اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في جنة الفردوس اللهم اجعل قبره روضا من رياض الجنة برحمتك. آمين
@al-hidayahonlinetv3447
6 ай бұрын
masha allah sheikh mngeweka mawasiliano ktk acount yenu ingependeza kwajili ya maoni ushauri n.k jazakallahu khaira
@zaidumohd3125
13 күн бұрын
Allah akulaze mahali pema peponi amin
@jumasalim7229
14 күн бұрын
Allah akuhifadh sheikh
@sharifuburuhani1969
11 ай бұрын
Sheikh maashaallah nimekuelewa
@MAPETEE
14 күн бұрын
Alkah Ampe kauli thabit Amesha fariki jana ndani ya nchi ya saudia mji wa makkah
@mohamedamiri4597
11 ай бұрын
Huyu shekhe anajibu maswali kitaalamu sana mpaka uwe makini katika kupokea majibu yake Allah amuhifadhi huyu Sheikh
@rayisadesigns2646
13 күн бұрын
Allah amrehemu, sheikh tayari ameshafariki Makka ktk hijja ya mwaka huu 2024 na amezikwa huko huko. 😢😢
@princesaha3262
10 күн бұрын
Allah amsamehe na amrehemu
@mwanaherimatata8571
6 күн бұрын
Huyu shekh Ana imani na yawezekana ni wa jannatul firdauth Ana hekima anajishusha mstarabu n moja ya dalili ya uchamungu
@mohamedamiri4597
11 ай бұрын
Allah akuzidishie hikima
@reallyman9836
14 күн бұрын
Innaalilaah wainnaa ilayhi raajiuun Sheikh Amefariki huko Saudia Arabia baada ya ibada ya Hijja na amezikwa huko huko Saudia Arabi. Allah amghufirie na amhifadhi
@wazirihamisi6484
13 күн бұрын
هذا من أهل البدع
@GreysonMdee-wm8tn
12 күн бұрын
Inalillah Waina ilayh rajuun
@mrsultanzimbwe6746
11 ай бұрын
Nasaha ukiziona wazani kweli dini lkn kwa nafsi zimetawaliwa na kuichukia Sunnah
@user-vq6zx7oj9j
14 күн бұрын
Inna lillahi wa inna ilahi raniun
@mornasaidtindwa3622
14 күн бұрын
Innalilah wainnailah rajuun
@MuhammedFoum-kr5kc
17 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@raskingo1495
10 күн бұрын
Inna lillah wainna irahi rajiuna Allah Akupe Pepo ya juu Sheikh na sisi Tuliobaki Atupe mwisho mwema
@hamzakimaro3764
11 ай бұрын
BWANA NYANGE DINI HAICHULIWI KWA WATU WA MAKKA WALA MADINA! DINI INACHUKULIWA KUTOKA KWA KITABU (QUR"AN)NA SUNNAH(MWENENDO WA MTUME)SASA HUKO KOTE UNAKOZUNGUKA HUPATI JIBU!!
@salimhamad4363
2 ай бұрын
hongera maana sijui kasoma vipi
@abdulwahababdulkadir9965
11 ай бұрын
Sasa maalim kwani unaposema kanzu fupi unamaanisha haifai ama ni vp,maana muhim ni kua umestirika uchi wake na hajafanya isbari,kwani kuvaa pensi ni dhambi ama ni vp,ilimradi mtu amestiri uchi wake tu
@MuhamadHatib-bc1kb
11 ай бұрын
Allah ambarik shkh wetu anaelimisha kihekima zaid
@user-ql2om7qj3v
11 ай бұрын
Kama.umesafiri ukaona mingi.wambiye kuwa makkah na madina hakuna bidaa. Basi fanya ujuwe wewe mzushi jirekebishe basi.
@salasturky4844
11 күн бұрын
Ucpanic ,sicilia na ujifunze
@khamisrubea5083
11 ай бұрын
Mashehe walolelewa
@SalimuMaganji-ts1fn
11 күн бұрын
Hayo mambo ya kuita watu wanawake sio kweli kua watu waitwa hivyo au kukatiwa suruali ndefu au kanzu na mkasi sii kweli bali huo ulikua uongo ulozushwa na ilunga kua aliswali msikiti mmoja kule arusha akaambiwa arud nyuma kwakua ni mwanamke eti kisa anaburuza suruali hapo alidanganya umma kwan hajafanyiwa hivyo
@khamisrubea5083
11 күн бұрын
Ni mifano tu sio lazima iwe imefanyika
@SalimuMaganji-ts1fn
11 күн бұрын
@@khamisrubea5083 mimi niliandka hayo kwa sababu shekh Ilunga marehemu ashaawahi kudai aliitwa mwanamke akiwa msikiti mmoja kule arusha baada ya kuuliza kwa kiongozi wa ule msikiti akasema hata yeye alishangaa hayo maneno ya uongo ya ilunga na akasema wakati ilunga alipofika hapo alikaribishwa tu vizuri na aliruhusiwa kuzungumza mimbari lakini alivyotoka akawazushia huo uongo
@salafnungwi5723
11 ай бұрын
Sijajuwa huy mwalim kasimamia kauli gani kwenye sunnah ya uvaaji nguo. Jee sunnah kupunguza ama kuachilia? Na aliyeachilia hadi kufika chini ana hukumu gani? Jee hukumu ya aliyeachilia had kufika chini itawiyana sawa na yule ambaye amekifanya kikaz chake mpk kikawa kifupi sn?
@user-ql2om7qj3v
5 күн бұрын
Sasa wewe mtu wa bidaaa angalia mbona husemi ulipofika kule kila mtu ameweka ndevu.wewe umenyowa kama mwanamke
@user-xu9nn3pe4k
6 күн бұрын
huyu hapana shaka kua n mtu wa bidaa sjui wana mambo ya vp kuichukua sunna wanaona kama n jambo la watu fulan
@BilaliIloko
12 күн бұрын
Mbona amna kitu apo,naona kama stori tu,ila allah amrahamu
@hemedabdullah6237
11 күн бұрын
Subhanalllah
@khamisrubea5083
11 күн бұрын
Tumeondokewa huyu jamaa ndo kwanza nlikua naanza kumfatilia ana hekma ya hali ya juu ktk kufundisha na unatakiwa uwe makini sana ili umuelewe
Пікірлер: 36