but isn't cancer under speacilised treatment....heck even dental and optical servises were about to sly rocket
Пікірлер: 106